Uchaguzi umebadilika na kuwa ni "movement" ondoa CCM

Mbona sioni tshirt za kuhamasisha hi movement jamani pia gwandaz za pipoz wapi zinapatikana?
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

Wachaga wanaomtaka Lowasa si wachaga wote. Wanaomtaka hasa ni WACHAGA wa MACHAME.Hawa ndio vinara walioshika bango kuwa LOWASA awe raisi.Wachaga maeneo mengine Lowasa hawamtaki kivile!!
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

mada inasema ukawa wewe unasema Chadema, mama umekula ya wapi wewe? Pia nikushauri, acha ukabila sio tabia nzuri.
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

mtu aliyefilisika kihoja atakimbilia "UDINI" au "UKABILA" hao wananchi waliochagua wenyeviti wa mtaa wa chadema, cuf, nccr nk nchi nzima wote ni wachaga au wakatoliki?

HOJA YA KIPUUZI KABISA
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

Hata askofu wangu mkuu Kadnal Pengo akiniambia nisiwape ukawa kura naapa sintomuelewa
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

Hujajitambua tu kwamba watu wameshaku-ignore. Mlengo wako umekua too much!!! Huu ukabila na udini unaurudiarudia mno, hadi inakera.
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

Wewe una hofu ya mambo mawili katika maisha yako 1.UCHAGA 2.Ukristo. Kimsingi watanzania hawataki kusikia ukabila na udini wako vitu ambavyo unaviendekeza wewe. Acha porojo zinduka.......

Octoba mnaondoka madarakani jiandaeni kuwa wapinzani Tanzania bila ccm inawezekana MWANANCHI chukua hatua.
 
Hili ndo tatizo la watu wengi ambao hawajui hali halisi ya siasa za Tanzania. Wakisoma tu kwenye mitandao ya jamii kama JF wanadhani Watanzania wote wanaichukia CCM; wanasahau ukweli kwamba asilimia 80 ya Watanzania ni maskini na wapo vijijini. Hawa hawajihusishi na siasa za mitandaoni na wengi wao bado wataipigia kura CCM no matter what. Wanakijiji maskini na "wajinga" ndo "competitive advantage" ya CCM kama ulikuwa hujui mkuu. Unaonekana haupo Tz. By the way, habari za California? Ohio, Athens, nako hawajambo?

Ningeomba unijibu maswali haya. (1) Labda tukiacha hao 80% uliowaita ni masikini, unafikiri ni kwa nini hawa wa kwenye mitandao wanaichukia CCM? (2) Na hawa uliowaita ni masikini na "wajinga" na kwamba ndio tegemeo la CCM, je hiyo ni afya kwa CCM? Hayo maswali mawili yametokana na comment yako, naomba majibu.
 
Hili ndo tatizo la watu wengi ambao hawajui hali halisi ya siasa za Tanzania. Wakisoma tu kwenye mitandao ya jamii kama JF wanadhani Watanzania wote wanaichukia CCM; wanasahau ukweli kwamba asilimia 80 ya Watanzania ni maskini na wapo vijijini. Hawa hawajihusishi na siasa za mitandaoni na wengi wao bado wataipigia kura CCM no matter what. Wanakijiji maskini na "wajinga" ndo "competitive advantage" ya CCM kama ulikuwa hujui mkuu. Unaonekana haupo Tz. By the way, habari za California? Ohio, Athens, nako hawajambo?

umeonge point muhimu sana yani, tena sana wapenda mabadiriko ni lazima tujiulize kwamba ni watz wangap wanafikiwa na vyombo vya habari na kujua jinsi nchi yao inavyokwenda kiukweli kabisa mtaji wa CCM ni ujinga na umasikini wa watz,
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

Kanisa limeshashinda vita wagombea wote ni wakristo. Kazi imekwisha.

Lipumba aliyewadanganya waislamu mjipange ameshakimbia nchi bado mkwele.
 
analia, wasije kukuficha kwa hizo sentensi zako....labda kama ID yako ni ya uongo!!, hawapendi na hawataki kuambiwa mambo hayo hivyo.............ingawaje wanayafahamu
 
dada mbona unapenda sana siasa za UDINI???

mawazo hayo sasa ndio yanayotugawa watanzania..na kushindwa kuelewa Adui yetu ni nani hasa!!

HIYO lugha ya UDINI, inatakiwa kupingwa na kukemewa kabisa

Kanisa limeshashinda vita wagombea wote ni wakristo. Kazi imekwisha.

Lipumba aliyewadanganya waislamu mjipange ameshakimbia nchi bado mkwele.
 
dada mbona unapenda sana siasa za UDINI???

mawazo hayo sasa ndio yanayotugawa watanzania..na kushindwa kuelewa Adui yetu ni nani hasa!!

HIYO lugha ya UDINI, inatakiwa kupingwa na kukemewa kabisa

Hebu kajambe huko usinizowee, unajuwa post yangu nimemjibu nani?
 
Kwa nini dada Faiza Foxy anapenda ukabila sana....Mara wachagga etc. Wamekukosea nini dadangu. Unatujengea chuki za kikabila na kidini...please stop referencing people's tribes. Shame on you!

Kweli umemweleza vema huyo mwanamke.... Inaonekana ana matatizo makubwa mno ndani ya nafsi yake
 
Hapa hakuna ubishi wowote katika hili. Wafanya kazi wenzangu na marafiki wenzangu na watu tulio soma nao wanazungumzia jambo hili tu. Kwamba mwaka huu ni kuitoa madarakani CCM ili tuje kugundua uozo uliojificha ndani ya Serikali. Baada ya hapo ndio tutachagua yule mwenye nia ya kweli ya kuwaongoza watanzania walio wengi. Hapa CCM haina jinsi tena. Ni upinzani bora CCM itoke.
 
Hiyo sio kwel mkuu, fanya tathimini kwanza ndipo ubwabwaje hadharan
Upo gizani kweli kweli. CCM kwa moto huu haruki maisha. Usitegemee CCM kupata kura zaidi ya 28% ya kura mwaka huu.
 
Back
Top Bottom