Waziri wa TAMISEMI orodha za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo zinatoka lini?

usikumnene

Member
Apr 23, 2017
81
108
Wazazi umewaweka kwenye mtanziko mkubwa kwa ukimya wako wa kutotangaza selection ya wanafunzi kwa mwaka 2023/24, hapa tulipo tuko njia panda, maana hatuelewi kinachoendelea huko.

Tujulisheni kama serikali imesitisha kudahili wanafunzi wa kidato cha tano na vyuo vya kati mwaka huu ili tuone cha kufanya kwa watoto wetu.
 
Kwa kweli waachane na utendaji wa kianolojia, tuko enzi za dijitali.

Kuwapangia wanafunzi pa kwenda inachukua miezi!
 
Duuh! Kusema ukweli this time around selection zime~delay sana
Wanasema waliochelewesha selection ni wanafunzi waliokuwa wamefutiwa matokeo, baadae walipata opportunity ya kufanya mtihani, so hawawezi kutoa selection hadi na hawa wengine procedure zikamilike kama kawaida, hii taarifa nillipata wiki mbili zilizopita, aliyeniambia alisema kuanzia wiki ya pili ya June zitatoka
 
Back
Top Bottom