Uchawi haupo, ni imani tu

Uchawi haupo, ni imani tu

Tatizo hapa mtoa mada ni mlokole
Anaingiza iman yake ya DINI katika neno uchawi ,,,
Uchawi ni neno lenye tafsiri pana
Hata paulo mtume wa Kristo Yesu aliitwa mchawi kwa sbb alikuwa anacheza na nyoka katika moto na nyoka awakuungua
Watu wakamuita Paulo ni mchawi

Wewe ndiye juha kabisa katika mambo ya Ukristo. Aliyekuambia kuokoka ni tatizo ni nani? Kati ya mtu aliyeokoka na wewe mpagani, nani anatatizo?
 
Kutoamini kuwa Uchawi haupo hakuondoi Ukweli kuwa Uchawi Upo!

Mchawi Ndugu Mkuu, mtu baki hawezi kukuroga bila connection ya Ndugu....

All in all kila mtu ana uzoefu wake......
Acha kuuamini uone km utadhurika.
 
Hilo ni Fumbo lilotungwa na watu wajinga wala halikutungwa na Mungu kwani Mungu ni Mwenye hekima na Busara.

Angalia; kama Yesu ni Mungu na Bikira Maria na roho mtakatifu wote waliumbwa na huyo huyo Mungu, iweje Bikira Maria atape mimba ya (Mungu) Yesu kwa uwezo wa roho mtakatifu???--- yaani Mungu kaumba viumbe na hivyo viumbe vinakuja kumtengeza huyohuyo Mungu tena!!!!, huyo Mungu baadaye anakuja kuuawa na viumbe wake baada ya kupigwa mijeledi na kudhihakiwa baada ya kushushwa msalabani Mungu huyo anapigwa mkuki mbavuni!!!, huyo Mungu baada ya siku saba alipozaliwa akatahiriwa, Mungu gani anatahiriwa??!!, Mungu anazaliwa na kiumbe chake??, sasa nani mkubwa kati ya aliyemzaa Mungu na Mungu mwenyewe???

Hilo ni fumbo la kijinga kuwahi kutokea duniani na kamwe haliwezi kuwa limetoka kwa Mungu nimjuaye, bali litakuwa lilitokea kwa mtu aliyelewa pombe nyingi.

Mungu aliyemuumba Yesu na Maria, Mungu aliyeumba kila kitu, Mungu asiyefanana na chochote, Mungu asiyekufa wala asiyezaliwa, huyo ndiye Mungu wa haki anayestahili kuabudiwa na kuombwa msaada, tunajifunza kutoka kwa Yesu pale alipomuomba msaada Mungu wa kweli katika machungu ya msalaba aliposema: eloi eloi----, tunajifunza kwa yesu kwamba Mungu anayestahili kuombwa ni Yule Mungu aliyemuomba pale Getsmane ili amuepushe na kikombe cha mauti ya msalaba, huyo ndiye Mungu wa kweli aliyemtuma Yesu kuwakomboa wana wa Israeli tu. Yesu alitumwa na Mungu kwa wana wa Israeli tu. (Mathayo 15:24).
Asante kwa mchango.
 
Heshima zenu mabibi na mabwana...!!!!,Kuna hii hoja ya Uchawi kuwa upo,lkn mimi nasema hivi Uchawi haupo,kilichopo ni Imani tu za ushirikina ambazo kimsingi hujengwa tu ktk akili ya mtu,yaani mind set.Sasa unabisha??.Tuliza kimukhe mukhe nikupe mambo wewe.

Nakwambiaje Uchawi haupo ila ubongo wako tu ulivyouset. Ni sawa na kuamini kuwa wewe huna akili,nakwambia itakuwa hivyo hivyo.Sasa unataka kujua hoja yangu imelala wapi? Hebu nisimulie matukio yafuatayo uone jinsi ambavyo Uchawi haupo kabisa.

Mwaka 2009,nilikuwa Rukwa,kwaajili ya Field ya muda mrefu ktk Wilaya ya Nkasi,kutokana na muda kuwa mrefu nikalima mahindi ekari moja,Kabla ya kupanda mama mwenye nyumba (nilipopanga)akanishauri kuwa anipe dawa ya kienyeji ili niichanganye na mbegu ili kuweka ulinzi dhidi ya Chuma ulete au wakupaji wa mazao,nikakataa nikasema shamba langu litalindwa na damu ya Yesu,akanicheka sana lkn kwenye mavuno nikamzidi.

Mwezi mmoja baadaye niliamuru ng'ombe mzima afukiwe (Km Afisa kilimo na mifugo)kwasababu hakuwa anafaa kuliwa,wazee wakanifata wakanisii sana kuwa nisifanye hivyo kwa ujumla kamati nzima ya Serikali ya kijiji walinifuata nikawakatalia,yule mwenye ng'ombe alilia sana na alikuwa mzee,wakasema watafanya yao,lkn sikutishika.

Nakwambia hadi leo hakuna jambo lolote baya la kipekee lililonipata.Sasa kuna sababu gani ya mimi kuamini uchawi??.Ni upuuzi tu.

Nilipoajiriwa,nilikwenda Ngara,huko nikajishughulisha na kilimo cha Maharage,Nyanya na Mpunga,jamaa mmoja tuliyekuwa tunalima naye alikuwa anaogopeka kijijini pale kuwa ni bonge la chuma ulete,baba yake aliogopwa na wakazi wa pale kwa uchawi wa kila namna,jamaa yule akanishawishi kuwa anipe dawa niichanganye na mbegu ili kuzuia chuma ulete aka wakupaji wa mazao,huyu naye nikamtolea nje,nilimwambia mimi siogopi kitu,mbegu zangu nitazipeleka tu Kanisani kwaajili ya Baraka ya Padre,hiyo dawa aitumie yeye mwenyewe,nakwambia ktk mavuno nilikuwa nampiga gepu kubwa sana kwa eneo linalofanana ukubwa,jamaa akaniambia aisee,wewe jamaa una Imani kubwa!!!!,Mimi nilimsihi kumwamini Mungu na kutumia utaalamu ktk kilimo wala haina haja ya kuhangaika na dawa za kienyeji,ni kupoteza muda tu.

Siku nyingine kuna mama mmoja alishikwa na Mapepo km Kiongozi wa jumuiya nikaenda na wenzangu kumuombea,Jamaa mwingine(hakuwa Mkristo)aliyeamini sana ktk uchawi,alikuja na dawa kwaajili ya kumsaidia yule mama,lkn akiwa anakuja alikamatwa na mapepo yaliyotoka kwa yule mama yakampiga sana hadi jamaa akazirai,yakisema unaenda wapi?,wewe hutuwezi tulikuwa tunatafuta kwa kwenda sasa tumepata,wakati huo sisi tunaendelea na maombi,kwa hiyo mapepo yamemtoka mgonjwa na kumqingia yule jamaa aliyeamini uchawi.

Ndugu zangu Nina shuhuda nyingi za kutosha kusema kuwa "UCHAWI HAUPO" ila ni jinsi ulivyoiseti halmashauri ya Ubongo wako.Nakumbuka siku za nyuma kuna jamaa hapa JF aliwahi kusema "ikiwa kuna mtu anayejua kuroga amroge,akaleta mrejesho kuwa hakuna aliyejitikeza kumroga", Kumbe uchawi haupo ni fikra zetu tu.

