Uchawi haupo, ni imani tu

Uchawi haupo, ni imani tu

mk8 kama unamuamini mungu kisha huamini kama uchawi upo basi imani yako ina mashaka, ikiwa maandiko yanathibitisha uchawi upo wewe ni nani hata ukatae maana yake unampinga mungu aliesema kupitia maandiko.
 
Mimi na wewe ili kwa kuwa na Imani thabiti kwa Mungu tulielewe na tuliishi.

Fumbo kwamba Yesu ni Mungu aliyekufa msalabani, aliyetungikwa na msalabani na viumbe wake, isitoshe akamlilia Mungu mwingine eti:- Eloi eloi lamasabachtan. Mungu Yesu anamlilia msaada Mungu mwingine!!!, sasa uungu wa Yesu upo wapi??
 
Uchawi upo sema kutokurogeka napo kupo kutoka na kinga zako za kiroho na mwili, kwamfano umejiweka kwa Munga Sana na wengine wanakinga zao tangu kuzaliwa jinsi ulivyowekewa kinga hasa kitovu chako, na mtu hawezi kukuloga Kama hajui undani wako yaani ndugu wanaweza kukuloga kirahi kuliko mtu baki mfano unaweza kuwa Kuna vitu umebadili Kama jina na vingine hivyo uchawi upo nakutokurogeka kupo.
 
Imani ni Imani tu...., siamini uchawi per se..., sababu watu mara nyingi wakikumbwa na wasichokijua ukimbilia kwenye majibu rahisi ya uchawi...

Ila pale unapoona imani nyingine (mfano za mababu zetu kabla ya kuletewa mfano hii imani ya wana-Israeli) nadhani unakuwa umepotoka na huwatendei haki mababu zetu kwa kuwaona ni wapuuzi....... (sababu when push comes to shove....., zote ni Imani tu)
 
mk8 kama unamuamini mungu kisha huamini kama uchawi upo basi imani yako ina mashaka, ikiwa maandiko yanathibitisha uchawi upo wewe ni nani hata ukatae maana yake unampinga mungu aliesema kupitia maandiko.
Umesoma uzi vizuri??,Je umenielewa?.Km bado hujanielewa njoo tena nikufafanulie,maana unachokoment ni km vile hujanielewa.
 
Imani ni Imani tu...., siamini uchawi per se..., sababu watu mara nyingi wakikumbwa na wasichokijua ukimbilia kwenye majibu rahisi ya uchawi...

Ila pale unapoona imani nyingine (mfano za mababu zetu kabla ya kuletewa mfano hii imani ya wana-Israeli) nadhani unakuwa umepotoka na huwatendei haki mababu zetu kwa kuwaona ni wapuuzi....... (sababu when push comes to shove....., zote ni Imani tu)
Kwa hiyo Wewe upo upande upi?
 
Uchawi upo sema kutokurogeka napo kupo kutoka na kinga zako za kiroho na mwili, kwamfano umejiweka kwa Munga Sana na wengine wanakinga zao tangu kuzaliwa jinsi ulivyowekewa kinga hasa kitovu chako, na mtu hawezi kukuloga Kama hajui undani wako yaani ndugu wanaweza kukuloga kirahi kuliko mtu baki mfano unaweza kuwa Kuna vitu umebadili Kama jina na vingine hivyo uchawi upo nakutokurogeka kupo.
Mimi nitaamini tu pale mtu akiniroga,tofauti na hapo naona ni utoporo tu.
 
Fumbo kwamba Yesu ni Mungu aliyekufa msalabani, aliyetungikwa na msalabani na viumbe wake, isitoshe akamlilia Mungu mwingine eti:- Eloi eloi lamasabachtan. Mungu Yesu anamlilia msaada Mungu mwingine!!!, sasa uungu wa Yesu upo wapi??
Mimeshakwambia kuwa hilo ni fumbo la Imani, hivyo huwezi kulielewa kwa akili yako,na wewe si mtu wa kwanza kutolielewa,Wagiriki wa zamani pia walipata tabu sana kumuelewa.Neema ya Mungu ikushukie ili uweze kuelewa mafumbo hayo ya Kimungu.
 
Yaani una imani kwa Yesu lakini humuamini Yesu? 😀 Kazi kweli kweli.

Ezekiel 13:20 - Basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni kinyume cha hirizi zenu, ambazo kwa hizo mnaziwinda roho za watu kama ndege, nami nitazitoa katika mikono yenu kwa nguvu; nami nitaziachilia roho zile mnazoziwinda kama ndege.

Acts 8:9 - Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Simoni ambaye alikuwa amekwisha fanya uchawi wake katika mji huo kwa muda na kuwashangaza watu wa Samaria, akijiona kuwa yeye ni mtu maarufu.

Kutoka 7:22- Lakini waganga wa Misri wakafanya mfano wa hayo kwa uganga wao; na moyo wake Farao ukawa mgumu, wala hakuwasikiza, kama Bwana alivyonena.
 
Umesoma uzi vizuri??,Je umenielewa?.Km bado hujanielewa njoo tena nikufafanulie,maana unachokoment ni km vile hujanielewa.
hoja yako ni kupinga uchawi nami nimekujibu kua uchawi upo coz mungu katueleza kupitia maandiko sasa sijui wapi hujaelewa
 
Back
Top Bottom