Uchaguzi umebadilika na kuwa ni "movement" ondoa CCM

Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

Peleka ujinga huko Kondoo ww jinga kabisaa bibi wa jf mpenda udini Huna adabu
 
Kama kuna watu wasiofit kabisaaa kwenye utanzania ni wanaoimba wimbo wa ukabila na udini kwenye siasa, sasa maelfu na maelfu ya wachaga waliojazana CCM nao tuwaweke kwenye kundi gani? na wanyakyusa walio ndani ya CDM tuwaweke wapi? ukawa, CDM, CUF, CCM kote kote kuna waislam na wakristo
Mara kanda mara kaskazini utadhani Mbeya nako ni kaskazini! ewwww! horrible! hovyoooo! hoja iliyopoteza uzito na mashiko, sifuri!
 
Upo gizani kweli kweli. CCM kwa moto huu haruki maisha. Usitegemee CCM kupata kura zaidi ya 28% ya kura mwaka huu.

Ishii We Jamaa Ungekua Unabet Kwa Muhindi Nngekwambia Chana Tu Mkeka Mapema.Hata Kabla Mech Haijaanza Tayar Unainjury Kipa Huna
 
Kwa maneno haya tu inaonyesha hata kadi ya mpiga kura hujui inafanana vipi. Mchana mwema.
 
Kinachoendelea sasahivi Tanzania na siasa: Imevuka ile hali ya CCM vs CHADEMA, CCM vs CUF, CCM vs NCCR etc. Sasahivi imebadilika na kuwa MOVEMENT. Wananchi wengi wana wanataka CCM iondoke madarakani. Na kwa mara kwanza katika siasa za Tanzania, uchguzi huu, CCM yenyewe imeona hilo kuwa inaenda kuondolewa. Imevurugwa sana. Na wananchi kila siku wanaona jinsi walivyo na nguvu ya kuiondoa CCM madarakani kwa kura. Watakaopiga kura watakuwa wengi, wengi wameona thamani ya kura zao sasa. Katika MOVEMENT hii, watu wengi wapo hata kupigia kura jiwe dhidi ya CCM. Hata kama UKAWA wakiweka jiwe, watu wengi wamedhamiria kuona CCM inaondoka madarakani, ili ikajifunze upya kama KANU na vyama vingine vya "ukombozi".

MAKULILO
umeandika ukweli sana .
 
Hili ndo tatizo la watu wengi ambao hawajui hali halisi ya siasa za Tanzania. Wakisoma tu kwenye mitandao ya jamii kama JF wanadhani Watanzania wote wanaichukia CCM; wanasahau ukweli kwamba asilimia 80 ya Watanzania ni maskini na wapo vijijini. Hawa hawajihusishi na siasa za mitandaoni na wengi wao bado wataipigia kura CCM no matter what. Wanakijiji maskini na "wajinga" ndo "competitive advantage" ya CCM kama ulikuwa hujui mkuu. Unaonekana haupo Tz. By the way, habari za California? Ohio, Athens, nako hawajambo?

sio kweli hilo limepunguzwa sana na chadema ni msingi na kwa kushauri tu ni lini uliwapigia ndugu zako walioko kijijini wachague viongozi sahihi. kama wewe sio ccm na unapenda mabadiliko ungeaza kwa kuelimisha ndugu zako wanaoishi vijijini wachukue hatua stahiki mimi nimeanza siku nyingi we je?
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

wakati unazaliwa lazima ulitanguliza miguu na ulipokuwa mkuba ulichungulia wazazi wako ndio maana huna adabu mkabila na mdini mkubwa sheitwan wa mguu mmoja wewe
 
wew wasema ila ukwel utajulikana oct 25 tutakua wote kwenye folen....

unavyojibu tu inaonekana mwisho wako ni hapo morogoro kusafiri ndani ya Tanzania, you know nothing other than hearsay statements from Nape the suspect of Corruption in party nomination polls
 
