Uchakachuaji wa Rasimu ya Katiba huu hapa

Mzee sitta kamaliza kazi yake, kama alivyomaliza mzee warioba. kazi inabaki kwenu wananchi wakati wa kupiga kura. angekubari kuyumbishwa kwa maandamano ya mtandaoni ya UKAWA, nyinyi waandamanaji wa mtandaoni mngemshutumu kwa kutokua imara.

kila mtu aSIMAMIE nafasi yake. JK kamaliza nafasi yake ya kutoa furasa akamkabidhi mzee warioba, mzee warioba kamkabidhi kazi mzee sitta, Sitta kakamilisha jukum lake japo wengi hampendi lakini hakuishia njiani kama wengi walivyotaka iwe.

KAZI NI KWETU WANANCHI, UCHAKACHUAJI UPO KILA SEHEM NA KWA KILA MWENYE KUVUTIA MASLAHI FLANI UPANDE WAKE, HIVYO NI KULINDA USIKU NA MCHANA USICHAKACHULIWE KAMA AMBAVYO WAUMINI WA UKAWA WANALALAMIKA KUCHAKACHULIWA, PAMOJA NA KUKIMBIA NDANI YA BUNGE, HATA KURA HAWAKUPIGA KAMA ILIVYO KWA MWANASHERIA WA ZANZIBAR ALIYEKIMBIA BUNGE LAKINI AKAJARIBU KUTAKA KUTETEA KILE ALICHOAMINI.

Mtu ukiwa kilaza bana...hivi unajua kura za ukawa zimehesabika kama HAPANA au hili nalo hujui..?
 
angalia user name yako tathimini bila kukurupuka kama ulivyokurupukia treni kwa mbele halafu rudi unijibu kati yangu na wewe nani kilaza.

kama kura za UKAWA zimehesabika kama HAPANA, unawezaje kukubaliana na mleta uzi kua ccm wamechakachua? ungeniambia kura za ukawa ambazo ni hewa maana hawakupiga hiyo kura kwamba badala zipinge rasim hiyo kwa kusema HAPANA, ccm wawe wamepindua na kuzifanya ziwe NDIO ili wawe wamejiongezea idadi ya ushindi.

ama kweli UBACHELA mbaya, huna hata wa kukuliwaza ili upunguze mihemko ya kukurupuka kwa wanaume kama hivi!!!
 
Hapa umeandika nini sasa ...hizo kura 73 za HAPANA unajua zilipotoka,,?
 
**PRECAUTION: Kama hujui Hesabu usisome.!!
--------------------------

Wazungu husema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Ukisema leo kuwa hujaoa halafu baada ya mwezi ukanikopa hela ili umtumie mkeo ni wazi kuwa utaumbuka.. Ukiamua kudanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu sana (Liars must have a good memory).

Katibu wa Bunge Maalum leo katangaza kuwa jumla ya kura zote za Zanzibar ni 219. Japo Samuel Sitta alisema juzi kuwa wajumbe wa Zbar ni 210 but ngoja tukubaliane tu na Katibu kuwa ni 219 (hata km wamechakachua).

Kwa maana hiyo, theluthi mbili ya 219 ni 146. Na Theluthi moja ni 73.

Hivyo basi ili Rasimu ikwame kwa upande wa Zbar ilihitaji kura 74 au zaidi za kuikataa. Yani idadi yoyote ambayo itazidi 73 (theluthi moja) ingekwamisha Rasimu.

Wajumbe wa UKAWA kutoka Zbar ni 67, japokua wao wamesema ni 65 wakimaanisha wawili walipiga kura ya NDIYO. Tukubaliane nao kama tulivyokubaliana nao kwenye idadi ya wajumbe wa Zbar kuwa 219 badala ya 210.

Sasa twende kwenye Hesabu (Maths). Tuseme UKAWA walioikataa Rasimu ni 65 kama walivyosema. Ongeza 8 waliopiga HAPANA (wajumbe 7 plus Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyeikataa jana). Hadi hapo utapata kura 73.

Ongeza Abdallah Abbas ambaye aliondoka Bunge la Katiba na hakupiga kura. Jumla ni 74.

Hadi hapo tayari kura hizo zimeshazidi theluthi moja, ambayo ni 73. Lakini cha ajabu tunaambiwa Rasimu imepita. Imepitaje??

Kama waliokataa wamezidi theluthi moja, inakuaje tena waliokubali nao wazidi theluthi mbili? Hii hesabu mbona haipo? CCM wamechakachua wakashindwa kuweka hesabu vzr.!

Jamani chakachua kote lakini linapokuja swala la hesabu utaumbuka tu. Always number never lie.!

Jipu limepasuka, siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.

Malisa GJ || Your Partner in Critical Thinking.!

zilipotoka za NDIO ndipo zilipotoka za HAPANA. kama unanaona umechakuchuliwa, waambie UKAWA wakuhimize uandamane mtaani na sio jf halafu tutakutana huko nikuoneshe ukilaza wangu.

