Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
Mhhh,
Mimi naona hakuna mchokozi, labda kwa sababu chumvi nimekula ya kutosha mno....
Hata hivyo kuna wakati inabidi kujiuliza mara mbili kama kweli hii ni JF au ni Kariakoo (Samahani natumia maneno ya mama Mkuu wa Kikao cha Wakubwa wa Dodoma)!!!
Vinginevyo....hakuna jipya...tumeshikutana na makubwa zaidi ya vijimambo vya jF!!