Hii bila shaka ndiyo hoja kuu katika uchaguzi wa mwaka huu. Nionavyo, mzingo huu angamizi (vicious circle) unaoendelezwa na ukiritimba wa madaraka wa CCM usipovunjwa mwaka huu, basi tukubali demokrasia ya vyama vingi haiwezekani na haitawezekana Tanzania kwa karne nyingi zijazo. Hii itatuthibitishia pia kuwa pamoja na kelele zote tunazopiga kuhusu utawala mbovu wa CCM kutokana na ukiritimba wa madaraka, wananchi wengi zaidi bado wanajisikia heri na chama hicho kudumu madarakani kuliko mbadala. Manake, tuendelee na mfumo wa chama kimoja.
 
CCM lazima iondoke. Wanichi tuna kampen babu kubwa mitaani. Bado atujawakamata mama zetu tu
 
Kinachoendelea sasahivi Tanzania na siasa: Imevuka ile hali ya CCM vs CHADEMA, CCM vs CUF, CCM vs NCCR etc. Sasahivi imebadilika na kuwa MOVEMENT. Wananchi wengi wana wanataka CCM iondoke madarakani. Na kwa mara kwanza katika siasa za Tanzania, uchguzi huu, CCM yenyewe imeona hilo kuwa inaenda kuondolewa. Imevurugwa sana. Na wananchi kila siku wanaona jinsi walivyo na nguvu ya kuiondoa CCM madarakani kwa kura. Watakaopiga kura watakuwa wengi, wengi wameona thamani ya kura zao sasa. Katika MOVEMENT hii, watu wengi wapo hata kupigia kura jiwe dhidi ya CCM. Hata kama UKAWA wakiweka jiwe, watu wengi wamedhamiria kuona CCM inaondoka madarakani, ili ikajifunze upya kama KANU na vyama vingine vya "ukombozi".

MAKULILO

Makulio hebu tuambie sasa hii 'movement' inamanufaa gani kwa mtanzania bila kuwa na sera ? Wakishaiondoa hio CCM then what? au ndio hapo wataanza kuulizana kuhusu sera? Wakati huo Lowasa ameshakua Rais, Amiri Kuu wa Jeshi n.k. TOO POWERFUL TO LISTEN TO ANYBODY.
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?

Aina hii ya mawazo ya kidini na kikabila ndiyo yanayoipeleka CCM kaburini. Endelea kuchochea...
 
yes!yes!yes!.........
 
Attachments

  • 1438946108250.jpg
    1438946108250.jpg
    93.6 KB · Views: 106
Kinachoendelea sasahivi Tanzania na siasa: Imevuka ile hali ya CCM vs CHADEMA, CCM vs CUF, CCM vs NCCR etc. Sasahivi imebadilika na kuwa MOVEMENT. Wananchi wengi wana wanataka CCM iondoke madarakani. Na kwa mara kwanza katika siasa za Tanzania, uchguzi huu, CCM yenyewe imeona hilo kuwa inaenda kuondolewa. Imevurugwa sana. Na wananchi kila siku wanaona jinsi walivyo na nguvu ya kuiondoa CCM madarakani kwa kura. Watakaopiga kura watakuwa wengi, wengi wameona thamani ya kura zao sasa. Katika MOVEMENT hii, watu wengi wapo hata kupigia kura jiwe dhidi ya CCM. Hata kama UKAWA wakiweka jiwe, watu wengi wamedhamiria kuona CCM inaondoka madarakani, ili ikajifunze upya kama KANU na vyama vingine vya "ukombozi".

MAKULILO

Makulilo, uko marekani hapa hamna kitu, picha unazoziona ITV ni za kutengeneza, wanachukua taarifa za matukio ya nyuma na kuzifanya zimetokea leo, wanatengeneza picha kama filamu za kanumba.
 
hivi mamaako mzazi akisoma hiki ulichoandika unadhani atajisikiaje ? sema ukweli tu wala usifiche .
 
Back
Top Bottom