Kuhusu mambo ya kiroho na kanuni zake watu wengi ni wajinga ukiwemo ww mleta uzi tena umjinga haswa, soma sana makala na sikiliza sana mafundisho ya kiroho utaondoka na huo ujinga ulionao...
Kwa kifupi sana iko hv, sambamba na ulimwengu huu wa mwili tuouishi Kuna ulimwengu mwingine wa kiroho ambapo kuna pande mbili nuru na giza, hizi pande zote zina nguvu za kuathiri mambo yanayotokea ktk ulimwengu wa mwili, ni ww mwenyew ndio utachagua utumie nguvu za upande upi kuathiri jambo wengine wanatumia maombi na sala huu ni upande wa nuru na kuna ambao wanatumia uchawi na ulozi hawa wamechagua giza
kukanusha kitu ambacho kipo na kuna ushahidi wa maandiko juu ya uwepo wa kitu hicho ni dalili ya ukafiri