Uchakachuaji wa Rasimu ya Katiba huu hapa

Malisa Godlisten

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
202
Reaction score
1,588
**PRECAUTION: Kama hujui Hesabu usisome.!!
--------------------------

Wazungu husema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Ukisema leo kuwa hujaoa halafu baada ya mwezi ukanikopa hela ili umtumie mkeo ni wazi kuwa utaumbuka.. Ukiamua kudanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu sana (Liars must have a good memory).

Katibu wa Bunge Maalum leo katangaza kuwa jumla ya kura zote za Zanzibar ni 219. Japo Samuel Sitta alisema juzi kuwa wajumbe wa Zbar ni 210 but ngoja tukubaliane tu na Katibu kuwa ni 219 (hata km wamechakachua).

Kwa maana hiyo, theluthi mbili ya 219 ni 146. Na Theluthi moja ni 73.

Hivyo basi ili Rasimu ikwame kwa upande wa Zbar ilihitaji kura 74 au zaidi za kuikataa. Yani idadi yoyote ambayo itazidi 73 (theluthi moja) ingekwamisha Rasimu.

Wajumbe wa UKAWA kutoka Zbar ni 67, japokua wao wamesema ni 65 wakimaanisha wawili walipiga kura ya NDIYO. Tukubaliane nao kama tulivyokubaliana nao kwenye idadi ya wajumbe wa Zbar kuwa 219 badala ya 210.

Sasa twende kwenye Hesabu (Maths). Tuseme UKAWA walioikataa Rasimu ni 65 kama walivyosema. Ongeza 8 waliopiga HAPANA (wajumbe 7 plus Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyeikataa jana). Hadi hapo utapata kura 73.

Ongeza Abdallah Abbas ambaye aliondoka Bunge la Katiba na hakupiga kura. Jumla ni 74.

Hadi hapo tayari kura hizo zimeshazidi theluthi moja, ambayo ni 73. Lakini cha ajabu tunaambiwa Rasimu imepita. Imepitaje??

Kama waliokataa wamezidi theluthi moja, inakuaje tena waliokubali nao wazidi theluthi mbili? Hii hesabu mbona haipo? CCM wamechakachua wakashindwa kuweka hesabu vzr.!

Jamani chakachua kote lakini linapokuja swala la hesabu utaumbuka tu. Always number never lie.!

Jipu limepasuka, siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.

Malisa GJ || Your Partner in Critical Thinking.!
 
Unajisumbue bure hesabu zenyewe hujui! Nakuonea huruma sana!

Hizi hesabu alianza mtoi akaja Tumaini Makene, akaja Mungi ukaja wewe na Leo umerudia makosa Yale Yale uliyofanya Jana na walio Fanya wenzio!

Maswala ya mahesabu hebu achaneni nayo na mfanye mkiwa mmetulia sio kwenye pressure namna hii!
Hujui hesabu we endelea kupotosha!

Kawadanganye bavicha wenzio kuwa wewe unajua hesabu!Yani wote mnaandaliwa vya kuandika lakini hamkagui kilicho andikwa mnarudia makosa ya wenzenu.
 
Last edited by a moderator:
Sita.jpg

Uhuni wa kuchakachua matokea toka Wazanzibari 142 kuongeza vivuli hewa kufikia 146
​
Uchakachuaji umeacha vinywa wazi wakati Mwenyekiti Samwel Sitta alipotangaza akidi ya wazanzibar waliomo ndani ya mjengo ni 142, lakini leo katika kuhitimisha matokeo wametangazwa zaidi ya idadi ya awali wakiwa 146. Hawa wanne wametokea wapi?
  • Kura za siri ambazo zilikuwepo za hapana zimechakachulia na zinazotambuliwa ni zile za wazi kwa vile zilitamkwa wazi.
  • Inaniwia vigumu kwamba hasa wazanzibar wote waliopiga kura za siri walipiga za hapana.
  • Mpango wa kura za kukataa aya no hauna athari kwa katiba kama marekebisha ya aya hizo hayajafanywa kukidhi matakwa ya waliokataa

Uhuni huu utawatokea puani hakuna mwenye kuchezea akili za Watanzania tena.
 
Kwa nini unaangaika na ccm iliyoamua kufa kifo kibaya !
 
**PRECAUTION: Kama hujui Hesabu usisome.!!
--------------------------

Wazungu husema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Ukisema leo kuwa hujaoa halafu baada ya mwezi ukanikopa hela ili umtumie mkeo ni wazi kuwa utaumbuka.. Ukiamua kudanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu sana (Liars must have a good memory).

Katibu wa Bunge Maalum leo katangaza kuwa jumla ya kura zote za Zanzibar ni 219. Japo Samuel Sitta alisema juzi kuwa wajumbe wa Zbar ni 210 but ngoja tukubaliane tu na Katibu kuwa ni 219 (hata km wamechakachua).

Kwa maana hiyo, theluthi mbili ya 219 ni 146. Na Theluthi moja ni 73.

Hivyo basi ili Rasimu ikwame kwa upande wa Zbar ilihitaji kura 74 au zaidi za kuikataa. Yani idadi yoyote ambayo itazidi 73 (theluthi moja) ingekwamisha Rasimu.