NAKUSISITIZA KIJANA ULIYEAMUA KUWA BACHELA, TAMBUA NAFASI YAKO WEWE KAMA WEWE USISUBIRI FLANI ATAMBUE NDIPO NAWE UTAMBUE KILICHOTQMBULIWA NA MWENZIO. UNGANA NA MLETA MADA NENDENI SEHEM HUSIKA MKADAI HAKI, JF HAPAWEZI HATA ROBO KUKUPATIA HAKI YAKO.
 
Amemuita Mnyika bwana mdogo wewe naamin kwake ni mtoto mchanga kabisa

Mramba alikuwa Mungu wa rombo , lakini aling'olewa na joseph selasini kama kishada ! Mjomba tsunami ikija haiangalii ukubwa wa nondo wala zege .
 
Ninachojua mwanasheria wa zanzibar alikataa baadhi ya sura si katiba yote. Great thinker mara nyingi huwa hana upande! Kwa kuwa unatamani kuwa great thinker endelea kufanya mazoezi tu ya kutoakuwa na upande utafikia viwango vya great thinkers na ninavyokuona hutachukua muda mrefu miaka 40 tu utafikia viwango hivyo
 
Unajisumbue bure hesabu zenyewe hujui! Nakuonea huruma sana!

Hizi hesabu alianza mahamedi mtoi akaja Tumaini Makene akaja Mungi ukaja wewe na Leo umerudia makosa Yale Yale uliyofanya Jana na walio Fanya wenzio!

Maswala ya mahesabu hebu achaneni nayo na mfanye mkiwa mmetulia sio kwenye pressure namna hii!
Hujui hesabu we endelea kupotosha!
Kawadanganye bavicha wenzio kuwa wewe unajua hesabu!Yani wote mnaandaliwa vya kuandika lakini hamkagui kilicho andikwa mnarudia makosa ya wenzenu.

Ukweli huko hapa

UNCIRCUMCISED CHIMPANZEE AKITOA UFAFANUZI DAH CCM NI MIJIZI MPAKA KT NAMBa
 
Last edited by a moderator:
Ninachojua mwanasheria wa zanzibar alikataa baadhi ya sura si katiba yote. Great thinker mara nyingi huwa hana upande! Kwa kuwa unatamani kuwa great thinker endelea kufanya mazoezi tu ya kutoakuwa na upande utafikia viwango vya great thinkers na ninavyokuona hutachukua muda mrefu miaka 40 tu utafikia viwango hivyo

Bora uendelee kumwambia labda na wewe atakuelewa!
ibara
 
zilipotoka za NDIO ndipo zilipotoka za HAPANA. kama unanaona umechakuchuliwa, waambie UKAWA wakuhimize uandamane mtaani na sio jf halafu tutakutana huko nikuoneshe ukilaza wangu.

NAKUSISITIZA KIJANA ULIYEAMUA KUWA BACHELA, TAMBUA NAFASI YAKO WEWE KAMA WEWE USISUBIRI FLANI ATAMBUE NDIPO NAWE UTAMBUE KILICHOTQMBULIWA NA MWENZIO. UNGANA NA MLETA MADA NENDENI SEHEM HUSIKA MKADAI HAKI, JF HAPAWEZI HATA ROBO KUKUPATIA HAKI YAKO.
Tanzania inawatu wengi kama wewe ndo maana nchi inazidi kudidimia..mnJiona mna akili kumbe hamna kitu..umekomia ubachela kwa hiyo mtu akijiita bachela jf unapigia mstari huyu mtu ni bachela..sijui kwa nini ccm imekusanya nazi nyingi namna hii..
 
**PRECAUTION: Kama hujui Hesabu usisome.!!
--------------------------

Wazungu husema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Ukisema leo kuwa hujaoa halafu baada ya mwezi ukanikopa hela ili umtumie mkeo ni wazi kuwa utaumbuka.. Ukiamua kudanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu sana (Liars must have a good memory).

Katibu wa Bunge Maalum leo katangaza kuwa jumla ya kura zote za Zanzibar ni 219. Japo Samuel Sitta alisema juzi kuwa wajumbe wa Zbar ni 210 but ngoja tukubaliane tu na Katibu kuwa ni 219 (hata km wamechakachua).

Kwa maana hiyo, theluthi mbili ya 219 ni 146. Na Theluthi moja ni 73.

Hivyo basi ili Rasimu ikwame kwa upande wa Zbar ilihitaji kura 74 au zaidi za kuikataa. Yani idadi yoyote ambayo itazidi 73 (theluthi moja) ingekwamisha Rasimu.

Wajumbe wa UKAWA kutoka Zbar ni 67, japokua wao wamesema ni 65 wakimaanisha wawili walipiga kura ya NDIYO. Tukubaliane nao kama tulivyokubaliana nao kwenye idadi ya wajumbe wa Zbar kuwa 219 badala ya 210.

