Uchaguzi umebadilika na kuwa ni "movement" ondoa CCM

MAKULILO

Member
Joined
May 30, 2010
Posts
84
Reaction score
95
Kinachoendelea sasahivi Tanzania na siasa: Imevuka ile hali ya CCM vs CHADEMA, CCM vs CUF, CCM vs NCCR etc. Sasahivi imebadilika na kuwa MOVEMENT. Wananchi wengi wana wanataka CCM iondoke madarakani. Na kwa mara kwanza katika siasa za Tanzania, uchguzi huu, CCM yenyewe imeona hilo kuwa inaenda kuondolewa. Imevurugwa sana. Na wananchi kila siku wanaona jinsi walivyo na nguvu ya kuiondoa CCM madarakani kwa kura. Watakaopiga kura watakuwa wengi, wengi wameona thamani ya kura zao sasa. Katika MOVEMENT hii, watu wengi wapo hata kupigia kura jiwe dhidi ya CCM. Hata kama UKAWA wakiweka jiwe, watu wengi wamedhamiria kuona CCM inaondoka madarakani, ili ikajifunze upya kama KANU na vyama vingine vya "ukombozi".

MAKULILO
 
Tuwe wajasili kudai haki yetu pindi tukiona wanataka kuchakachua,ccm wanaondoka
 
Kinachoendelea sasahivi Tanzania na siasa: Imevuka ile hali ya CCM vs CHADEMA, CCM vs CUF, CCM vs NCCR etc. Sasahivi imebadilika na kuwa MOVEMENT. Wananchi wengi wana wanataka CCM iondoke madarakani. Na kwa mara kwanza katika siasa za Tanzania, uchguzi huu, CCM yenyewe imeona hilo kuwa inaenda kuondolewa. Imevurugwa sana. Na wananchi kila siku wanaona jinsi walivyo na nguvu ya kuiondoa CCM madarakani kwa kura. Watakaopiga kura watakuwa wengi, wengi wameona thamani ya kura zao sasa. Katika MOVEMENT hii, watu wengi wapo hata kupigia kura jiwe dhidi ya CCM. Hata kama UKAWA wakiweka jiwe, watu wengi wamedhamiria kuona CCM inaondoka madarakani, ili ikajifunze upya kama KANU na vyama vingine vya "ukombozi".

MAKULILO

Utasubiri sana.
 
mkuu mi nipo huku NYARUGUSU-GEITA Yaani huku kwenye taarifa ya habari watu wanaangalia taarifa za UKAWA huku wakitaka kumuona Kamanda E.LOWASSA akiongea.
 
Kinachoendelea sasahivi Tanzania na siasa: Imevuka ile hali ya CCM vs CHADEMA, CCM vs CUF, CCM vs NCCR etc. Sasahivi imebadilika na kuwa MOVEMENT. Wananchi wengi wana wanataka CCM iondoke madarakani. Na kwa mara kwanza katika siasa za Tanzania, uchguzi huu, CCM yenyewe imeona hilo kuwa inaenda kuondolewa. Imevurugwa sana. Na wananchi kila siku wanaona jinsi walivyo na nguvu ya kuiondoa CCM madarakani kwa kura. Watakaopiga kura watakuwa wengi, wengi wameona thamani ya kura zao sasa. Katika MOVEMENT hii, watu wengi wapo hata kupigia kura jiwe dhidi ya CCM. Hata kama UKAWA wakiweka jiwe, watu wengi wamedhamiria kuona CCM inaondoka madarakani, ili ikajifunze upya kama KANU na vyama vingine vya "ukombozi".

MAKULILO
Na wanaondoka tuuuuuuuuu.
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na ambao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

mkuu mi nipo huku GEITA Yaani huku kwenye taarifa ya habari watu wanaangalia taarifa za UKAWA huku wakitaka kumuona Kamanda E.LOWASSA akiongea.
 
