Uchawi haupo, ni imani tu

Uchawi haupo, ni imani tu

Yaani unajitekenya na kucheka mwenyewe,
Unasema uchawi haupo na bado unaamini kuna mapepo,

Unasema uchawi haupo mbegu zako unapeleka kwa padri,

Unasema uchawi haupo wakati kitabu unachokiamini kimezungumzia uchawi na wachawi,

Unasema uchawi ni imani na hapo hapo wewe una Imani na Yesu,

The world is crazy place for sure, lol
Wachawi wote pumbavu zao.
 
Hakuna uchawi!!!
Walahi nakuapia nipe jina lako pm jina lako halisi na la mamako then baada ya usiku mmoja tu ulete mrejesho hapa hapa.

Mimi si mchawi ila nipe hayo majina.
@Fall Army Worm haya toa majina baada ya siku moja utuletee mrejesho
 
Hakuna uchawi!!!
Walahi nakuapia nipe jina lako pm jina lako halisi na la mamako then baada ya usiku mmoja tu ulete mrejesho hapa hapa.

Mimi si mchawi ila nipe hayo majina.
Jina langu ni hilo Fall Army worm,Mama yangu anahusikaje hapo?.Wewe fanya fasta ukaniroge,mbona unachelewa sana?,Ujue kesho kutwa nitaweka mrejesho kuwa Utafiti wangu I me fanikiwa sana,kwasababu sijarogwa?!!!
 
Mbona kama unatetemeka mtumishi lol?
Umeambiwa toa jina lako halisi na la mama yako kisha ulete mrejesho.
Sijawahi ona Mchawi mjinga na mwoga km wewe, sasa nijuavyo mimi Mchawi Concord ashajua jina langu halisi ni nani hadi ukoo wangu wote,sasa wewe ni mchawi unayejifunza kuroga,yaani upo field.
 
Kuhusu mambo ya kiroho na kanuni zake watu wengi ni wajinga ukiwemo ww mleta uzi tena umjinga haswa, soma sana makala na sikiliza sana mafundisho ya kiroho utaondoka na huo ujinga ulionao...
Kwa kifupi sana iko hv, sambamba na ulimwengu huu wa mwili tuouishi Kuna ulimwengu mwingine wa kiroho ambapo kuna pande mbili nuru na giza, hizi pande zote zina nguvu za kuathiri mambo yanayotokea ktk ulimwengu wa mwili, ni ww mwenyew ndio utachagua utumie nguvu za upande upi kuathiri jambo wengine wanatumia maombi na sala huu ni upande wa nuru na kuna ambao wanatumia uchawi na ulozi hawa wamechagua giza
kukanusha kitu ambacho kipo na kuna ushahidi wa maandiko juu ya uwepo wa kitu hicho ni dalili ya ukafiri
 
Heshima zenu mabibi na mabwana...!!!!,Kuna hii hoja ya Uchawi kuwa upo,lkn mimi nasema hivi Uchawi haupo,kilichopo ni Imani tu za ushirikina ambazo kimsingi hujengwa tu ktk akili ya mtu,yaani mind set.Sasa unabisha??.Tuliza kimukhe mukhe nikupe mambo wewe.

Nakwambiaje Uchawi haupo ila ubongo wako tu ulivyouset. Ni sawa na kuamini kuwa wewe huna akili,nakwambia itakuwa hivyo hivyo.Sasa unataka kujua hoja yangu imelala wapi? Hebu nisimulie matukio yafuatayo uone jinsi ambavyo Uchawi haupo kabisa.

Mwaka 2009,nilikuwa Rukwa,kwaajili ya Field ya muda mrefu ktk Wilaya ya Nkasi,kutokana na muda kuwa mrefu nikalima mahindi ekari moja,Kabla ya kupanda mama mwenye nyumba (nilipopanga)akanishauri kuwa anipe dawa ya kienyeji ili niichanganye na mbegu ili kuweka ulinzi dhidi ya Chuma ulete au wakupaji wa mazao,nikakataa nikasema shamba langu litalindwa na damu ya Yesu,akanicheka sana lkn kwenye mavuno nikamzidi.

Mwezi mmoja baadaye niliamuru ng'ombe mzima afukiwe (Km Afisa kilimo na mifugo)kwasababu hakuwa anafaa kuliwa,wazee wakanifata wakanisii sana kuwa nisifanye hivyo kwa ujumla kamati nzima ya Serikali ya kijiji walinifuata nikawakatalia,yule mwenye ng'ombe alilia sana na alikuwa mzee,wakasema watafanya yao,lkn sikutishika.

Nakwambia hadi leo hakuna jambo lolote baya la kipekee lililonipata.Sasa kuna sababu gani ya mimi kuamini uchawi??.Ni upuuzi tu.

