Uchawi- Mtwara Mjini

vp maeneo ya shanghani? kuanzia Veta kupita mpaka makonde beach club, chuo cha utumishi, ikula mpaka Tumaini university?

makubwa hayo.

Mtwara hakuna Tumaini university, labda kama unamaanisha SAUT.
 
Wamefika Chikongola, tandika, magomeni, mangamba na naliendele??
 
Vp hao jamaa wamefika mdenga kwa wabishi wa mtwara?au kule shangan ilipo ndanda ndogo?
 
Watu wanaogopa kuchangia wakidhani watapigwa Tunguli, plz Mods msiiweke hii coment yangu

hahahahahahahhahahahahahahahahaahahahhahahahaaaaahahahahha Ezan umenichekesha sana jamani.....
 
Aagh jamani uchawi upo!! Hapa Mtwara sasa hivi kuna jamaa wapo baadhi wanatokea msumbiji huko, wanatoa uchawi. Wameanza Mikindani huko, wazee wameumbuka sana, kuna nyumba wametoa misukule zaidi ya 47, na pale hotelini mikindani ametolewa msukule ukisimamisha kila gari ili watu wakale kwenye ile hoteli.
Kikubwa zaidi hawa jamaa wameonyesha "Super Market" ya uchawi iliyoko mikindani. Wanadai ina kila kitu cha uchawi kipo pale na vinauzwa bei mbaya kinoma.

Jana sasa wamekuja mjini maeneo ya "Kianga"..ni maarufu sana kwa ushirikina...kidume sikuwa nyuma, nikatia maguu kushuhudia yaliyojiri, dah jamani uchawi kweli upo, nimewaona jamaa wanafukuzana na pembe zilizojaa vitovu vya watoto...yaani jana sijalala...
Cheki baadhi ya picha hazipo clear coz ni za simu!!


2lb0ur.jpg
vimvdi.jpg
25u0cw9.jpg
jgtd3n.jpg
2yllkoy.jpg



Kulikuwa na nyomi la watu kama mkutano wa CHADEMA vile, matunguli yakiwasumbua sana kuyaona wanavua nguo na kubaki na boxer tu, dah jamaa wanapiga kazi.


Kuna tetesi nimesikia kuwa kuna waziri flani wa ofisi ya rais na management amewaambia polisi hao jamaa wasiende kijijini kwao, wapigwe stop...so ngoja so vitop wana hofu sana ya kuumbuka hapa mjini.

Nawakilisha!!


UPDATE:

LEO JAMAA KAFUKUA HIRIZI MOJA KUBWA MBELE YA NYUMBA, HIYO HIRIZI INA MAPINGIRI 9, KWA MAELEZO YAKE AMESEMA KILA PINGIRI MOJA IMEONDOA/IMEUA MTU MMOJA(INGAWA HAKUWATAJA MAREHEMU) NA CHINI YA HIRIZI KULIKUWA NA CHUPA NDOGO YA DAMU NA AKASEMA NI KWA WALE WADADA WANAOBLEED NA WAKAKA SPERM ZAO ZIPO HUMO...MAELEZO YAKE YALIKUWA MAREFU KIDOGO.
NAWAKILISHA.

15nrcld.jpg
35arvgm.jpg



Mimi ninataka waje hapa Dares-salaam kuwatoa Watu Uchawi hahahahahahahahah
 
Back
Top Bottom