Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

zomba,

..this is good for CCM.

..kila uchaguzi mkishinda kwa kishindo mtabweteka.

cc: NasDaz, chama, Mchambuzi, Ritz

Key to success in any election is voters' turn out; Katika hili la arusha ambapo registered voters walikuwa karibia 12,000 na wapiga kura waliojitokeza takriban 2,000, ambayo ni sawa na kama 16%, sijui nani ni mshindi, lakini muhimu the kind of precedent it is setting for the grand finale - 2015;
 
Mchambuzi,

..hata mimi nimeshangazwa na hii low turn out.

..labda wananchi waliogopa vurugu.

..sasa ktk mazingira hayo inaelekea it came down to upande gani walikuwa na USONGO zaidi wa kupiga kura.

..kitu kingine ni campaign tactics za Mwigulu na Nape. Je, watu viongozi hawa wanakisaidia chama au la??

cc: NasDaz, chama, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Mulitakiwa mujitathmini athari ya uongozi kama wako katika future ya chama cha mapinduzi sio kauli hizi za asiekubali kushindwa si mshindani. Hizi kauli za aina yako ndizo zilizopeleka afrika kutawaliwa na kuendelea kutawaliwa bila ya kujijua. CCM imekuwa genge la wajuba, wasiojua kutetea au kufufua mabadiliko kwa manufaa ya chama na wananchi wanaowaongoza. Jiulize kwa nini mumeshindwa? wapi pa kurekebisha? nani ni liability katika future ya ccm..
 
Foum Jnr,

..huko CCM karibia kila kiongozi ni liability.

..sijui kama ulisoma ile post ya Mwingulu Nchemba akizungumzia red brigade vs green guard.

..kwa kweli inashtusha, kama siyo kusikitisha, kwamba imefika mahali CCM ina mtu wa hovyo kama Mwigulu Nchemba ktk nafasi ya Naibu Katibu Mkuu.

..sasa kama CCM imefika hapo, hivi kweli unategemea wanaweza kujitathmini?

cc: NasDaz, chama, Jasusi, Mchambuzi, HAMY-D
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi,

..hata mimi nimeshangazwa na hii low turn out.

..labda wananchi waliogopa vurugu.

..sasa ktk mazingira hayo inaelekea it came down to upande gani walikuwa na USONGO zaidi wa kupiga kura.

..kitu kingine ni campaign tactics za Mwigulu na Nape. Je, watu viongozi hawa wanakisaidia chama au la??
Mkuu JokaKuu, voters turn out ni jambo linaloonekana kama trend. Unakumbuka chaguzi zote ndogo kama zile za Mbeya? Sasa tunajua kwanini Mbeya walikuwa na turn out ya 30%. Zile tuhuma kuwa Shimwele aliuza uchaguzi hazina shaka.Low turn out inayotokea kwa 'ununuzi' is in favor of CCM. This time around, different story

Siku za karibuni(low turn) imekuwa ni matokeo ya mabomu na FFU. Watanzania ni watu wasiopenda vurugu, unakutana naye akienda Muhimbili na kumuuliza mambo! atakujibu poa hata kama hajui dawa anunue na nini.

Mbinu ya CCM kuwatisha watu kwa kutumia Polisi, FFU na mabomu na kusema ni zinakula sana kwao.

Ukiangalia waliopiga kura Arusha ni wananchi wenye hasira na CCM pamoja na wale wenye mapenzi ambao wanakubali mabadiliko. Wengine wengi waliogopa FFU na Polisi na kukaa majumbani.

Katika mikutano ya kisiasa siku zijazo tutaona kuzorota kwa ushiriki wa watu kwasababu ya mbinu chafu iliyotumika kuwaogofya. Na hiyo ndiyo inaitwa terrorism.

Kwa bahati mbaya sana inakula upande wa CCM kuliko wapinzani.Utashangaa chaguzi zinazofuata zitakavyokuwa! hasa baada ya CDM na wananchi wa Arusha kufanya 'reinvigoration'

Kuhusu Mbinu za Mwigulu na Nape, kama kweli CCM wanataka ushindi ni muda wa kuwapunzisha hawa watu

Viongozi wa chama tawala chenye mtaji wa kisiasa wa rasilimali watu,sera na serikali , wanaposimama kutupa matusi kama vile CCM ilizaliwa jana ni jambo la kusikitisha sana.Jaribio la kuwatumia wasomi hawa kama sehemu ya transformation lime prove failure sana

Mbinu za kuwatumia akina J.Shonzo na Mtela ilikuwa ni kuwadhalilisha sana UVCCM Arusha.
Katika UVCCM Arusha ni kiungo muhimu sana, na walichofanya akina Mwigulu ni kususiwa na vijana kwa upande mmoja, kwa upande mwingine kutonesha donda la usaliti kwa vijana wa CDM kuliko amsha ari ya kukabiliana nao na kuhakikisha hawashindi.

