Uchaguzi umebadilika na kuwa ni "movement" ondoa CCM

Mm nasema watu wa kusini watapigia kura za hasira kwenda ukawa jinsi walivyo pigwa mabomu na viboko na ccm juu ya gesi kwenda bagamoyo,machinga kibao watapigia ukawa kutokana na ccm kuwanyang'anya Mali zao na kupigwa sana ,wafanyabiashara nao wamenyanyasika sana na madereva wote watapigia ukawa mwaka huu maana wamenyanyasika sana na ccm sasa ni muda mwafaka wa kulipa kisasi kwa ccm hakuna kuwachagua ccm, vipi walimu bado hawajitambui ?kama wamejitambua hawata chagua ccm kamwe?mwaka huu maana wamedanganywa sana. Vipi wazee wastaafu wa africa mashariki mtachagua ccm tena vipi pesa yenu mmelipwa? Chagueni ukawa ,vipi wakulima wa korosho mtachagua ccm maana mlizurumiwa korosho zenu?sasa ndo pakulipa kisasi msichague ccm kabisa mwaka huu,vipi wakulima wa mahindi mmelipwa pesa zenu?kama hamjalipwa sasa lipeni kisasi msichague.Huko mpanda,ruvuma,mbeya tafadhali tusichague ccm pamoja na iringa.umaskini
 
Movement hii imefika hadi vijijini, ni kweli vijijini hawajiusishi sana mitandao lakini cha ajabu wanamjua sana Lowassa mpaka nashindwa kuelewa ni kwa nini?
Nadhani ni kutokana na Uanzishaji wake wa Secondary za Kata ambazo zimeenea mpaka vijijini.

"Vijijini Wanamjua Sana Mh Lowassa" ndo maana hii imekua sio Siasa tena bali ni Harakati.
 
Makulio hebu tuambie sasa hii 'movement' inamanufaa gani kwa mtanzania bila kuwa na sera ? Wakishaiondoa hio CCM then what? au ndio hapo wataanza kuulizana kuhusu sera? Wakati huo Lowasa ameshakua Rais, Amiri Kuu wa Jeshi n.k. TOO POWERFUL TO LISTEN TO ANYBODY.

Duh! Kwahyo hakuna sera?
 
Attachments

  • 1438955637251.jpg
    1438955637251.jpg
    30.2 KB · Views: 171
Mm nasema watu wa kusini watapigia kura za hasira kwenda ukawa jinsi walivyo pigwa mabomu na viboko na ccm juu ya gesi kwenda bagamoyo,machinga kibao watapigia ukawa kutokana na ccm kuwanyang'anya Mali zao na kupigwa sana ,wafanyabiashara nao wamenyanyasika sana na madereva wote watapigia ukawa mwaka huu maana wamenyanyasika sana na ccm sasa ni muda mwafaka wa kulipa kisasi kwa ccm hakuna kuwachagua ccm, vipi walimu bado hawajitambui ?kama wamejitambua hawata chagua ccm kamwe?mwaka huu maana wamedanganywa sana. Vipi wazee wastaafu wa africa mashariki mtachagua ccm tena vipi pesa yenu mmelipwa? Chagueni ukawa ,vipi wakulima wa korosho mtachagua ccm maana mlizurumiwa korosho zenu?sasa ndo pakulipa kisasi msichague ccm kabisa mwaka huu,vipi wakulima wa mahindi mmelipwa pesa zenu?kama hamjalipwa sasa lipeni kisasi msichague.Huko mpanda,ruvuma,mbeya tafadhali tusichague ccm pamoja na iringa.umaskini

Hao wote uliowataja wataipigia CCM isipokuwa Vibaka na mateja ndio wapo UKAWA kwa maana UKAWA hawajielewi kutokana na kumkaribisha FISADI
 
Aliyetoa kauli ya chaguo la Mungu halikuwa kanisa Katoliki. Alikuwa ni Malasusa ambaye tumefahamu baadaye alipewa hela na Kikwete.
Unamuonea Askofu Malasusa, aliyetoa kauli hiyo ni Askofu Methodius Kilaini wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam. Wakati huo Malasusa wala hajulikani wala hakuna Askofu Mkuu wa KKKT.
 
wakati unazaliwa lazima ulitanguliza miguu na ulipokuwa mkuba ulichungulia wazazi wako ndio maana huna adabu mkabila na mdini mkubwa sheitwan wa mguu mmoja wewe

Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na ambao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?
 
Ukawa walifikiri wantengeneza kumbe wanamboa.

Slaa yuko wapi?

Lipumba yuko wapi?
 
Unamuonea Askofu Malasusa, aliyetoa kauli hiyo ni Askofu Methodius Kilaini wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam. Wakati huo Malasusa wala hajulikani wala hakuna Askofu Mkuu wa KKKT.
Asante kwa sahihisho. Ni Kilaini, rafiki ya Kikwete. Aliyepokea mshiko kutoka kwa Kikwete.
 
Tunamsubiri Magufuli baada ya Oktoba 25, tupande naye ndege ya fastjet jet economy class manake atakuwa raia wa kawaida na siyo kupitia mlango wa VIP.
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

Kati ya wamama wajinga wwe mmja wapo
 
Makulilo, uko marekani hapa hamna kitu, picha unazoziona ITV ni za kutengeneza, wanachukua taarifa za matukio ya nyuma na kuzifanya zimetokea leo, wanatengeneza picha kama filamu za kanumba.
Uongo wako hauna mashiko kabisa yani kitu kilikua live bila chenga jiandae kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom