Uchawi haupo, ni imani tu

Siamini na siamini uchawi .hakuna ujinga kama huo duniani na nashangaa hata wasomi wengi wanaamini huu ujinga,
Nilishawai kukaa na waganga 6 nikawaambia kama ujinga huu upo basi nawaparuhusa ya kunifanya chochote waliniiambia nikanunue baadhi ya vitu nikanunua na wakafanya mambo yao lakini hadi sasa mwaka wa nane nadunda na wenyewe wanne tayari wameshatangulia mbele za haki,vijana acheni hofu kwa vitu ambavyo havipo
Mkuu, nakushukuru sana kwa kuniunga mkono.Nimefanya reseach asilimia zaidi ya tisini humu JF wamaamini sana Uchawi na wanauogopa balaa.
 
Siamini na siamini uchawi .hakuna ujinga kama huo duniani na nashangaa hata wasomi wengi wanaamini huu ujinga,
Nilishawai kukaa na waganga 6 nikawaambia kama ujinga huu upo basi nawaparuhusa ya kunifanya chochote waliniiambia nikanunue baadhi ya vitu nikanunua na wakafanya mambo yao lakini hadi sasa mwaka wa nane nadunda na wenyewe wanne tayari wameshatangulia mbele za haki,vijana acheni hofu kwa vitu ambavyo havipo
Umeua.....
 
Back
Top Bottom