Kwahiyo kushindwa kwa Arusha pamoja na mbinu chafu ya kuogofya watu, usimamizi wa CCM ulikuwa wa kiwango duni sana to the advantage of CDM.

Kwa kuongezea kidogo, ukiangalia matokeo kwa ujumla(kitaifa) CCM is loosing the ground, Chadema is gaining the ground. Maana yake ni kuwa watu wenye inspiration za kisiasa wapo njia panda.
Hii ni disadvantage kwa CCM kwasababu wao wana pool kubwa na chance ya kumegwa ni kubwa sana.
CCM wana tatizo kwasababu katika ngome zao kama Mtwara sasa wana loose the ground.

Uwezekano wa chama cha tatu kuwa na upper hand katika kuamua chaguzi ni kama 10%
Hapo ndipo naona CCM wakiwa matatani. Kama political landscape haitabadilika sana CCM watakuwa na hali ngumu mbele ya safari

Hali si shwari na kushindwa chaguzi kunatia wasi wasi makundi na kunachochea uhasama. Sasa kunapokuwepo na internal and external factors hapo ni pagumu sana
 
Nguruvi3,
Kwa kiasi fulani nakubaliana nawe kwamba low turn out might be in favour of chadema lakini kuna maangalizo muhimu:Kwanza, as we speak, sehemu nyingi in the electorate (kama mikoa, sio miji) ni aidha green column au too close to call; na kwa dynamics zilivyo, katika maeneo mengi, a low turn out itakuwa ni ushindi kwa ccm kuliko chadema, na hii itachangiwa na hoja yangu ya pili kwamba ccm is in a better position kuhakikishia wapiga kura wao ulinzi hivyo kuwahamasisha wajitokeze kwa wingi 2015; unless chadema nao kupitia mfumo wao mpya wa ulinzi they manage to gain that trust ya umma, otherwise low turn out katika most of the voting areas itakuwa ni ushindi kwa ccm in my humble view;

Chadema wanaweza to put up a good fight at the ballot box iwapo watafanya haya matatu kwa pamoja tena kwa UFANISI wa hali ya juu: Kwanza, kuhamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura; Pili, Kuhakikishia wapiga kura wao usalama (aidha kupitia polisi au utaratibu utakaokubalika) kwa siku kadhaa kabla ya uchaguzi lakini muhimu zaidi, siku ya uchaguzi wanapotoka kwenye makazi yao kwenda kupiga kura na kurudi; na tatu ndio lije suala la kulinda masanduku ya kura; Vinginevyo bila ya kuhakikishia wapiga kura wao usalama, low turn out will prevail na wengi wa hawa itakuwa ni wale watakao hisi usalama wao upo, na wengi ya hawa watakuwa ni wana ccm, hence kuipa ccm ushindi kwa low turn out advantage;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Key to success in any election is voters' turn out; Katika hili la arusha ambapo registered voters walikuwa karibia 12,000 na wapiga kura waliojitokeza takriban 2,000, ambayo ni sawa na kama 16%, sijui nani ni mshindi, lakini muhimu the kind of precedent it is setting for the grand finale - 2015;

Kinachofanya watu washindwe kuhudhuria kwenye chaguzi ni hofu ya kupoteza kura zao kwa maana ya kuibiwa. Watu hawana shida ya kupiga kura ila wakijua kuwa kura zao zitaibiwa hapo ndo utata unapotokea na wao wanaamua kupotezea.
Isitoshe hili la kupiga kura jumapili ifike mahali waamue j3 na sio jumapili au ijumaa. I think Ijumaa will be a great day to do that kwa sababu jumapili mostly ni family day na kwa uzoefu wangu hamna mtu anayependa kupoteza mda wa familia kwenda kupanga foleni from Asubuhi mpaka jioni akingojea kupiga kura.
We have room to rectify this in the draft constitution. We just have to be open minded.
 
Hodi hodi malenga, na leo mnipokee
Likizo ndogo ninakwenda, muda mfupi nitarejea
Kazi ya ukombozi kuendelea, pindi nirejeapo
Usiomboleze sana Mwigulu, uchaguzi ndivyo ulivyo!
 