Nilipoajiriwa,nilikwenda Ngara,huko nikajishughulisha na kilimo cha Maharage,Nyanya na Mpunga,jamaa mmoja tuliyekuwa tunalima naye alikuwa anaogopeka kijijini pale kuwa ni bonge la chuma ulete,baba yake aliogopwa na wakazi wa pale kwa uchawi wa kila namna,jamaa yule akanishawishi kuwa anipe dawa niichanganye na mbegu ili kuzuia chuma ulete aka wakupaji wa mazao,huyu naye nikamtolea nje,nilimwambia mimi siogopi kitu,mbegu zangu nitazipeleka tu Kanisani kwaajili ya Baraka ya Padre,hiyo dawa aitumie yeye mwenyewe,nakwambia ktk mavuno nilikuwa nampiga gepu kubwa sana kwa eneo linalofanana ukubwa,jamaa akaniambia aisee,wewe jamaa una Imani kubwa!!!!,Mimi nilimsihi kumwamini Mungu na kutumia utaalamu ktk kilimo wala haina haja ya kuhangaika na dawa za kienyeji,ni kupoteza muda tu.

Siku nyingine kuna mama mmoja alishikwa na Mapepo km Kiongozi wa jumuiya nikaenda na wenzangu kumuombea,Jamaa mwingine(hakuwa Mkristo)aliyeamini sana ktk uchawi,alikuja na dawa kwaajili ya kumsaidia yule mama,lkn akiwa anakuja alikamatwa na mapepo yaliyotoka kwa yule mama yakampiga sana hadi jamaa akazirai,yakisema unaenda wapi?,wewe hutuwezi tulikuwa tunatafuta kwa kwenda sasa tumepata,wakati huo sisi tunaendelea na maombi,kwa hiyo mapepo yamemtoka mgonjwa na kumqingia yule jamaa aliyeamini uchawi.

Ndugu zangu Nina shuhuda nyingi za kutosha kusema kuwa "UCHAWI HAUPO" ila ni jinsi ulivyoiseti halmashauri ya Ubongo wako.Nakumbuka siku za nyuma kuna jamaa hapa JF aliwahi kusema "ikiwa kuna mtu anayejua kuroga amroge,akaleta mrejesho kuwa hakuna aliyejitikeza kumroga", Kumbe uchawi haupo ni fikra zetu tu.

HITIMISHO.
Ukimwamini Yesu na nguvu zake huna sababu ya kuhofu na kudhani kuwa UCHAWI upo,Kuamini uchawi ni matokeo ya kutokuwa na Imani kwa Mungu aishiye milele.Uchawi una madhara mengi ktk jamii sina haja ya kuyataja maana yaliyotokea Shinyanga kila mmoja ni shahidi,Uchawi unasababisha watu wasifanye maendeleo,na hatari zaidi kuliko yote,Uchawi unafanya watu kuwahusu binadamu wenzao ambao wanawadhani kuwa wachawi.Km kweli kuna MTU ni Mchawi humu JF aniroge mimi tuone.
Chief bado hujakutana na wachawi.
 
Umekutana na watia biti.
Pia inatakiwa useme kuwa wew hawawezi kukuloga ila usiseme uchawi hamna.Biblia yenyewe unayoiamini inakiri uwepo wa uchawi wewe naaaani uipinge?
 
Sijawahi ona Mchawi mjinga na mwoga km wewe, sasa nijuavyo mimi Mchawi Concord ashajua jina langu halisi ni nani hadi ukoo wangu wote,sasa wewe ni mchawi unayejifunza kuroga,yaani upo field.
Naapa if real hudhuriki na huamini uchawi upo.nakuomba tena nakuomba nipe hata pm tu chief jina lako halisi.

Kwanini nataka majina halisi ni kwa sababu ya kurahisisha kazi ndugu angu ndo maana nasema ili kazi iwe ya haraka nipe hayo majina usiku mmoja tu kesho kutwa ulete mrejesho.

Maandishi yetu ni ushahidi wa milele ima Mimi au wewe so toa majina .
 
Unachonishangazani kua unaamini kuna dini na yesu,halafu huamini kama uchawi upo wakati kitabu ulichochagua kukiamini kinasisitiza kua nguvu za giza zipo na wafuasi wake wanahimizwa kuziepuka kwa kua ni dhambi..sasa si ujinga huu?
Hapo kitabu chako kinasema upo

KOL. 1:13-14 SUV​

Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi
 
Bibia yenyewe inaamin kuwa uchawi upo na wacgawi wapo tangu enzi za manabii kristo na Haya mitume
Wewekukataa uchawi kuwepo ni ishara tosha maandiko huyajui
 
Back
Top Bottom