Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,254
- 907
Mwizi ni mwizi tu, CCM imefikia ukingoni
Aliyesema CCM ni Ukoo wa Panya hakukosea.
Mwizi ni mwizi tu, CCM imefikia ukingoni
Asiyekubali kushindwa sio mshindani
Kama Ukawa wataalam ndo kama wewe basi taifa letu bado sana kupata upinzani wa kweli, juzi juzi mlituimbia wimbo mzuri sana wa thelusi mbili haipatikani na haipo buingeni lkn kwa waaelewa tuliwaona kama watu walopoteza mwelekeo, kwasababu ukweli upo wazi kabisa kuwa thelusi mbili ya zanzibar ilikuwepo ya kutosha hata kama ukawa wasingeshiriki kama ambavyo hawajashiriki. unapoanza kuja na story ya riwaya namna hii tunawaona sisi wananchi kama watu mliyopoteza mwelekeo wa kisiasa, poleni sana ni ngumu kumeza ila inatibu**PRECAUTION: Kama hujui Hesabu usisome.!!
--------------------------
Wazungu husema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Ukisema leo kuwa hujaoa halafu baada ya mwezi ukanikopa hela ili umtumie mkeo ni wazi kuwa utaumbuka.. Ukiamua kudanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu sana (Liars must have a good memory).
Katibu wa Bunge Maalum leo katangaza kuwa jumla ya kura zote za Zanzibar ni 219. Japo Samuel Sitta alisema juzi kuwa wajumbe wa Zbar ni 210 but ngoja tukubaliane tu na Katibu kuwa ni 219 (hata km wamechakachua).
Kwa maana hiyo, theluthi mbili ya 219 ni 146. Na Theluthi moja ni 73.
Hivyo basi ili Rasimu ikwame kwa upande wa Zbar ilihitaji kura 74 au zaidi za kuikataa. Yani idadi yoyote ambayo itazidi 73 (theluthi moja) ingekwamisha Rasimu.
Wajumbe wa UKAWA kutoka Zbar ni 67, japokua wao wamesema ni 65 wakimaanisha wawili walipiga kura ya NDIYO. Tukubaliane nao kama tulivyokubaliana nao kwenye idadi ya wajumbe wa Zbar kuwa 219 badala ya 210.
Sasa twende kwenye Hesabu (Maths). Tuseme UKAWA walioikataa Rasimu ni 65 kama walivyosema. Ongeza 8 waliopiga HAPANA (wajumbe 7 plus Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyeikataa jana). Hadi hapo utapata kura 73.
Ongeza Abdallah Abbas ambaye aliondoka Bunge la Katiba na hakupiga kura. Jumla ni 74.
Hadi hapo tayari kura hizo zimeshazidi theluthi moja, ambayo ni 73. Lakini cha ajabu tunaambiwa Rasimu imepita. Imepitaje??
Kama waliokataa wamezidi theluthi moja, inakuaje tena waliokubali nao wazidi theluthi mbili? Hii hesabu mbona haipo? CCM wamechakachua wakashindwa kuweka hesabu vzr.!
Jamani chakachua kote lakini linapokuja swala la hesabu utaumbuka tu. Always number never lie.!
Jipu limepasuka, siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
Malisa GJ || Your Partner in Critical Thinking.!
siku ikifika kila aliyehusika atajibu .
Hivi uchaguzi mkuu uliopita CCM walishinda zanzibar kwa theluthi ngapi?
Je tangu mfumo wa vyama vingi uanze CCM ZANZIBAR iliwahi kupata kura hata zinzokaribia theluthi mbili?
TAFAKARI!!!!
Mkuu hujaeleweka hata kidogo,hebu tupe hesabu zako na wewe tukujue siyo kilaza wa mahesabu?Unajisumbue bure hesabu zenyewe hujui! Nakuonea huruma sana!
Hizi hesabu alianza mahamedi mtoi akaja Tumaini Makene akaja Mungi ukaja wewe na Leo umerudia makosa Yale Yale uliyofanya Jana na walio Fanya wenzio!
Maswala ya mahesabu hebu achaneni nayo na mfanye mkiwa mmetulia sio kwenye pressure namna hii!
Hujui hesabu we endelea kupotosha!
Kawadanganye bavicha wenzio kuwa wewe unajua hesabu!Yani wote mnaandaliwa vya kuandika lakini hamkagui kilicho andikwa mnarudia makosa ya wenzenu.
Ukweli huko hapa
Kwani hii mada yako itasaidia kukwamisha kupatikana kwa katiba mpya?
Asiyekubali kushindwa sio mshindani
**PRECAUTION: Kama hujui Hesabu usisome.!!
--------------------------
Wazungu husema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Ukisema leo kuwa hujaoa halafu baada ya mwezi ukanikopa hela ili umtumie mkeo ni wazi kuwa utaumbuka.. Ukiamua kudanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu sana (Liars must have a good memory).
Katibu wa Bunge Maalum leo katangaza kuwa jumla ya kura zote za Zanzibar ni 219. Japo Samuel Sitta alisema juzi kuwa wajumbe wa Zbar ni 210 but ngoja tukubaliane tu na Katibu kuwa ni 219 (hata km wamechakachua).
Kwa maana hiyo, theluthi mbili ya 219 ni 146. Na Theluthi moja ni 73.
Hivyo basi ili Rasimu ikwame kwa upande wa Zbar ilihitaji kura 74 au zaidi za kuikataa. Yani idadi yoyote ambayo itazidi 73 (theluthi moja) ingekwamisha Rasimu.
Wajumbe wa UKAWA kutoka Zbar ni 67, japokua wao wamesema ni 65 wakimaanisha wawili walipiga kura ya NDIYO. Tukubaliane nao kama tulivyokubaliana nao kwenye idadi ya wajumbe wa Zbar kuwa 219 badala ya 210.
Sasa twende kwenye Hesabu (Maths). Tuseme UKAWA walioikataa Rasimu ni 65 kama walivyosema. Ongeza 8 waliopiga HAPANA (wajumbe 7 plus Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyeikataa jana). Hadi hapo utapata kura 73.
Ongeza Abdallah Abbas ambaye aliondoka Bunge la Katiba na hakupiga kura. Jumla ni 74.
Hadi hapo tayari kura hizo zimeshazidi theluthi moja, ambayo ni 73. Lakini cha ajabu tunaambiwa Rasimu imepita. Imepitaje??
Kama waliokataa wamezidi theluthi moja, inakuaje tena waliokubali nao wazidi theluthi mbili? Hii hesabu mbona haipo? CCM wamechakachua wakashindwa kuweka hesabu vzr.!
Jamani chakachua kote lakini linapokuja swala la hesabu utaumbuka tu. Always number never lie.!
Jipu limepasuka, siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
Malisa GJ || Your Partner in Critical Thinking.!
Kwani hii mada yako itasaidia kukwamisha kupatikana kwa katiba mpya?
Katika maneno yoote aliyoyatamka Mwanasheria mkuu wa Zanzibar, neno NDIYO halikutamkwa, lilitamkwa HAPANA na vifungu alivyovikataa-tulisikia wote.
Raha ya ukweli hataukiukataa haubadiliki unabaki ukweli tuu,Nyie CCM imezoea vya kunyonga halafu mnataka tuamini mmechinjwa ipo siku mtakula vibudu.Unajisumbue bure hesabu zenyewe hujui! Nakuonea huruma sana!