Ngoja tuwapelekee Notifications hapo juu hawawezi kuzipata..Nawasainisha kabisa kw dispatch maana hawakawii kugeuka....mwenzao Nape alisoma alama za nyakati mapema na kwakujuwa kuwa Arusha hawana mchezo akaja na hii mada.
chama, Ritz, MAFILILI, bungeni, Jichola3, Chris Lukosi, Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Mwigulu Nchemba

Mkuu mwezi huu wa toba nipo kwenye mfungo naogopa sana kuharibu funga yangu unajua tena lugha za JF kama mmeshinda hilo halinishangazi mtu kushinda uwanja wake wa nyumbani ni ajabu?
 
Foum Jnr,

..huko CCM karibia kila kiongozi ni liability.

..sijui kama ulisoma ile post ya Mwingulu Nchemba akizungumzia red brigade vs green guard.

..kwa kweli inashtusha, kama siyo kusikitisha, kwamba imefika mahali CCM ina mtu wa hovyo kama Mwigulu Nchemba ktk nafasi ya Naibu Katibu Mkuu.

..sasa kama CCM imefika hapo, hivi kweli unategemea wanaweza kujitathmini?

cc: NasDaz, chama, Jasusi, Mchambuzi, HAMY-D
JokaKuu
Mwigulu Nchemba anaweza kuwa mtu hovyo kwa mtazamo wako kama mwanachadema ni sawa na mimi ninavyomuona slaa ni mtu hovyo na asiyefaa kimaadili kwa hiyo hilo unalolisema inategemea umeegemea upande gani.
 
Umejitahidi kukubali ukweli kwakua hakuna njia unaweza kuupinga ukweli lakini ukumbuke kufanya hayo katika chaguzi nyingine zijazo na uzingatie kwamba "he who makes peacefull revolution impossible will; make violent revolution inevitable"
 
Thats d indication of political maturity from my party leaders,wat if it could other way round? Cld dey dare to declare such a thing in public!!!learng z part of lyfe chadema stil have a lot to learn from us CCM DAIMA
 
Nguruvi3,
Kwa kiasi fulani nakubaliana nawe kwamba low turn out might be in favour of chadema lakini kuna maangalizo muhimu:Kwanza, as we speak, sehemu nyingi in the electorate (kama mikoa, sio miji) ni aidha green column au too close to call; na kwa dynamics zilivyo, katika maeneo mengi, a low turn out itakuwa ni ushindi kwa ccm kuliko chadema, na hii itachangiwa na hoja yangu ya pili kwamba ccm is in a better position kuhakikishia wapiga kura wao ulinzi hivyo kuwahamasisha wajitokeze kwa wingi 2015; unless chadema nao kupitia mfumo wao mpya wa ulinzi they manage to gain that trust ya umma, otherwise low turn out katika most of the voting areas itakuwa ni ushindi kwa ccm in my humble view;

Chadema wanaweza to put up a good fight at the ballot box iwapo watafanya haya matatu kwa pamoja tena kwa UFANISI wa hali ya juu: Kwanza, kuhamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura; Pili, Kuhakikishia wapiga kura wao usalama (aidha kupitia polisi au utaratibu utakaokubalika) kwa siku kadhaa kabla ya uchaguzi lakini muhimu zaidi, siku ya uchaguzi wanapotoka kwenye makazi yao kwenda kupiga kura na kurudi; na tatu ndio lije suala la kulinda masanduku ya kura; Vinginevyo bila ya kuhakikishia wapiga kura wao usalama, low turn out will prevail na wengi wa hawa itakuwa ni wale watakao hisi usalama wao upo, na wengi ya hawa watakuwa ni wana ccm, hence kuipa ccm ushindi kwa low turn out advantage;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

mawazo yako yangekua sahihi kama ungeangalia ni kundi lipi linatishwa na fujo, mara nyingi penye fujo kundi la kinamama na wazee ndio wanao kaa kando huku vijana wakujitokeza kwa wingi, na ndio walioipigia kura chadema, maoni yangu vurugu zinaifavour chadema zaidi kuliko ccm wanavyodhani kwani chadema wanakundi la vijana na ccm inakundi la wanawake na wazee.
 
Mkuu mwezi huu wa toba nipo kwenye mfungo naogopa sana kuharibu funga yangu unajua tena lugha za JF kama mmeshinda hilo halinishangazi mtu kushinda uwanja wake wa nyumbani ni ajabu?

Sasa kama majibu ni haya hayo mengineyanini? Utayafungulia ukifunguaeeee....
Sawa kwani umeanza wewe? Tunaye Kibajaj then wamekuja kina Nkamia nk nk... Ndivyo mlivyo.
 