HITIMISHO.
Ukimwamini Yesu na nguvu zake huna sababu ya kuhofu na kudhani kuwa UCHAWI upo,Kuamini uchawi ni matokeo ya kutokuwa na Imani kwa Mungu aishiye milele.Uchawi una madhara mengi ktk jamii sina haja ya kuyataja maana yaliyotokea Shinyanga kila mmoja ni shahidi,Uchawi unasababisha watu wasifanye maendeleo,na hatari zaidi kuliko yote,Uchawi unafanya watu kuwahusu binadamu wenzao ambao wanawadhani kuwa wachawi.Km kweli kuna MTU ni Mchawi humu JF aniroge mimi tuone.
Watu wengi kwa kujifanya wako juu kiroho hukana kwamba hakuna uchawi kabisa na kufikiri kwamba kufanya hivyo ndiyo kuishikilia imani ya Ukristo.

»Kuwepo kwa uchawi ni jambo lisilopaswa kukanushwa na Muumini yeyote wa biblià.
Kwa sababu kuwepo kwa uchawi kunatajwa wazi sana katika biblià.

»Hivyo kulogwa ni jambo lililo halisi.
Wachawi walikuwepo tangu zamani. Kabla ya Yesu Kristo, tangu zamani za Farao wa Misri na nyakati zinazofuata wanatajwa wachawi wengi(KUTOKA 7:11; YOSHUA 13:22; 1 SAMWELI 28:9; 2 WAFALME 21:1-2,6; ISAYA 19:3; ISAYA 57:3; DANIELI 2:2; DANIELI 5:7).

»Hata baada ya Yesu Kristo, nyakati za kanisa la kwanza wachawi waliendelea kuwepo. Kulikuwepo mchawi aliyeitwa Simoni aliyekuwa akifanya uchawi katika taifa la Wasamaria(MATENDO 8:9-11). Mchawi mwingine anayetanjwa ni Bar-Yesu au Elima (MATENDO 13:6-8).

» Mungu aliweka sheria kwa lengo la kuwaondosha nyakati hizo (KUTOKA 22:18; MAMBO YA WALAWI 20:27) na akaeleza jinsi watu wake wasivyopaswa KULOGA au kufanya ushirikina na MASHETANI maana hayo ni MACHUKIZO KWA BWANA(MAMBO YA WALAWI 19:26; KUMBUKUMBU LA TORATI 18:9-14).
 
Aliyesema yupo juu kiroho ni nani?.Acha kuniwekea maneno mdomoni.
 
Heshima zenu mabibi na mabwana...!!!!,Kuna hii hoja ya Uchawi kuwa upo,lkn mimi nasema hivi Uchawi haupo,kilichopo ni Imani tu za ushirikina ambazo kimsingi hujengwa tu ktk akili ya mtu,yaani mind set.Sasa unabisha??.Tuliza kimukhe mukhe nikupe mambo wewe.

Nakwambiaje Uchawi haupo ila ubongo wako tu ulivyouset. Ni sawa na kuamini kuwa wewe huna akili,nakwambia itakuwa hivyo hivyo.Sasa unataka kujua hoja yangu imelala wapi? Hebu nisimulie matukio yafuatayo uone jinsi ambavyo Uchawi haupo kabisa.

Mwaka 2009,nilikuwa Rukwa,kwaajili ya Field ya muda mrefu ktk Wilaya ya Nkasi,kutokana na muda kuwa mrefu nikalima mahindi ekari moja,Kabla ya kupanda mama mwenye nyumba (nilipopanga)akanishauri kuwa anipe dawa ya kienyeji ili niichanganye na mbegu ili kuweka ulinzi dhidi ya Chuma ulete au wakupaji wa mazao,nikakataa nikasema shamba langu litalindwa na damu ya Yesu,akanicheka sana lkn kwenye mavuno nikamzidi.

Mwezi mmoja baadaye niliamuru ng'ombe mzima afukiwe (Km Afisa kilimo na mifugo)kwasababu hakuwa anafaa kuliwa,wazee wakanifata wakanisii sana kuwa nisifanye hivyo kwa ujumla kamati nzima ya Serikali ya kijiji walinifuata nikawakatalia,yule mwenye ng'ombe alilia sana na alikuwa mzee,wakasema watafanya yao,lkn sikutishika.

