Uchakachuaji wa Rasimu ya Katiba huu hapa

Uchakachuaji wa Rasimu ya Katiba huu hapa

Ni rasimu ipi ilipigiwa Kura kwa Ibara mkuu?? Kama unamaanisha Rasimu ya Katiba ya JMT hakuna kura zilizopigwa kwa IBARA (ARTICLE), kura zote zilipigwa kwa SURA (SECTION). Au unazungumzia Rasimu ya Ndanda FC??

Mwanzo nilidhani unajua kinacho endele kumbe nilikosea! Theluthi mbili zilitafutwa kwa kila ibara ndio maana umeona matokeo yalitangazwa kwa kila ibara na kura.... hata mwana sheria wa Zanzibar hakukataa ibara zote na sura zote .....na nimegundua kwanini umechanganyikiwa kwenye kura ya mwanasheria mkuu wa Zanzibar.
 
**PRECAUTION: Kama hujui Hesabu usisome.!!
--------------------------

Wazungu husema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Ukisema leo kuwa hujaoa halafu baada ya mwezi ukanikopa hela ili umtumie mkeo ni wazi kuwa utaumbuka.. Ukiamua kudanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu sana (Liars must have a good memory).

Katibu wa Bunge Maalum leo katangaza kuwa jumla ya kura zote za Zanzibar ni 219. Japo Samuel Sitta alisema juzi kuwa wajumbe wa Zbar ni 210 but ngoja tukubaliane tu na Katibu kuwa ni 219 (hata km wamechakachua).

Kwa maana hiyo, theluthi mbili ya 219 ni 146. Na Theluthi moja ni 73.

Hivyo basi ili Rasimu ikwame kwa upande wa Zbar ilihitaji kura 74 au zaidi za kuikataa. Yani idadi yoyote ambayo itazidi 73 (theluthi moja) ingekwamisha Rasimu.

Wajumbe wa UKAWA kutoka Zbar ni 67, japokua wao wamesema ni 65 wakimaanisha wawili walipiga kura ya NDIYO. Tukubaliane nao kama tulivyokubaliana nao kwenye idadi ya wajumbe wa Zbar kuwa 219 badala ya 210.

Sasa twende kwenye Hesabu (Maths). Tuseme UKAWA walioikataa Rasimu ni 65 kama walivyosema. Ongeza 8 waliopiga HAPANA (wajumbe 7 plus Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyeikataa jana). Hadi hapo utapata kura 73.

Ongeza Abdallah Abbas ambaye aliondoka Bunge la Katiba na hakupiga kura. Jumla ni 74.

Hadi hapo tayari kura hizo zimeshazidi theluthi moja, ambayo ni 73. Lakini cha ajabu tunaambiwa Rasimu imepita. Imepitaje??

Kama waliokataa wamezidi theluthi moja, inakuaje tena waliokubali nao wazidi theluthi mbili? Hii hesabu mbona haipo? CCM wamechakachua wakashindwa kuweka hesabu vzr.!

Jamani chakachua kote lakini linapokuja swala la hesabu utaumbuka tu. Always number never lie.!

Jipu limepasuka, siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.

Malisa GJ || Your Partner in Critical Thinking.!

Umekumbuka shuka asubuhi. ..pole saana.
 
Mleta uzi umelewa viroba vya ukawa huna jipya zaidi ya mhemuko.mmeumbuka mtajuta
 
NATAMANI KUACHANA NA JIMBO LA Nyumbani KYELA ILI NIKAMG'OE SITA KWAO , NAOMBENI USHAURI JAMANI , UWEZO WA FEDHA BILA KUTEGEMEA CHAMA CHANGU NINAO .

Sita amejimaliza mwenyewe amebaki mwepesi kama karatasi ukipambana naye utakuwa umemuonea itakuwa ni sawa na kumuua panzi kwa tofari.
 
Unajisumbue bure hesabu zenyewe hujui! Nakuonea huruma sana!

Hizi hesabu alianza mahamedi mtoi akaja Tumaini Makene akaja Mungi ukaja wewe na Leo umerudia makosa Yale Yale uliyofanya Jana na walio Fanya wenzio!

Maswala ya mahesabu hebu achaneni nayo na mfanye mkiwa mmetulia sio kwenye pressure namna hii!
Hujui hesabu we endelea kupotosha!
Kawadanganye bavicha wenzio kuwa wewe unajua hesabu!Yani wote mnaandaliwa vya kuandika lakini hamkagui kilicho andikwa mnarudia makosa ya wenzenu.

Ukweli huko hapa

Ungepinga kimahesabu point azilizotoa mkuu hapo juu ningekuwaona wa maana sana kuliko sasa unapo bwabwaja tu
 
Unajisumbue bure hesabu zenyewe hujui! Nakuonea huruma sana!

Hizi hesabu alianza mahamedi mtoi akaja Tumaini Makene akaja Mungi ukaja wewe na Leo umerudia makosa Yale Yale uliyofanya Jana na walio Fanya wenzio!

Maswala ya mahesabu hebu achaneni nayo na mfanye mkiwa mmetulia sio kwenye pressure namna hii!
Hujui hesabu we endelea kupotosha!
Kawadanganye bavicha wenzio kuwa wewe unajua hesabu!Yani wote mnaandaliwa vya kuandika lakini hamkagui kilicho andikwa mnarudia makosa ya wenzenu.

