Uchawi haupo, ni imani tu

Uchawi haupo, ni imani tu

Yaani una imani kwa Yesu lakini humuamini Yesu? 😀 Kazi kweli kweli.

Ezekiel 13:20 - Basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni kinyume cha hirizi zenu, ambazo kwa hizo mnaziwinda roho za watu kama ndege, nami nitazitoa katika mikono yenu kwa nguvu; nami nitaziachilia roho zile mnazoziwinda kama ndege.

Acts 8:9 - Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Simoni ambaye alikuwa amekwisha fanya uchawi wake katika mji huo kwa muda na kuwashangaza watu wa Samaria, akijiona kuwa yeye ni mtu maarufu.

Kutoka 7:22- Lakini waganga wa Misri wakafanya mfano wa hayo kwa uganga wao; na moyo wake Farao ukawa mgumu, wala hakuwasikiza, kama Bwana alivyonena.
Ndugu yangu mbona nimeweka wazi kuwa Uchawi haupo wenyewe km wenyewe,unategemea sana akili zetu;Kwa maana nyingine km sisi hatutaruhusu akili zetu kufikiri juu ya Uchawi basi hautakuwepo.Hivyo basi narudi kule kule kuwa kwa matukio niliyopitia,nina kila sababu ya kusema Uchawi haupo. Ninyi mnataka nikubali kitu ambacho sikioni wala sikiamini hiyo hamtaweza,Ni sawa na mtu kusema eti kuna baridi wakati mimi sisikii baridi,kwa hiyo unalazimisha nikubaliane kuwa ipo?ili iweje?,Kutajwa kwenye Biblia nishasema sio hoja,hebu soma comment zangu huko nyuma jionee mwenyewe.
 
hoja yako ni kupinga uchawi nami nimekujibu kua uchawi upo coz mungu katueleza kupitia maandiko sasa sijui wapi hujaelewa
Upo kwasababu akili yako imeruhusu kitu km hicho,lkn isingeruhusu Uchawi usingekuwepo.
 
Upo kwasababu akili yako imeruhusu kitu km hicho,lkn isingeruhusu Uchawi usingekuwepo.
wewe na mungu tumuamini nani katika jambo hili? yaani muumba mbingu na nchi atudhihirishie lipo alafu we popoma unakanusha, hivi hukuwahi ona hata mazingaombwe wakati unasoma ukajifunza
 
Ndugu yangu mbona nimeweka wazi kuwa Uchawi haupo wenyewe km wenyewe,unategemea sana akili zetu;Kwa maana nyingine km sisi hatutaruhusu akili zetu kufikiri juu ya Uchawi basi hautakuwepo.Hivyo basi narudi kule kule kuwa kwa matukio niliyopitia,nina kila sababu ya kusema Uchawi haupo. Ninyi mnataka nikubali kitu ambacho sikioni wala sikiamini hiyo hamtaweza,Ni sawa na mtu kusema eti kuna baridi wakati mimi sisikii baridi,kwa hiyo unalazimisha nikubaliane kuwa ipo?ili iweje?,Kutajwa kwenye Biblia nishasema sio hoja,hebu soma comment zangu huko nyuma jionee mwenyewe.
kama mungu mwenyewe haonekani na hajawahi onekana kwa nini unaamini yupo?
 
Ndugu yangu mbona nimeweka wazi kuwa Uchawi haupo wenyewe km wenyewe,unategemea sana akili zetu;Kwa maana nyingine km sisi hatutaruhusu akili zetu kufikiri juu ya Uchawi basi hautakuwepo.Hivyo basi narudi kule kule kuwa kwa matukio niliyopitia,nina kila sababu ya kusema Uchawi haupo. Ninyi mnataka nikubali kitu ambacho sikioni wala sikiamini hiyo hamtaweza,Ni sawa na mtu kusema eti kuna baridi wakati mimi sisikii baridi,kwa hiyo unalazimisha nikubaliane kuwa ipo?ili iweje?,Kutajwa kwenye Biblia nishasema sio hoja,hebu soma comment zangu huko nyuma jionee mwenyewe.
Yaani una imani kwa Yesu halafu unadharau Bibilia? Yaani sio hoja kwako maneno yatokayo kwa Mungu ambae unadai unamwamini?