Nakwambia hadi leo hakuna jambo lolote baya la kipekee lililonipata.Sasa kuna sababu gani ya mimi kuamini uchawi??.Ni upuuzi tu.

Nilipoajiriwa,nilikwenda Ngara,huko nikajishughulisha na kilimo cha Maharage,Nyanya na Mpunga,jamaa mmoja tuliyekuwa tunalima naye alikuwa anaogopeka kijijini pale kuwa ni bonge la chuma ulete,baba yake aliogopwa na wakazi wa pale kwa uchawi wa kila namna,jamaa yule akanishawishi kuwa anipe dawa niichanganye na mbegu ili kuzuia chuma ulete aka wakupaji wa mazao,huyu naye nikamtolea nje,nilimwambia mimi siogopi kitu,mbegu zangu nitazipeleka tu Kanisani kwaajili ya Baraka ya Padre,hiyo dawa aitumie yeye mwenyewe,nakwambia ktk mavuno nilikuwa nampiga gepu kubwa sana kwa eneo linalofanana ukubwa,jamaa akaniambia aisee,wewe jamaa una Imani kubwa!!!!,Mimi nilimsihi kumwamini Mungu na kutumia utaalamu ktk kilimo wala haina haja ya kuhangaika na dawa za kienyeji,ni kupoteza muda tu.

Siku nyingine kuna mama mmoja alishikwa na Mapepo km Kiongozi wa jumuiya nikaenda na wenzangu kumuombea,Jamaa mwingine(hakuwa Mkristo)aliyeamini sana ktk uchawi,alikuja na dawa kwaajili ya kumsaidia yule mama,lkn akiwa anakuja alikamatwa na mapepo yaliyotoka kwa yule mama yakampiga sana hadi jamaa akazirai,yakisema unaenda wapi?,wewe hutuwezi tulikuwa tunatafuta kwa kwenda sasa tumepata,wakati huo sisi tunaendelea na maombi,kwa hiyo mapepo yamemtoka mgonjwa na kumqingia yule jamaa aliyeamini uchawi.

Ndugu zangu Nina shuhuda nyingi za kutosha kusema kuwa "UCHAWI HAUPO" ila ni jinsi ulivyoiseti halmashauri ya Ubongo wako.Nakumbuka siku za nyuma kuna jamaa hapa JF aliwahi kusema "ikiwa kuna mtu anayejua kuroga amroge,akaleta mrejesho kuwa hakuna aliyejitikeza kumroga", Kumbe uchawi haupo ni fikra zetu tu.

HITIMISHO.
Ukimwamini Yesu na nguvu zake huna sababu ya kuhofu na kudhani kuwa UCHAWI upo,Kuamini uchawi ni matokeo ya kutokuwa na Imani kwa Mungu aishiye milele.Uchawi una madhara mengi ktk jamii sina haja ya kuyataja maana yaliyotokea Shinyanga kila mmoja ni shahidi,Uchawi unasababisha watu wasifanye maendeleo,na hatari zaidi kuliko yote,Uchawi unafanya watu kuwahusu binadamu wenzao ambao wanawadhani kuwa wachawi.Km kweli kuna MTU ni Mchawi humu JF aniroge mimi tuone.
Chochote kisichokuwa na uthibitisho wa kisayansi amani kugusika physical ni Amani tu.
hata Mungu na malaika,shetani na pepo ni Imani tu.
 
Yaan mleta uzi umejichanganya sana labda umeshindwa kuiweka mada yako vizur, unaongelea habari za uchawi then unamuweka yesu, means unaongelea nguvu mbili zinazokinzana, ukiwa na yesu huwezi kuuona uchawi ila bila Mungu/ yesu uchawi utauona.
 
