UCHAWI: Upo au haupo?

Sio wote lakini kuna ule universal unapiga yeyote na popote
Nadhani ushawahi kusikia watu kukanyaga vitu vibaya ambavyo wala hawahusiki navyo
Yaan mfano ulivosema kwamba kuna ulimwengun usioonekana ninaamini kuna watu wana uwezo huo wa kuona visivyoonekana kwa macho ya kawaida na wengine hawana...so hawawezi kuona ambavyo hawakukusudia kuviona

Pili mfano kukanyaga vitu wasivyohusoka navyo....hilo linawesekanaje na sihusiki kwa namna hiyo ya kichawi? Si nitakanyaga kisha niendelee na mambo yangu?
 
Ndio maana nikatoa mfano wa universal tool...! Mfano funguo malaya ama chaja ya Kobe kwenye simu ama spana Malaya
 
Kuna Possibility Yoyote Ya Mtu Kuweza Kuuona Huo Ulimwengu Wa Kiroho Akiwa Sio Msalisali Wala Mchawi?
 
Michezo ya wanga na wachawi shukuru Mungu hukula. ..watu wengi hulishwa nyama za watu na wa nyama kupitia ndoto kama hizo!
Ingetokea ukala kesho undeshinda vibaya huku tumbo likiwa limejaa na kujisikia hovyo hovyo tuu
Huo mfurugo jameni mimi nna tatizo ktk upande huo wa kuota kula chakula.....

Nilipokuwa 12,13yrs mpk 19,20 nilikuwa naota sana ndoto hizo lkn nilikuwa nakurupuka kabla sijala yani lazma niamke tena mara nyingi wali na nyama.....

Lkn hiyo hali kwa sasa imebadilika kwani lazma nile kwanza ndo nikurupuke nnayo hiyo situation for 5yrs now japo si mara kwa mara ila ikitokea lazma nipige tonge zangu kadhaa ndo nikurupuke....mbaya zaidi nikiamka nahisi kabisa tumboni kuna kitu kimeongezeka dah..mwanaume kinyonge nageuka upande wa pili natafuta usingizi tena,ila inanikwaza sana hiyo hali kwani nahisi nalishwa kweli kwa sababu kwa mbaaali sana naamini wachawi na uchawi upo lkn mimi na waganga wa kienyeji tofauti kabisa ndo maana sijui ni vp naweza kuepuka hili tatizo mbali na ile dua ya kumwomba Mungu anilinde na wabaya usiku

Hope umenielewa mshana and you must've smthng to tell me juu ya hili
 
Back
Top Bottom