Wewe unamuamini Yesu, ushawahi kumuona? Unaamini malaika ushawahi kumuona? Tizama unavojicontradict sasa, ulisema " Siku nyingine kuna mama mmoja alishikwa na Mapepo km Kiongozi wa jumuiya nikaenda na wenzangu kumuombea..." Hilo pepo wewe umeliona? kwanini haikukujia kuwa ni mental illness badala yake umeamini kuwa ni pepo?

Kwa sababu mtu wa dodoma hajawahi kuona bahari haimaanishi kuwa bahari haipo.
 
huyo jamaa hajielewi, kwanza sidhani kama anamwamini mungu kama alivosema
 
wewe na mungu tumuamini nani katika jambo hili? yaani muumba mbingu na nchi atudhihirishie lipo alafu we popoma unakanusha, hivi hukuwahi ona hata mazingaombwe wakati unasoma ukajifunza
Nasisitiza Uchawi upo kwasababu akili yako imeruhusu Uchawi lkn kwangu haupo kwasababu sijaruhusu akili kuufikiria.Fullstop,hivyo Uchawi haupo.
 
Yaani una imani kwa Yesu halafu unadharau Bibilia? Yaani sio hoja kwako maneno yatokayo kwa Mungu ambae unadai unamwamini?

Wewe unamuamini Yesu, ushawahi kumuona? Unaamini malaika ushawahi kumuona? Tizama unavojicontradict sasa, ulisema " Siku nyingine kuna mama mmoja alishikwa na Mapepo km Kiongozi wa jumuiya nikaenda na wenzangu kumuombea..." Hilo pepo wewe umeliona? kwanini haikukujia kuwa ni mental illness badala yake umeamini kuwa ni pepo?

Kwa sababu mtu wa dodoma hajawahi kuona bahari haimaanishi kuwa bahari haipo.
Mkuu kuhusu mama mwenye pepo,alipelekwa hospital hawakuuona ugonjwa,ndio ikaonekana kuwa ana mapepo kutokana na dalili.
 
Nasisitiza Uchawi upo kwasababu akili yako imeruhusu Uchawi lkn kwangu haupo kwasababu sijaruhusu akili kuufikiria.Fullstop,hivyo Uchawi haupo.
alieiumba akili katueleza uchawi upo alafu we unakanusha then at the same time unatudanganya unamuamini mungu, we jamaa ni wa ajabu kuliko maajabu yenyewe
 
Kwa hiyo kuutumikia Uchawi ndo kujielewa?
kupindisha maneno hakutakufanya mshindi katika hili, inshort we humuamini mungu wala nini unazuga tu maana huwezi mwamini mungu then at the same time ukanushe maneno yake na uitumikie akili yako yenye ukomo wa ufaham
 
Mungu aliye muweza na mjuzi wa yote anajua km ninamwamini yeye au lah!!!!
 
Matendo yake Makuu kwangu
ikiwa mungu unaemsadiki matendo yake ni makuu ndo anaeleza habari za uchawi iweje ukanushe na kuzitumainia akili zako? wewe ni mjinga na siendelei kujibishana nawe maana ntapoteza muda bure tu
 
alieiumba akili katueleza uchawi upo alafu we unakanusha then at the same time unatudanganya unamuamini mungu, we jamaa ni wa ajabu kuliko maajabu yenyewe
Sikukatazi kuamini hivyo, lkn utakuwa mtumwa wa Imani hiyo hadi utakapompokea Yesu.
 
Mkuu ukishaamini kuwa Uchawi upo,hilo ni tatizo,wewe amini kuwa Haupo,utaishi kwa raga mustarehe.
Kutoamini kuwa Uchawi haupo hakuondoi Ukweli kuwa Uchawi Upo!

Mchawi Ndugu Mkuu, mtu baki hawezi kukuroga bila connection ya Ndugu....

