Uchambuzi wa kina kuhusu kozi za computer - IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security

Saaana. Na nashangaa kwa masaa 20 wachamgiaji hawajafika 50, wabongo tumelaaniwa aisee. Asante sana boss kwa uzi makini, nimepata guidance ya watoto wangu
Kuna mambo ndiyo maana tunapata majibu kwanini tunazidi kurudi nyuma. Kaa hata wanapokuwa vijana watano sikiliza maongezi yao utagundua kitu kikubwa Sana.
 
Kwa vyuo vyetu vya technical hususan Must Na Dit siwezi shangaa kabisa hata wakianzisha kozi za mapishi waweke somo la hesabu, Ni vyuo ambavyo bado havijapevuka kwenye upangaji wa masomo.

Chuo kama MUST diploma wanasoma masomo 14 kwa muhula, What is this ? wao wanasifia kwamba chuo inabidi kiwe kigumu masomo yawe mengi ndio kinamuivisha mtu, Upuuzi mtupu huu.

Hao Arusha Tech nao upangaji wa kozi zao ni shagala bagala, yani hio information technology ni kama vile wame copy na ku paste kutoka modules za computer science, huu kwanini nao nisiuite upuuzi, kuna haja gani kufundisha vitu nje ya taaluma ?? chuo chenyewe hiki hata prospectus yao hawana online ndio unagundua kwamba hata department zao za IT ni bure kabisa.

Itabidi nimstue alieandika hio maada niliyo copy alicheki hili swala maana watoto wa watu wanaweza kwenda machonjo kwa upuuzi upuuzi wa baadhi ya vyuo vyetu.
Aisee, ni ukweli mtupu
Mimi nilisoma Engineering na sasa kazi yang imekuwa inaiingiliana sana na IT Networking na Cyber Security. na kuanza kufanya kazi kwa ukaribu na IT Department yetu.
Huku nimekutana na wakali wa Network Engineering na Cyber security wengine wananiambia, hesabu ndio zilizowafanya wasisomee Engineering. kwa maana hiyo hiyo huko walikosomea hakukuwa hesabu zisizohusiana na fani yao. sio kama bongo unalishwa tu mihesabu migumu hata kwenye kozi ya mapishi
Na kweli nimeona hiyo Arusha Tech, hizo kozi mbili ni zilezile lakini majina tofauti. ndio ujue ma lecturers wa kibongo wengine ni vichwa maji😂
 
hiyo mitaala imepitishwa na TCU.
Angalia mtaala wa MIT
 
Sawa..
Point yangu ni hivi hata hao TCU ni vichwa maji...
Ndio maana watu wengi waliobahatika kusoma nje ya nchi wanaukosoa huu mfumo wa TCU ni utopolo
Exacttly, nakuunga mkono...

Haimaanishi kwamba mtaala ukipitishwa na tcu ndio unakidhi sifa za kozi ya taaluma husika, hasa katika hizi kozi za computer , mfano kuna mdau hapa kaweka link ya kozi za computer science na IT katika chuo cha arusha tech nimebaki nashangaa tu, ni kama vile kozi zimetofautiana majina tu
 
hiyo mitaala imepitishwa na TCU.
Angalia mtaala wa MIT
Kwani hao tcu ndio hawakosei, Hebu tazama utopwinyo walioupitisha Chuo cha Arusha tech kwenye kozi za Computer science na IT, unaweza kudhani ni kozi zilizotofautiana majina tu
 
Bonge la uzi ila kwa sababu wabongo tunapenda kitonga hatutaki kuumiza kichwa tunapenda udaku tu uzi mzuri huu kwa watu wenye akili unakosa wachangiaji wengi
 
Kwani hao tcu ndio hawakosei, Hebu tazama utopwinyo walioupitisha Chuo cha Arusha tech kwenye kozi za Computer science na IT, unaweza kudhani ni kozi zilizotofautiana majina tu

Hii ni link ya Quora unaweza kupitia kujifunza zaidi
 
Hii ni link ya Quora unaweza kupitia kujifunza zaidi
Hawa ni wenzetu wa dunia ya kwanza angalia masomo ya IT wanayojifunza
 
Kwani hao tcu ndio hawakosei, Hebu tazama utopwinyo walioupitisha Chuo cha Arusha tech kwenye kozi za Computer science na IT, unaweza kudhani ni kozi zilizotofautiana majina tu
https://www.ue.edu.ph/mla/p/curriculum.php?c=CIT2019 Hiki chuo kipo Ufilipino masomo ya IT hayo hapo. Arusha Tech na wasimamizi wa elimu kama TCU, NACTE na wengineo wapo sahihi. Labda wewe ungeonesha chuo, kozi na masomo yanayohitajika
 
Mfumo wa masomo japo juu unafuatwa na vyuo hivi :-
University of Derby, University of Kent, Middlesex University, University of Huddersfield, University of Auckland
 
Mfumo wa masomo japo juu unafuatwa na vyuo hivi :-
University of Derby, University of Kent, Middlesex University, University of Huddersfield, University of Auckland
BTech IT Syllabus and Subjects 2022 - Semester Wise
Hiki kipo India
 
Back
Top Bottom