SIOMIMI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 326
- 66
H
Tatizo la watu naona wana kurupuka kama mwanasheria mkuu wa zanzibar alipiga kura zote za hapana wakati kuna vipengere alikubaliana navyo
Unajua watu hawakujua namna kura zinavyohesabiwa. Mjumbe wa BMK akisema akipiga kura ya Ndiyo hata kwa ibara moja basi kura yake ya jumla inahesabika ni Ndiyo. Kura ya ibara inaangalia sasa wajumbe wagapi wamepiga kura ya hapana katika ibara hiyo. Mtego huu haukujulikana kwa wajumbe wengi hasa waliokataa baadhi ya ibara tu.
Tatizo la watu naona wana kurupuka kama mwanasheria mkuu wa zanzibar alipiga kura zote za hapana wakati kuna vipengere alikubaliana navyo