Hili ndo tatizo la watu wengi ambao hawajui hali halisi ya siasa za Tanzania. Wakisoma tu kwenye mitandao ya jamii kama JF wanadhani Watanzania wote wanaichukia CCM; wanasahau ukweli kwamba asilimia 80 ya Watanzania ni maskini na wapo vijijini. Hawa hawajihusishi na siasa za mitandaoni na wengi wao bado wataipigia kura CCM no matter what. Wanakijiji maskini na "wajinga" ndo "competitive advantage" ya CCM kama ulikuwa hujui mkuu. Unaonekana haupo Tz. By the way, habari za California? Ohio, Athens, nako hawajambo?
 
unaongelea mambo ya mwaka upi wewe kifupi fuatilia uchaguzi wa serikali za mitaa hapo utajifunza mengi zile ambazo watawala wameshinda mf tanga nenda uliza kwa nini walishinda kiasi hicho
 
Watanzania wengi wenye msimamo wa dhati na amabao si wachagga hawaitaki chadema.

Kumbuka hilo.

Kanisa katoliki bado hatujalisikia likisema "chaguo la Mungu" safari hii ni nani?
Aliyetoa kauli ya chaguo la Mungu halikuwa kanisa Katoliki. Alikuwa ni Malasusa ambaye tumefahamu baadaye alipewa hela na Kikwete.
 
Hili ndo tatizo la watu wengi ambao hawajui hali halisi ya siasa za Tanzania. Wakisoma tu kwenye mitandao ya jamii kama JF wanadhani Watanzania wote wanaichukia CCM; wanasahau ukweli kwamba asilimia 80 ya Watanzania ni maskini na wapo vijijini. Hawa hawajihusishi na siasa za mitandaoni na wengi wao bado wataipigia kura CCM no matter what. Wanakijiji maskini na "wajinga" ndo "competitive advantage" ya CCM kama ulikuwa hujui mkuu. Unaonekana haupo Tz. By the way, habari za California? Ohio, Athens, nako hawajambo?[/QUO

ssipendi sisiem na kanda ya ziwa pombe ataambulia 8% tu yakura na EL ndo chaguo la watz kwa 80% sisem wezi, je zile pembe za ndovu uswiz, ccm wameuza wapate pesa ya kuhonga, tutazila na kura ni kwa EL tu
 
Katoliki ndio wanaopiga kura?Mbona papaa asijiuzulu na alikuwa chaguo la mungu?Nguvu ya Mungu ni Nguvu ya umma na chaguo la watu ndio chaguo la Mungu na Miungu ..
 
Ni uenda wazimu kuuendelea kuichagua sisiem chama la wezi wakubwa wa mali za taifa hili, eti wanafikiri pombe atawasidia? kauli y kwanza ya pombe alipoteuliwa alisema wazi kuwa ataitumikia sisiem- kwahiyo atailinda ccm na wala si tz tena, na kwa hali hii tegemea ufisadi mkubwa mno endapo utamchagua awe rais, hana jipya amewekwa alinde mikataba ya akina mkpa, na ile ya mibovu ya gesi: na hii itawagarimu sana watz kwa kujifanya wafia ssiem: je umeyaona maisha bora kwa kila mtz aliyoahid baba riz? na watz waliamni, wakaipa ccm kura lukuki, leo hii umadlskini umeongezeka sana- na pombe kashasema wazi anaenda kuitumiki ccm- hapa tunasubiri umaskin mkubwa kwa kila mtz: ila huku lake zone especially mikoa ya mza, mara, shy, geits na bk kura zetu ni kwa EL, tunachotaka ni mabadiliko ya mfumo wanchi na wala si ukanda- kujinadi kwa jina la ukanda ni kukosa sera na ubinafsi, ni kuwahadaa wananchi waliozungukwa na wingu kubwa la ufukara huku ccm wakiuza dhahabu S. Africa na gesi ndo hivo tena baba riz kashakura zake 30% huku serikali ikiambulia 7% tu.
 
Back
Top Bottom