Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wakuu Kuna jambo la kielimu Hapa. Uchaguzi wa TAMISEMI kuhusu selection za Wanafunzi wanaoingia Kidato cha 5 una tuhuma nzito wadau wa elimu tupaze sauti:
1. Uchaguzi haujazingatia vipaumbele vya selform.
2. Mwanafunzi kafaulu masomo fulani vyema ila anapangiwa tahasusi ambayo hakufaulu vyema.
3. Wanafunzi wenye ufaulu wa division 1 na 2 kupangiwa vyuo vya kati badala ya kidato cha 5 wakati wana tahasusi na hawakuomba.
Na mengine mengi.
Kwenye Hiyo Hoja ya 3 imempitia mtoto wa Dadangu, Kapata DV. 2 cha Ajabu kapangiwa Chuo-NiT, akasome Finance