Foum Jnr,

..huko CCM karibia kila kiongozi ni liability.

..sijui kama ulisoma ile post ya Mwingulu Nchemba akizungumzia red brigade vs green guard.

..kwa kweli inashtusha, kama siyo kusikitisha, kwamba imefika mahali CCM ina mtu wa hovyo kama Mwigulu Nchemba ktk nafasi ya Naibu Katibu Mkuu.

..sasa kama CCM imefika hapo, hivi kweli unategemea wanaweza kujitathmini?

cc: NasDaz, chama, Jasusi, Mchambuzi, HAMY-D

JokaKuu,
Unamshangaa Mwigulu Nchemba? Hujasikia Mwenyekiti wake anavyomsifia? Mimi namshangaa Kikwete.
 
Acha woga weye. Pamoja na kulipua Arusha lakini mmebwagwa! Peoples' power!
Kuna watu wameulizza sana juu ya matokeo ya uchaguzi Arusha, but jibu la harakaharaka katika kila uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, na mshindani wa kweli lazima ajiandae kwa yote maana asiyekubali kushindwa si mshindani.(kama mambo yote yamekwenda sawa).
 
CDM ni chama dume. CCM kaeni mbali na dume la mbegu!
Ok, umekubali kushindwa au? Na vipi umerizika, kama jibu ni ndio, nini unadhani ni sababu ya kushindwa, timu yako ya kampeni, sera zenu
, wananchi wamekichoka chama chenu au Chadema wamewachakachua? Lakini pole yenu
 
Foum Jnr,

..huko CCM karibia kila kiongozi ni liability.

..sijui kama ulisoma ile post ya Mwingulu Nchemba akizungumzia red brigade vs green guard.

..kwa kweli inashtusha, kama siyo kusikitisha, kwamba imefika mahali CCM ina mtu wa hovyo kama Mwigulu Nchemba ktk nafasi ya Naibu Katibu Mkuu.

..sasa kama CCM imefika hapo, hivi kweli unategemea wanaweza kujitathmini?

cc: NasDaz, chama, Jasusi, Mchambuzi, HAMY-D

huyu Nape hajitambui kabisa, na itafika kivuli chake mwenyewe kitamsuta kwa ufidhuli against demokrasia na uwazi. hebu angalia hii post yake na ile ya Mwigulu utaona one thing in common, wamekosa nadharia na hekima ya kuzitambua nafasi zao na uadhimu wake ndani ya chama. Chama Cha Mapinduzi kinapoteza haiba kwa wananchi wa kuwakumbatia wafedhuli wa namna hii. Huwezi kuwa mwanaharakati wa maendeleo ya kweli ikiwa chimbuko lako linatoka UVCCM hasa kwa kipindi hiki kwa vile lesson ya kwanza ni kukandamiza upinzani kwa kila njia na ghilba. Democracy ya kweli itafunguka ikiwa opposition hawatachukuliwa kama maadui wa nchi bali ni part ya muelekeo mpya wa kujenga nchi ya maendeleo. juzi kulikuwa na sherehe za kumpongeza Andy Murray baada ya kushinda tennis ya Wimbledon, number 10 ilimwalika kumpongeza, waliohudhuria walikuwamo opposition kama ni part ya uongozi uliobeba kura za wananchi. Mwigulu na Nape, wamtazame Makamba Jnr, Zito Kabwe na wengine wengi across the spectra na wasome siasa sio mabishano na majigambo au matusi, nafasi zao zinahitaji hekima, busara na chachu ya mabadiliko yatakayoleta maendeleo ya kweli kwa wananchi hasa walio chini. Nina imani utawala huu umebeba na kutolerate ile cream ya wachafu ndani ya CCM, na imeridhika na ukimnya wa wasafi wenye heshima ya nafasi zao za uongozi. Hii post ni aibu kubwa na kuendeleza azma ya CCM na serikali yake ya kutokubali sera za accountability. Huwezi kushindwa bi-elections na kukataa mabadiliko yatakayorejesha imani ya wananchi kwa chama. Wananchi wanawatazama, wataposhindwa kutolerate uoza wao wakumbuke tu mbali ya kusota kama opposition pia kutakuwa na mashitaka kwa mahakama za uwazi, haki na uadilifu kuhakikisha kila anayetumia nafasi yake kwa ubaya sharia itamkumba. Watazame yaliowakuta kina Kaunda na Chiluba, Tanzania haiku immune na wimbi la aina hio. Time will tell.
 
Back
Top Bottom