Ukweli huko hapa

Fichaga pumba yako wewe!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo Hesabu haijakosewa mkuu,kama imekosewa embu weka wewe hesabu ambayo haijakosewa,usije na porojo kama hapo juu njoo na hesabu iliyo sahihi

Sasa kama mtu anadhani mwanasheria mkuu wa Zanzibar kasema hapana kwa ibara zote unadhani huyo mtu anajua hesabu? Yani huyu mtu anataka kum group Mwanasheria mkuu wa Zanzibar na watu waliosema hapana ibara zote za rasimu halafu useme huyu mtu anajua hesabu?

Soma hapa ibara zilizo kataliwa na Mwasheria mkuu wa Zanzibar halafu ndio utajua kuna ibara kasema ndio
IBARA
 
NATAMANI KUACHANA NA JIMBO LA Nyumbani KYELA ILI NIKAMG'OE SITA KWAO , NAOMBENI USHAURI JAMANI , UWEZO WA FEDHA BILA KUTEGEMEA CHAMA CHANGU NINAO .

Mung'oe kwanza Mwakie naye ni mmojawapo wa wanaojifanya wajuzi wa sheria wakati ni wachumia tumbo,wasomi wetu njaa zinawafanya wasahau taaluma zao,siku hizi wamekuwa madodoki.
 
**PRECAUTION: Kama hujui Hesabu usisome.!!
--------------------------

Wazungu husema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Ukisema leo kuwa hujaoa halafu baada ya mwezi ukanikopa hela ili umtumie mkeo ni wazi kuwa utaumbuka.. Ukiamua kudanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu sana (Liars must have a good memory).

Katibu wa Bunge Maalum leo katangaza kuwa jumla ya kura zote za Zanzibar ni 219. Japo Samuel Sitta alisema juzi kuwa wajumbe wa Zbar ni 210 but ngoja tukubaliane tu na Katibu kuwa ni 219 (hata km wamechakachua).

Kwa maana hiyo, theluthi mbili ya 219 ni 146. Na Theluthi moja ni 73.

Hivyo basi ili Rasimu ikwame kwa upande wa Zbar ilihitaji kura 74 au zaidi za kuikataa. Yani idadi yoyote ambayo itazidi 73 (theluthi moja) ingekwamisha Rasimu.

Wajumbe wa UKAWA kutoka Zbar ni 67, japokua wao wamesema ni 65 wakimaanisha wawili walipiga kura ya NDIYO. Tukubaliane nao kama tulivyokubaliana nao kwenye idadi ya wajumbe wa Zbar kuwa 219 badala ya 210.

Sasa twende kwenye Hesabu (Maths). Tuseme UKAWA walioikataa Rasimu ni 65 kama walivyosema. Ongeza 8 waliopiga HAPANA (wajumbe 7 plus Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyeikataa jana). Hadi hapo utapata kura 73.

Ongeza Abdallah Abbas ambaye aliondoka Bunge la Katiba na hakupiga kura. Jumla ni 74.

Hadi hapo tayari kura hizo zimeshazidi theluthi moja, ambayo ni 73. Lakini cha ajabu tunaambiwa Rasimu imepita. Imepitaje??

Kama waliokataa wamezidi theluthi moja, inakuaje tena waliokubali nao wazidi theluthi mbili? Hii hesabu mbona haipo? CCM wamechakachua wakashindwa kuweka hesabu vzr.!

Jamani chakachua kote lakini linapokuja swala la hesabu utaumbuka tu. Always number never lie.!

Jipu limepasuka, siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.

Malisa GJ || Your Partner in Critical Thinking.!

mbona hamueleweki kabisa ? Mlitoka bungeni kwa madai ya ubaguzi wa rangi,mkaja na kampeni ya kumtaka rais avunje bunge la katiba na sasa mnakuja na hadithi ya kuchakachuliwa kura.Kumbe nyinyi ni watu nataka sitaki.Nachufurahi kumbe mlikuwa mnafuatilia kwa kina kikao cha kihistoria cha bunge hilo safi sana.Sasa tunasubiri rais akabidhiwa katiba inayopendekezwa na bunge la Novemba tutapinga marekebisho ya katiba ya sasa kwa lengo la kuingia katika kura ya maoni mwezi april mwakani.Tutapita kuwaelimisha wananchi ubora wa katiba hii na tutahakikisha tunaisambaza kwa wingi,Mungu ibariki Tanzania,Mungu inabariki Afrika
 
Wizi mtupu hawana jipya ,just wameidhihirishia Dunia kwamba ni kweli chaguzi zote hushinda kwa wizi ,
 
"It is enough that the people know there was an election. The people who cast the votes decide nothing. The people who count the votes decide everything" - Joseph Stalin
You have put up a quote that explains what I had failed to figure out.. what are elections means to us Tanzanians under CCM? We have seen unbelivable acts in elections like the Ukonga elections in 2010 where Makongoro lost outright and yet he is there as a parliamentarian and a minister.
 
Katiba inayopendekezwa haitekelezeki mpaka uwepo wa serikali tatu,ccm wakiiwezesha ikapita itakua ya muda tu.
 
Back
Top Bottom