Wajumbe wa UKAWA kutoka Zbar ni 67, japokua wao wamesema ni 65 wakimaanisha wawili walipiga kura ya NDIYO. Tukubaliane nao kama tulivyokubaliana nao kwenye idadi ya wajumbe wa Zbar kuwa 219 badala ya 210.

Sasa twende kwenye Hesabu (Maths). Tuseme UKAWA walioikataa Rasimu ni 65 kama walivyosema. Ongeza 8 waliopiga HAPANA (wajumbe 7 plus Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyeikataa jana). Hadi hapo utapata kura 73.

Ongeza Abdallah Abbas ambaye aliondoka Bunge la Katiba na hakupiga kura. Jumla ni 74.

Hadi hapo tayari kura hizo zimeshazidi theluthi moja, ambayo ni 73. Lakini cha ajabu tunaambiwa Rasimu imepita. Imepitaje??

Kama waliokataa wamezidi theluthi moja, inakuaje tena waliokubali nao wazidi theluthi mbili? Hii hesabu mbona haipo? CCM wamechakachua wakashindwa kuweka hesabu vzr.!

Jamani chakachua kote lakini linapokuja swala la hesabu utaumbuka tu. Always number never lie.!

Jipu limepasuka, siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.

Malisa GJ || Your Partner in Critical Thinking.!

Hayaa yooote kayaseme bungeni. hapa haisaidii.. kazi kulalamika tu. kama una uchungu kasimame kule bungeni siyo hapa.
 
Walianzisha shule za kata makusudi ili watoe elimu dhaifu waendelee kutawala!
 
Mzee sitta kamaliza kazi yake, kama alivyomaliza mzee warioba. kazi inabaki kwenu wananchi wakati wa kupiga kura. angekubari kuyumbishwa kwa maandamano ya mtandaoni ya UKAWA, nyinyi waandamanaji wa mtandaoni mngemshutumu kwa kutokua imara.

kila mtu aSIMAMIE nafasi yake. JK kamaliza nafasi yake ya kutoa furasa akamkabidhi mzee warioba, mzee warioba kamkabidhi kazi mzee sitta, Sitta kakamilisha jukum lake japo wengi hampendi lakini hakuishia njiani kama wengi walivyotaka iwe.

KAZI NI KWETU WANANCHI, UCHAKACHUAJI UPO KILA SEHEM NA KWA KILA MWENYE KUVUTIA MASLAHI FLANI UPANDE WAKE, HIVYO NI KULINDA USIKU NA MCHANA USICHAKACHULIWE KAMA AMBAVYO WAUMINI WA UKAWA WANALALAMIKA KUCHAKACHULIWA, PAMOJA NA KUKIMBIA NDANI YA BUNGE, HATA KURA HAWAKUPIGA KAMA ILIVYO KWA MWANASHERIA WA ZANZIBAR ALIYEKIMBIA BUNGE LAKINI AKAJARIBU KUTAKA KUTETEA KILE ALICHOAMINI.
 
219X(1/3)=73 naambiwa Rutashobolwa maana yake ni asiyefundishika kwa Kihaya. Je, hili ni ukweli au wananionea kwa vile mie najilia samaki nchanga.
aisee hili jina ni kweli, nasikia lina maana hiyo, jiulize kwanini watanzania hsabu mashuleni, vyuoni ni mgogoro?
 
Msaidie mwenzio kufanya hesabu sahihi hakuna unacho Jua!
 
aisee hili jina ni kweli, nasikia lina maana hiyo, jiulize kwanini watanzania hsabu mashuleni, vyuoni ni mgogoro?

Naona na wewe umeingia mkenge bila kutafakari mwenzio hesabu zilimshinda toka Jana! Rudi hapa
 
Sita.jpg

Uhuni wa kuchakachua matokea toka Wazanzibari 142 kuongeza vivuli hewa kufikia 146
​
Uchakachuaji umeacha vinywa wazi wakati Mwenyekiti Samwel Sitta alipotangaza akidi ya wazanzibar waliomo ndani ya mjengo ni 142, lakini leo katika kuhitimisha matokeo wametangazwa zaidi ya idadi ya awali wakiwa 146. Hawa wanne wametokea wapi?
  • Kura za siri ambazo zilikuwepo za hapana zimechakachulia na zinazotambuliwa ni zile za wazi kwa vile zilitamkwa wazi.
  • Inaniwia vigumu kwamba hasa wazanzibar wote waliopiga kura za siri walipiga za hapana.
  • Mpango wa kura za kukataa aya no hauna athari kwa katiba kama marekebisha ya aya hizo hayajafanywa kukidhi matakwa ya waliokataa

Uhuni huu utawatokea puani hakuna mwenye kuchezea akili za Watanzania tena.

NATAMANI KUACHANA NA JIMBO LA Nyumbani KYELA ILI NIKAMG'OE SITA KWAO , NAOMBENI USHAURI JAMANI , UWEZO WA FEDHA BILA KUTEGEMEA CHAMA CHANGU NINAO .
 
Back
Top Bottom