Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Mi napagawa sana kuhusu kuchakachua najua hii tabia ndo imekomaa kwa hawa jamaa wa magamba sasa wanapataje nafasi ya kuchakachua wakati hawa wanafahamika kuwa ni wezi?
NATAMANI KUACHANA NA JIMBO LA Nyumbani KYELA ILI NIKAMG'OE SITA KWAO , NAOMBENI USHAURI JAMANI , UWEZO WA FEDHA BILA KUTEGEMEA CHAMA CHANGU NINAO .
Msaidie mwenzio kufanya hesabu sahihi hakuna unacho Jua!
Naona na wewe umeingia mkenge bila kutafakari mwenzio hesabu zilimshinda toka Jana! Rudi hapa
Asiyekubali kushindwa sio mshindani
**PRECAUTION: Kama hujui Hesabu usisome.!!
--------------------------
Wazungu husema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Ukisema leo kuwa hujaoa halafu baada ya mwezi ukanikopa hela ili umtumie mkeo ni wazi kuwa utaumbuka.. Ukiamua kudanganya jitahidi kuwa na kumbukumbu sana (Liars must have a good memory).
Katibu wa Bunge Maalum leo katangaza kuwa jumla ya kura zote za Zanzibar ni 219. Japo Samuel Sitta alisema juzi kuwa wajumbe wa Zbar ni 210 but ngoja tukubaliane tu na Katibu kuwa ni 219 (hata km wamechakachua).
Kwa maana hiyo, theluthi mbili ya 219 ni 146. Na Theluthi moja ni 73.
Hivyo basi ili Rasimu ikwame kwa upande wa Zbar ilihitaji kura 74 au zaidi za kuikataa. Yani idadi yoyote ambayo itazidi 73 (theluthi moja) ingekwamisha Rasimu.
Wajumbe wa UKAWA kutoka Zbar ni 67, japokua wao wamesema ni 65 wakimaanisha wawili walipiga kura ya NDIYO. Tukubaliane nao kama tulivyokubaliana nao kwenye idadi ya wajumbe wa Zbar kuwa 219 badala ya 210.
Sasa twende kwenye Hesabu (Maths). Tuseme UKAWA walioikataa Rasimu ni 65 kama walivyosema. Ongeza 8 waliopiga HAPANA (wajumbe 7 plus Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar aliyeikataa jana). Hadi hapo utapata kura 73.
Ongeza Abdallah Abbas ambaye aliondoka Bunge la Katiba na hakupiga kura. Jumla ni 74.
Hadi hapo tayari kura hizo zimeshazidi theluthi moja, ambayo ni 73. Lakini cha ajabu tunaambiwa Rasimu imepita. Imepitaje??
Kama waliokataa wamezidi theluthi moja, inakuaje tena waliokubali nao wazidi theluthi mbili? Hii hesabu mbona haipo? CCM wamechakachua wakashindwa kuweka hesabu vzr.!
Jamani chakachua kote lakini linapokuja swala la hesabu utaumbuka tu. Always number never lie.!
Jipu limepasuka, siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
Malisa GJ || Your Partner in Critical Thinking.!
"It is enough that the people know there was an election. The people who cast the votes decide nothing. The people who count the votes decide everything" - Joseph Stalin

Unajisumbue bure hesabu zenyewe hujui! Nakuonea huruma sana!
Hizi hesabu alianza mahamedi mtoi akaja Tumaini Makene akaja Mungi ukaja wewe na Leo umerudia makosa Yale Yale uliyofanya Jana na walio Fanya wenzio!
Maswala ya mahesabu hebu achaneni nayo na mfanye mkiwa mmetulia sio kwenye pressure namna hii!
Hujui hesabu we endelea kupotosha!
Kawadanganye bavicha wenzio kuwa wewe unajua hesabu!Yani wote mnaandaliwa vya kuandika lakini hamkagui kilicho andikwa mnarudia makosa ya wenzenu.
Ukweli huko hapa
Unajua watu hawakujua namna kura zinavyohesabiwa. Mjumbe wa BMK akisema akipiga kura ya Ndiyo hata kwa ibara moja basi kura yake ya jumla inahesabika ni Ndiyo. Kura ya ibara inaangalia sasa wajumbe wagapi wamepiga kura ya hapana katika ibara hiyo. Mtego huu haukujulikana kwa wajumbe wengi hasa waliokataa baadhi ya ibara tu.
Sita hagombei tena , safari hii jimbo anagombea mkewe "wakukaja" magreth simwanza .NATAMANI KUACHANA NA JIMBO LA Nyumbani KYELA ILI NIKAMG'OE SITA KWAO , NAOMBENI USHAURI JAMANI , UWEZO WA FEDHA BILA KUTEGEMEA CHAMA CHANGU NINAO .
Mkuu Malisa Godlisten, nashangaa umeweka angalizo lililo wazi lakini kuna wa.pu.mb.avu sijui hawajaliona!!**PRECAUTION: Kama hujui Hesabu usisome.!!
--------------------------
Kura ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar imehesabiwa NDIYO kwa kuwa alikataa vipengere vichache tu.