All in all kila mtu ana uzoefu wake......
 
Mimeshakwambia kuwa hilo ni fumbo la Imani, hivyo huwezi kulielewa kwa akili yako,na wewe si mtu wa kwanza kutolielewa,Wagiriki wa zamani pia walipata tabu sana kumuelewa.Neema ya Mungu ikushukie ili uweze kuelewa mafumbo hayo ya Kimungu.

Hilo ni Fumbo lilotungwa na watu wajinga wala halikutungwa na Mungu kwani Mungu ni Mwenye hekima na Busara.

Angalia; kama Yesu ni Mungu na Bikira Maria na roho mtakatifu wote waliumbwa na huyo huyo Mungu, iweje Bikira Maria atape mimba ya (Mungu) Yesu kwa uwezo wa roho mtakatifu???--- yaani Mungu kaumba viumbe na hivyo viumbe vinakuja kumtengeza huyohuyo Mungu tena!!!!, huyo Mungu baadaye anakuja kuuawa na viumbe wake baada ya kupigwa mijeledi na kudhihakiwa baada ya kushushwa msalabani Mungu huyo anapigwa mkuki mbavuni!!!🤣🤣, huyo Mungu baada ya siku saba alipozaliwa akatahiriwa, Mungu gani anatahiriwa??!!🤣🤣, Mungu anazaliwa na kiumbe chake??, sasa nani mkubwa kati ya aliyemzaa Mungu na Mungu mwenyewe???

Hilo ni fumbo la kijinga kuwahi kutokea duniani na kamwe haliwezi kuwa limetoka kwa Mungu nimjuaye, bali litakuwa lilitokea kwa mtu aliyelewa pombe nyingi.

Mungu aliyemuumba Yesu na Maria, Mungu aliyeumba kila kitu, Mungu asiyefanana na chochote, Mungu asiyekufa wala asiyezaliwa, huyo ndiye Mungu wa haki anayestahili kuabudiwa na kuombwa msaada, tunajifunza kutoka kwa Yesu pale alipomuomba msaada Mungu wa kweli katika machungu ya msalaba aliposema: eloi eloi----, tunajifunza kwa yesu kwamba Mungu anayestahili kuombwa ni Yule Mungu aliyemuomba pale Getsmane ili amuepushe na kikombe cha mauti ya msalaba, huyo ndiye Mungu wa kweli aliyemtuma Yesu kuwakomboa wana wa Israeli tu. Yesu alitumwa na Mungu kwa wana wa Israeli tu. (Mathayo 15:24).
 
Heshima zenu mabibi na mabwana...!!!!,Kuna hii hoja ya Uchawi kuwa upo,lkn mimi nasema hivi Uchawi haupo,kilichopo ni Imani tu za ushirikina ambazo kimsingi hujengwa tu ktk akili ya mtu,yaani mind set.Sasa unabisha??.Tuliza kimukhe mukhe nikupe mambo wewe.

Nakwambiaje Uchawi haupo ila ubongo wako tu ulivyouset. Ni sawa na kuamini kuwa wewe huna akili,nakwambia itakuwa hivyo hivyo.Sasa unataka kujua hoja yangu imelala wapi? Hebu nisimulie matukio yafuatayo uone jinsi ambavyo Uchawi haupo kabisa.

Mwaka 2009,nilikuwa Rukwa,kwaajili ya Field ya muda mrefu ktk Wilaya ya Nkasi,kutokana na muda kuwa mrefu nikalima mahindi ekari moja,Kabla ya kupanda mama mwenye nyumba (nilipopanga)akanishauri kuwa anipe dawa ya kienyeji ili niichanganye na mbegu ili kuweka ulinzi dhidi ya Chuma ulete au wakupaji wa mazao,nikakataa nikasema shamba langu litalindwa na damu ya Yesu,akanicheka sana lkn kwenye mavuno nikamzidi.