Heshima zenu mabibi na mabwana...!!!!,Kuna hii hoja ya Uchawi kuwa upo,lkn mimi nasema hivi Uchawi haupo,kilichopo ni Imani tu za ushirikina ambazo kimsingi hujengwa tu ktk akili ya mtu,yaani mind set.Sasa unabisha??.Tuliza kimukhe mukhe nikupe mambo wewe.

Nakwambiaje Uchawi haupo ila ubongo wako tu ulivyouset. Ni sawa na kuamini kuwa wewe huna akili,nakwambia itakuwa hivyo hivyo.Sasa unataka kujua hoja yangu imelala wapi? Hebu nisimulie matukio yafuatayo uone jinsi ambavyo Uchawi haupo kabisa.

Mwaka 2009,nilikuwa Rukwa,kwaajili ya Field ya muda mrefu ktk Wilaya ya Nkasi,kutokana na muda kuwa mrefu nikalima mahindi ekari moja,Kabla ya kupanda mama mwenye nyumba (nilipopanga)akanishauri kuwa anipe dawa ya kienyeji ili niichanganye na mbegu ili kuweka ulinzi dhidi ya Chuma ulete au wakupaji wa mazao,nikakataa nikasema shamba langu litalindwa na damu ya Yesu,akanicheka sana lkn kwenye mavuno nikamzidi.

Mwezi mmoja baadaye niliamuru ng'ombe mzima afukiwe (Km Afisa kilimo na mifugo)kwasababu hakuwa anafaa kuliwa,wazee wakanifata wakanisii sana kuwa nisifanye hivyo kwa ujumla kamati nzima ya Serikali ya kijiji walinifuata nikawakatalia,yule mwenye ng'ombe alilia sana na alikuwa mzee,wakasema watafanya yao,lkn sikutishika.

Nakwambia hadi leo hakuna jambo lolote baya la kipekee lililonipata.Sasa kuna sababu gani ya mimi kuamini uchawi??.Ni upuuzi tu.

Nilipoajiriwa,nilikwenda Ngara,huko nikajishughulisha na kilimo cha Maharage,Nyanya na Mpunga,jamaa mmoja tuliyekuwa tunalima naye alikuwa anaogopeka kijijini pale kuwa ni bonge la chuma ulete,baba yake aliogopwa na wakazi wa pale kwa uchawi wa kila namna,jamaa yule akanishawishi kuwa anipe dawa niichanganye na mbegu ili kuzuia chuma ulete aka wakupaji wa mazao,huyu naye nikamtolea nje,nilimwambia mimi siogopi kitu,mbegu zangu nitazipeleka tu Kanisani kwaajili ya Baraka ya Padre,hiyo dawa aitumie yeye mwenyewe,nakwambia ktk mavuno nilikuwa nampiga gepu kubwa sana kwa eneo linalofanana ukubwa,jamaa akaniambia aisee,wewe jamaa una Imani kubwa!!!!,Mimi nilimsihi kumwamini Mungu na kutumia utaalamu ktk kilimo wala haina haja ya kuhangaika na dawa za kienyeji,ni kupoteza muda tu.

Siku nyingine kuna mama mmoja alishikwa na Mapepo km Kiongozi wa jumuiya nikaenda na wenzangu kumuombea,Jamaa mwingine(hakuwa Mkristo)aliyeamini sana ktk uchawi,alikuja na dawa kwaajili ya kumsaidia yule mama,lkn akiwa anakuja alikamatwa na mapepo yaliyotoka kwa yule mama yakampiga sana hadi jamaa akazirai,yakisema unaenda wapi?,wewe hutuwezi tulikuwa tunatafuta kwa kwenda sasa tumepata,wakati huo sisi tunaendelea na maombi,kwa hiyo mapepo yamemtoka mgonjwa na kumqingia yule jamaa aliyeamini uchawi.

Ndugu zangu Nina shuhuda nyingi za kutosha kusema kuwa "UCHAWI HAUPO" ila ni jinsi ulivyoiseti halmashauri ya Ubongo wako.Nakumbuka siku za nyuma kuna jamaa hapa JF aliwahi kusema "ikiwa kuna mtu anayejua kuroga amroge,akaleta mrejesho kuwa hakuna aliyejitikeza kumroga", Kumbe uchawi haupo ni fikra zetu tu.

