Uchawi- Mtwara Mjini

Hao wasanii tu hawana lolote, wanatengeneza jina wapate wateja au umesahau yale ya Dk. Manyaunyau wa Gongola mboto sasa anamiliki MaDCM kibao ya Gongolamboto Posta

wajinga wajinga kama nyinyi lazima muibiwe
 
duh hivi vibinti vya utumishi vitaangamiza taifa la mtwara

Yaani niliyoyaona na ule udhalilishaji ni balaa! Sio UTUMISHI tu na SAUT pia............ Na location ya hivyo vyuo ndio kbs............ Yetu macho.... Some interventions should be done ASAP...... Umaskini ktk dimbwi la mafuta yanasafirishwa kila dkk kwenye meli mbaya sana.
 
wale wanaopaa na ungo wanatumia mazingaombwe au uchawi? Na je wale wanaomtoa mtu kitandani alikolala na kumpeleka nje ya nyumba au juu ya mti akiamka anajikuta huko? Mazingaombwe au uchawi?
 
vibinti...?! Vya SAUT,UTUMISHI,vitaangamiza taifa la Mtwara?! Mafuta kwenye meli kila dakika?! JE VYOTE HIVI NI VYA KICHAWI NA VIMEVUMBULIWA NA WATAALAMU WA MSUMBIJI?
 
Mkuu, watafika na maeneo ya Mdenganamadi, Chikongola, Lilungu, Mangamba na huku kwetu Nkotokwiana?

UMK @ Nkotokwiana.
 
Wambieni waende wakatoe tunguri kwenye kile kiti cha mzee wa kaya anachokitumia kila mara
 
Yaani leo umeamua kuandika na rangi rangi ili tuelewe zaidi au?? (Joke)

Kumbe uko Mtwara mbona hatuambizani wajameni?? Mie niko Masasi nafundisha shule ya msingi (Jina kapuni)

Aagh Desidii...niPM basi tuzungumuze zaidi...but seems u like jokes eti??mi ndio zangu hizo, sijakuambia kwa sababu....(joke)....lakini its fine!! mi nipo mtwara ndo ma homiz wanaishi huku, vp masasi haya mambo yapo?
 
Sizinga! Updates pls! Wamefikia wapi hao chuma ulete?

Nilienda leo lakini sikuweza kuongea nao...ngoja niweke baadhi ya picha as update pale juu, leo wametoa mahirizi makubwa yenye fundo 9 na kila fundo imeondoa mtu mmoja duniani...lol hawa jamaa hawa
 
tena wabunge wa Mtwara ni wachawi saaanaaaaas......

Hawa Ghasia anauwa wapinzan wake ile mbayaaaa........kuna wawili walichuana nae 2010, wote walikufa kiutata!!!""''


MURJI ANAMILI MAJINI.....LOOOOOHGHHH......A

ACHENI UCHAWIIIIIIIIIIII
 
Sure, nilikuwa mtwara siku ya alhamisi joni niliwaona hawa jamaa maeneo ya mikindani ila sikufuatilia sana walichokuwa wanafanya. lakini nilishapata experience ya vitu kama hivyo miaka ya tisini kuna jamaakule mbey pia alikuwa anafanya mambo kama hayo na impact ilikuwa inonekana. for the mean time kama upo mtwara chunguza mauzo ya hoteli iliyotolewa msukule, kama hayatayumba kabla jamaa hawatafuta back up
 
wale wanaopaa na ungo wanatumia mazingaombwe au uchawi? Na je wale wanaomtoa mtu kitandani alikolala na kumpeleka nje ya nyumba au juu ya mti akiamka anajikuta huko? Mazingaombwe au uchawi?

Man hamna suala lolote la mazingaombwe, hayo yote ya kupaa na nyungo ni mauchawi yaliyokubuhu!! ndio jamaa wanayatoa huku
 
tena wabunge wa Mtwara ni wachawi saaanaaaaas......

Hawa Ghasia anauwa wapinzan wake ile mbayaaaa........kuna wawili walichuana nae 2010, wote walikufa kiutata!!!""''


MURJI ANAMILI MAJINI.....LOOOOOHGHHH......A

ACHENI UCHAWIIIIIIIIIIII

Duh mkuu umeamua kumwaga wali na mboga yake....ndio maana kuna member nimemuuliza anazijua lakini siasa za Mtwara??
 
Kuna tetesi nimesikia kuwa kuna waziri flani wa ofisi ya rais na management amewaambia polisi hao jamaa wasiende kijijini kwao, wapigwe stop...so ngoja so vitop wana hofu sana ya kuumbuka hapa mjini.

Nawakilisha!!

Wasithibutu kwenda huko kwa waziri, atawafanyia GHASIA wakome kuja Tanzania!!! YEYE anajua jinsi gani jimbo lake lilivyo chafu!
 
Sasa angalia yaliyotokea leo huko, hapa utamcheki jamaa kafukua bonge la hirizi....na kwa maelezo yake hiyo hirizi ina pingiri 9 na kila pingiri imeua mtu mmoja ingawa hakuwasema hao waliokufa..



15nrcld.jpg

35arvgm.jpg
 
Hao wasanii tu hawana lolote, wanatengeneza jina wapate wateja au umesahau yale ya Dk. Manyaunyau wa Gongola mboto sasa anamiliki MaDCM kibao ya Gongolamboto Posta

mkuu we mjanja kwa kuwachanikia hawa wasanii!kuna **** mmoja nae mitaa ya kino alipiga sana pesa kwa mambwiga!kipindi manyaunyau anapewa promo katika media nae akaibuka na kutumia jina la manyaunyau......siku katika harakati za kujifanya anakunywa damu ya paka alibugi step ngoma ikamdhuru uso ulimjaa sana mapele!!!
 
Ikiwa wataalamu tunaoleta ndio hawa wa kufichuwa uchawi basi tutaendelea kuwa ujingani miaka 100 ijayo.
Hizi fikra za kijinga ndio serikali inatakiwa kuweka juhudi kuziiondoa. Ndio maana zeru zeru wanauwawa sababu ya hizi imani.
Ni elimu na kazi ndio itatuokowa.
 
Back
Top Bottom