Sasa twende kwenye Hesabu (Maths). Tuseme UKAWA walioikataa Rasimu ni 65 kama walivyosema. Ongeza 8 waliopiga HAPANA (wajumbe 7 plus Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyeikataa jana). Hadi hapo utapata kura 73.

Ongeza Abdallah Abbas ambaye aliondoka Bunge la Katiba na hakupiga kura. Jumla ni 74.

Hadi hapo tayari kura hizo zimeshazidi theluthi moja, ambayo ni 73. Lakini cha ajabu tunaambiwa Rasimu imepita. Imepitaje??

Kama waliokataa wamezidi theluthi moja, inakuaje tena waliokubali nao wazidi theluthi mbili? Hii hesabu mbona haipo? CCM wamechakachua wakashindwa kuweka hesabu vzr.!

Jamani chakachua kote lakini linapokuja swala la hesabu utaumbuka tu. Always number never lie.!

Jipu limepasuka, siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.

Malisa GJ || Your Partner in Critical Thinking.!

asante kwa analysis nzuri

HAINIJI AKILI HATA KIDOGO KUWA KATIKA KURA ZOTE 30 ZA SIRI HAKUNA HATA 1 YA HAPANA
 
Ninachojua mwanasheria wa zanzibar alikataa baadhi ya sura si katiba yote. Great thinker mara nyingi huwa hana upande! Kwa kuwa unatamani kuwa great thinker endelea kufanya mazoezi tu ya kutoakuwa na upande utafikia viwango vya great thinkers na ninavyokuona hutachukua muda mrefu miaka 40 tu utafikia viwango hivyo

so kama amekataa baadhi ya vifungu mnahebu kuwa ni ya ndiyo ???

Kumbuka kuwa AG huyo alikataa vifungu vingi alivikubali vichache eg Haki ya kuishi
 
Ruttashobolwa ningekuona wa maana sana kama ungeweka vizuri hesabu kurekesha makosa waliyo kosewa hao

unasema 2/3 hiyo ni hesabu haiji bila kuhesabu idadi ya kura zote

Katiba ya magushi ndiyo tumeipata hamtashindwa kuchakachua mitaani ili hali mumeweza bungeni kwa wachache !
 
Last edited by a moderator:
ila mi huwa naamini kila lenye mwanzo huwa na mwisho wake
 
Sasa kama mtu anadhani mwanasheria mkuu wa Zanzibar kasema hapana kwa ibara zote unadhani huyo mtu anajua hesabu? Yani huyu mtu anataka kum group Mwanasheria mkuu wa Zanzibar na watu waliosema hapana ibara zote za rasimu halafu useme huyu mtu anajua hesabu?

Soma hapa ibara zilizo kataliwa na Mwasheria mkuu wa Zanzibar halafu ndio utajua kuna ibara kasema ndio
IBARA

Basi tuseme hakusema hapana zote je ye mafungu aliyosema hapana ukijumlisha na hapana zingine katiba inapita ama? Acha uj.ingA wewe?
 
Tanzania inawatu wengi kama wewe ndo maana nchi inazidi kudidimia..mnJiona mna akili kumbe hamna kitu..umekomia ubachela kwa hiyo mtu akijiita bachela jf unapigia mstari huyu mtu ni bachela..sijui kwa nini ccm imekusanya nazi nyingi namna hii..

eti GREAT THINKER!!KHAA! Wenzio wenye akili ndogo wanajipanga jinsi ya kuzuia kile wanachoona ni tatizo, we umekalia kulalamika.

taifa haliendelei kwa kua mpo wengi kama wewe ambao badala mjipange kuchukua hatua pindi rasim hiyo itakapokuja mtaani muikatae kwa kura ya hapana. we unalilia lia kwa kilichokwishatokea.

CHUKUA HATUA DOGO, KULALAMIKA HAKUKUSAIDI KITU. Ingia mtaani hamasisha wenzio mpige kura ya HAPANA kwa wingi maana kule mjengoni wamefanikiwa kutokana na nyinyi UKAWA kukimbia mchakato. naaminu mngekaa mpaka mwisho hali ingekua tofauti na ilivyo sasa.

mnaitisha maandamano kudai haki, mnakimbia na kuwaacha wananchi wajiongoze. sijawahi ona kabisa mahala kokote dunian viongozi wa upinzani wakiwakimbia wananchi wao wakati wa maandamano.

BORA ENZI YA JINO KWA JINO, BEGA KWA BEGA NA MAPANGA SHAA INGERUDI, NINA HAKIKA KUSINGEKUA NA WALALAMISHI WENGI TENA KATIKA SEHEM ZA GREAT THINKERS AMBAPO WANAJAMII WENGI HAWAFIKI HUKU.
 
Back
Top Bottom