HITIMISHO.
Ukimwamini Yesu na nguvu zake huna sababu ya kuhofu na kudhani kuwa UCHAWI upo,Kuamini uchawi ni matokeo ya kutokuwa na Imani kwa Mungu aishiye milele.Uchawi una madhara mengi ktk jamii sina haja ya kuyataja maana yaliyotokea Shinyanga kila mmoja ni shahidi,Uchawi unasababisha watu wasifanye maendeleo,na hatari zaidi kuliko yote,Uchawi unafanya watu kuwahusu binadamu wenzao ambao wanawadhani kuwa wachawi.Km kweli kuna MTU ni Mchawi humu JF aniroge mimi tuone.
Ata huyo Yesu hayupo, ni imani tu, kama angekuwepo Gwajima asingefanya waumin wake mazezeta, kiasi kile, leo hawezi kujishusha, kesho anawaambia panua, na wanapanuaa kwa Jina la Yesu
 
Nimefungua bar mahala,jamaa niliowapangisha jiko wakaleta mganga,upande wa jikoni,juzi Niko safari mmoja akanipigia analalamika anadai ameuza plates mbili tu,ilikuea saa mbili usiki,nikamuuliza si mlileta mganga!? Amesaidia nn Sasa?jamaa akaanza kulalamika siku hizi bro kina waganga feki,nikamwambia tulia nikuweke kwenye maombi kabla ya saa 4 usiku utakuwa umemaliza msosi Wote,Jana nimefika anacheka tu,anasema bro we noma uliyosema ndo yamefanyika nilimaliza msosi,nimemwambia acheni kuamini ushirikina.
 
Heshima zenu mabibi na mabwana...!!!!,Kuna hii hoja ya Uchawi kuwa upo,lkn mimi nasema hivi Uchawi haupo,kilichopo ni Imani tu za ushirikina ambazo kimsingi hujengwa tu ktk akili ya mtu,yaani mind set.Sasa unabisha??.Tuliza kimukhe mukhe nikupe mambo wewe.

Nakwambiaje Uchawi haupo ila ubongo wako tu ulivyouset. Ni sawa na kuamini kuwa wewe huna akili,nakwambia itakuwa hivyo hivyo.Sasa unataka kujua hoja yangu imelala wapi? Hebu nisimulie matukio yafuatayo uone jinsi ambavyo Uchawi haupo kabisa.

Mwaka 2009,nilikuwa Rukwa,kwaajili ya Field ya muda mrefu ktk Wilaya ya Nkasi,kutokana na muda kuwa mrefu nikalima mahindi ekari moja,Kabla ya kupanda mama mwenye nyumba (nilipopanga)akanishauri kuwa anipe dawa ya kienyeji ili niichanganye na mbegu ili kuweka ulinzi dhidi ya Chuma ulete au wakupaji wa mazao,nikakataa nikasema shamba langu litalindwa na damu ya Yesu,akanicheka sana lkn kwenye mavuno nikamzidi.

Mwezi mmoja baadaye niliamuru ng'ombe mzima afukiwe (Km Afisa kilimo na mifugo)kwasababu hakuwa anafaa kuliwa,wazee wakanifata wakanisii sana kuwa nisifanye hivyo kwa ujumla kamati nzima ya Serikali ya kijiji walinifuata nikawakatalia,yule mwenye ng'ombe alilia sana na alikuwa mzee,wakasema watafanya yao,lkn sikutishika.

Nakwambia hadi leo hakuna jambo lolote baya la kipekee lililonipata.Sasa kuna sababu gani ya mimi kuamini uchawi??.Ni upuuzi tu.

