GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 598
- 853
-Nimeona hii post kwenye mitandao ya kijamii ikionesha klabu ya Simba SC kwenye club ranking ya CAF kwa msimu wa 2024/25 ipo nafasi ya 5 na pointi 39, Yanga ipo nafasi ya 12 na pointi 31, CR Belouizdad nafasi ya 7 pointi 37, Esperance de Tunis nafasi 3 pointi 51 na nk.
-Kwa calculation ya miaka 5 ya club ranking Simba haipo nafasi ya 5 mpaka sasa club ranking ya msimu wa 2024/25 Simba ipo nafasi ya 14 ikiwa na pointi 29 kwa maana hesabu yake ipo hivi msimu (2023/24) point 1 ya kufuzu makundi zidisha na code namba ya msimu huu 5 unapata (5), msimu uliopita (2022/23) Simba iliishia robo fainali pointi 3 zidisha na code namba 4 unapata (12).
- Msimu wa 2021/22 Simba ilishia robo ya kombe la shirikisho pointi 2 zidisha na code namba 3 unapata (6) na msimu 2020/21 Simba iliishia robo fainali ya klabu bingwa pointi 3 zidisha na code namba 2 unapata (6) na msimu wa 2019/20 Simba haikufanikiwa kufuzu makundi hivyo haina pointi (0)
- Sasa chukua pointi 5+12+6+6+0= 29 ndio pointi ilizonazo Simba kwa sasa ila ikifanikiwa kufuzu robo fainali itakuwa imeongeza pointi 10 na kuwa na pointi 39 ndio itapanda mpaka nafasi ya 5 sawa na Petro Luanda ya Angola. Ila ikimaliza nafasi ya tatu kwenye kundi itaongeza pointi 5 na kuwa na pointi 34 na kupanda mpaka nafasi ya 7 na ikimaliza nafasi ya nne kwenye kundi itabaki nafasi ya 14 au kushuka.
- Yanga kwa sasa ina pointi 31 nafasi ya 11 kwenye Club ranking pointi zake Yanga imezitafuta kwa misimu 2 tu msimu uliopita (2022/23) Yanga ilimaliza nafasi ya 2 kwenye kombe la shirikisho na kupata pointi 4 zidisha na code namba 4 ya msimu uliopita unapata 16 msimu huu (2023/24) imefuzu robo fainali ya klabu bingwa pointi 3 zidisha na code namba 5 ya msimu huu unapata 15 chukua 15+16 unapata 31 pointi za Yanga.
-Kwenye club Ranking kwa sasa iko kama ifuatavyo
1-Al Alhy = 72
2-Wydad = 55
3-Mamelod =49
4-Esperance =46
5-Petro Luanda = 39
6-Raja = 35
7-TP Mazembe = 33
8-Zamalek = 33
9-RS Berkane = 32
10- CR Belouizdad =32
11-Yanga SC =31
12-USM Alger =31
13-Asec = 30
14-Simba = 29
15-Pyramids = 29
16-JS Kabylie = 22
17-Al Hilal = 20
18-Horoya = 18
19-Etoil du sahel = 16
20-Orando Pirates = 16
-Ukiangalia hii orodha kuna baadhi amepatia na zingine amekosea hivyo club ranking ya msimu 2024/25 mpaka sasa kwa timu ni hiyo juu Ila timu zinaweza kufuzu kwenda raundi inafuata ya robo fainali zikaongeza pointi na kupata nafasi za juu ila kwa sasa orodha kamili ndio hiyo.
Imeandikwa na KIBONDE Yossima Sitta Jr. .