Mwezi mmoja baadaye niliamuru ng'ombe mzima afukiwe (Km Afisa kilimo na mifugo)kwasababu hakuwa anafaa kuliwa,wazee wakanifata wakanisii sana kuwa nisifanye hivyo kwa ujumla kamati nzima ya Serikali ya kijiji walinifuata nikawakatalia,yule mwenye ng'ombe alilia sana na alikuwa mzee,wakasema watafanya yao,lkn sikutishika.

Nakwambia hadi leo hakuna jambo lolote baya la kipekee lililonipata.Sasa kuna sababu gani ya mimi kuamini uchawi??.Ni upuuzi tu.

Nilipoajiriwa,nilikwenda Ngara,huko nikajishughulisha na kilimo cha Maharage,Nyanya na Mpunga,jamaa mmoja tuliyekuwa tunalima naye alikuwa anaogopeka kijijini pale kuwa ni bonge la chuma ulete,baba yake aliogopwa na wakazi wa pale kwa uchawi wa kila namna,jamaa yule akanishawishi kuwa anipe dawa niichanganye na mbegu ili kuzuia chuma ulete aka wakupaji wa mazao,huyu naye nikamtolea nje,nilimwambia mimi siogopi kitu,mbegu zangu nitazipeleka tu Kanisani kwaajili ya Baraka ya Padre,hiyo dawa aitumie yeye mwenyewe,nakwambia ktk mavuno nilikuwa nampiga gepu kubwa sana kwa eneo linalofanana ukubwa,jamaa akaniambia aisee,wewe jamaa una Imani kubwa!!!!,Mimi nilimsihi kumwamini Mungu na kutumia utaalamu ktk kilimo wala haina haja ya kuhangaika na dawa za kienyeji,ni kupoteza muda tu.

Siku nyingine kuna mama mmoja alishikwa na Mapepo km Kiongozi wa jumuiya nikaenda na wenzangu kumuombea,Jamaa mwingine(hakuwa Mkristo)aliyeamini sana ktk uchawi,alikuja na dawa kwaajili ya kumsaidia yule mama,lkn akiwa anakuja alikamatwa na mapepo yaliyotoka kwa yule mama yakampiga sana hadi jamaa akazirai,yakisema unaenda wapi?,wewe hutuwezi tulikuwa tunatafuta kwa kwenda sasa tumepata,wakati huo sisi tunaendelea na maombi,kwa hiyo mapepo yamemtoka mgonjwa na kumqingia yule jamaa aliyeamini uchawi.

Ndugu zangu Nina shuhuda nyingi za kutosha kusema kuwa "UCHAWI HAUPO" ila ni jinsi ulivyoiseti halmashauri ya Ubongo wako.Nakumbuka siku za nyuma kuna jamaa hapa JF aliwahi kusema "ikiwa kuna mtu anayejua kuroga amroge,akaleta mrejesho kuwa hakuna aliyejitikeza kumroga", Kumbe uchawi haupo ni fikra zetu tu.

HITIMISHO.
Ukimwamini Yesu na nguvu zake huna sababu ya kuhofu na kudhani kuwa UCHAWI upo,Kuamini uchawi ni matokeo ya kutokuwa na Imani kwa Mungu aishiye milele.Uchawi una madhara mengi ktk jamii sina haja ya kuyataja maana yaliyotokea Shinyanga kila mmoja ni shahidi,Uchawi unasababisha watu wasifanye maendeleo,na hatari zaidi kuliko yote,Uchawi unafanya watu kuwahusu binadamu wenzao ambao wanawadhani kuwa wachawi.Km kweli kuna MTU ni Mchawi humu JF aniroge mimi tuone.
Sijui kwanini watu wa aina yako kila ninayekutana nae huwa ana kasoro fulani. Umejitahidi kuhubiri hapa na mie pia nawapenda watu wenye imani kama yako lakini hebu angalia vizuri andiko lako. Hoja yako kimsingi ni kuwa uchawi haupo, safi kabisa mpaka hapo lakini mbele tena ukasema mtu kashikwa na mapepo na mwingine akaja kumsaidi kwa dawa, bila shaka ni uchawi mwingine mara paap mapepo yakamrukia daaaah. Utasema mapepo sio uchawi haya banaaa
 
Back
Top Bottom