Nilipoajiriwa,nilikwenda Ngara,huko nikajishughulisha na kilimo cha Maharage,Nyanya na Mpunga,jamaa mmoja tuliyekuwa tunalima naye alikuwa anaogopeka kijijini pale kuwa ni bonge la chuma ulete,baba yake aliogopwa na wakazi wa pale kwa uchawi wa kila namna,jamaa yule akanishawishi kuwa anipe dawa niichanganye na mbegu ili kuzuia chuma ulete aka wakupaji wa mazao,huyu naye nikamtolea nje,nilimwambia mimi siogopi kitu,mbegu zangu nitazipeleka tu Kanisani kwaajili ya Baraka ya Padre,hiyo dawa aitumie yeye mwenyewe,nakwambia ktk mavuno nilikuwa nampiga gepu kubwa sana kwa eneo linalofanana ukubwa,jamaa akaniambia aisee,wewe jamaa una Imani kubwa!!!!,Mimi nilimsihi kumwamini Mungu na kutumia utaalamu ktk kilimo wala haina haja ya kuhangaika na dawa za kienyeji,ni kupoteza muda tu.

Siku nyingine kuna mama mmoja alishikwa na Mapepo km Kiongozi wa jumuiya nikaenda na wenzangu kumuombea,Jamaa mwingine(hakuwa Mkristo)aliyeamini sana ktk uchawi,alikuja na dawa kwaajili ya kumsaidia yule mama,lkn akiwa anakuja alikamatwa na mapepo yaliyotoka kwa yule mama yakampiga sana hadi jamaa akazirai,yakisema unaenda wapi?,wewe hutuwezi tulikuwa tunatafuta kwa kwenda sasa tumepata,wakati huo sisi tunaendelea na maombi,kwa hiyo mapepo yamemtoka mgonjwa na kumqingia yule jamaa aliyeamini uchawi.

Ndugu zangu Nina shuhuda nyingi za kutosha kusema kuwa "UCHAWI HAUPO" ila ni jinsi ulivyoiseti halmashauri ya Ubongo wako.Nakumbuka siku za nyuma kuna jamaa hapa JF aliwahi kusema "ikiwa kuna mtu anayejua kuroga amroge,akaleta mrejesho kuwa hakuna aliyejitikeza kumroga", Kumbe uchawi haupo ni fikra zetu tu.

HITIMISHO.
Ukimwamini Yesu na nguvu zake huna sababu ya kuhofu na kudhani kuwa UCHAWI upo,Kuamini uchawi ni matokeo ya kutokuwa na Imani kwa Mungu aishiye milele.Uchawi una madhara mengi ktk jamii sina haja ya kuyataja maana yaliyotokea Shinyanga kila mmoja ni shahidi,Uchawi unasababisha watu wasifanye maendeleo,na hatari zaidi kuliko yote,Uchawi unafanya watu kuwahusu binadamu wenzao ambao wanawadhani kuwa wachawi.Km kweli kuna MTU ni Mchawi humu JF aniroge mimi tuone.
Ukiamini Yesu yupo hata uchawi upo. Huwezi kutumia jina la Yesu, huku kitabu kilichomwandika Yesu kinatuambua uchawi.
 
Kama uamini uchawi nenda kwy mazabau ya makanisa au msikitini alafu fanya kitu kama kuiba vile vitu vilivyopo pale sehemu ya mungu, alafu uje utoe mrejesho. Maana vile vina mazindiko ya kidini(Wakfu) ambao ni kama uchawi tuuuu, uje utoe mrejesho apa
 
Yaani unajitekenya na kucheka mwenyewe,
Unasema uchawi haupo na bado unaamini kuna mapepo,

Unasema uchawi haupo mbegu zako unapeleka kwa padri,

Unasema uchawi haupo wakati kitabu unachokiamini kimezungumzia uchawi na wachawi,

Unasema uchawi ni imani na hapo hapo wewe una Imani na Yesu,

The world is crazy place for sure, lol
 
Back
Top Bottom