Uchawi haupo, ni imani tu

Biblia yenyewe inasema usiache mwanamke mchawi aishi, wewe mtoto wa juz bado unanuka maziwa unakuja kuropoka utopolo, huu uzi ma mods wauweke kwenye jukwaa la jokes
Ndio maana nikasema Uchawi haupo kwa wenyewe,ila kilichopo ni Imani tu,maana yake uwepo wa Uchawi unategemea mindset yako.
 
Ndio maana nikasema Uchawi haupo kwa wenyewe,ila kilichopo ni Imani tu,maana yake uwepo wa Uchawi unategemea mindset yako.

Khaa ipo siku utabadilisha mindset yako! Na nakuonea huruma kwsbb inaonekana hata neno la kwenye biblia hulijui vizuri maana biblia yenyewe imeacknowledge kuwa uchawi upo na hadi kusema usimwache mwanamke mchawi aishi yaani ni wanatakiwa kuuwawa kabisa ‘Kutoka 22:18 or 18:22’. Sasa mtu mwenyewe unakinzana na neno
 
Wewe bado hujanielewa.Great thinker peke yao ndio wanaweza kunielewa.
 
Ndio maana nikasema Uchawi haupo kwa wenyewe,ila kilichopo ni Imani tu,maana yake uwepo wa Uchawi unategemea mindset yako.

Kwa hiyo unaenda kinyume na kitabu cha Mungu unachokiamin? Kama uchawi haupo basi Mungu pia ni Imani tu hayupo au sio
 
Nina uchawi wangu mpyaaa nataka wewe ndio uuzindue,

Usiku wako wa leo utakua wa tabu sana.
Huna lolote wewe,njoo ujaribu km hujateketezwa kwa moto wa damu ya YESU.Wewe ni Mchawi wa mtandaoni,isitoshe Wachawi kweli kweli huwa hawajisemi.
 
Cheka ukimaliza weka jina tukuroge,
Ili uende ukatoe ushuhuda kwa waumini wako,

Unaamini kuna mapepo halafu huamini kuna uchawi

Hakika washakuroga huko Rukwa
Nacheka jinsi watu mlivyo wajinga kwa kuamini na kuuogopa Uchawi wakati kiuhalisia haupo.
 
Huamini kuna uchawi Ila unaamini Kuna Mungu, hii Kali ya mwaka,ungekuwa huamini uchawi na kanisaji pia usingeenda otherwise huo wa kanisani ndo uchawi wako wenyewe uliowazidi nguvu uchawi wa kienyeji..
 
uchawi upo mkuu usikatae maan ata kwenye vitabu vitakatifu wachawi wametajwa sanaa....
Na njia pekee ya kujilinda nao ni iman... ukiamin huwez kusumbuliwa na hutomwogopa...
sasa usijisifu uchawi haupo ukabweteka ukaacha kushikilia iman yako... Mkuu utapigwa na wachawi kipogo cha barcelona
 
Unasema uchawi hakuna bali ni imani tu uliyojijengea kwenye ubongo.
Lakini hapohapo unaamini kuna mungu.

Ina maana mungu hayupo ni imani tu uliyojijengea kwenye ubongo wako?
 
Unasema uchawi hakuna bali ni imani tu uliyojijengea kwenye ubongo.
Lakini hapohapo unaamini kuna mungu.

Ina maana mungu hayupo ni imani tu uliyojijengea kwenye ubongo wako?
Imani ihusuyo Mungu ina nguvu kuliko uchawi
 
uchawi upo mkuu usikatae maan ata kwenye vitabu vitakatifu wachawi wametajwa sanaa....
Na njia pekee ya kujilinda nao ni iman... ukiamin huwez kusumbuliwa na hutomwogopa...
sasa usijisifu uchawi haupo ukabweteka ukaacha kushikilia iman yako... Mkuu utapigwa na wachawi kipogo cha barcelona
Kha!kha!kha!,ninawakaribisha sana
 
Lakini still ni imani.
Imani kuwa na nguvu au lah hakuondoi uhalisia wa imani.

Hata uchawi ni imani pia hivyo kusema haupo ni sawasawa na kusema mungu hayupo sababu vyote ni imani.
Mungu yupo,usifananishe Mungu na huo Upumbavu
 
Siamini na siamini uchawi .hakuna ujinga kama huo duniani na nashangaa hata wasomi wengi wanaamini huu ujinga,
Nilishawai kukaa na waganga 6 nikawaambia kama ujinga huu upo basi nawaparuhusa ya kunifanya chochote waliniiambia nikanunue baadhi ya vitu nikanunua na wakafanya mambo yao lakini hadi sasa mwaka wa nane nadunda na wenyewe wanne tayari wameshatangulia mbele za haki,vijana acheni hofu kwa vitu ambavyo havipo
 
Back
Top Bottom