Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

Naona unajaribu kuzuia gharika kwa mikono,
Unachotakiwa kujua watu walikuwa hawapigi kura,uchaguzi huu vijana ndo waliopiga kura,sasa basi jua kwamba vijana wameridhia kujiandikisha na kupiga kura mkuu.

Pia jua kabisa utaratibu wa BVR utaleta matatizo mengi sn..ni heli tutumie mfumo wa zamani katika hali ya usahihi kabisa.

gharika la mitandaoni kwa CHAMDOMO ni kawaida, tumewazoea
 
CHAMA CHA MAPINDUZI KUTOKANA NA MATOKEO PROJECTION IS 70% wakifatiwa na chadema.
NIMESHANGAZWA SN KWA KUWA TULIAMINISHWA KUWA CHADEMA KINAJIANDAA KUCHUKUA DOLA 2015
lakini projection ya serikali ya mtaa 20% UTAIONA UTAFITI WA TWAWEZA ULISEMA MPK 2025 hapo CHADEMA INAWEZA KUSHIKA DOLA.
CHADEMA ILIPASWA KUSHINDA KUANZIA 50% ndipo ingeweza kuproject 2015
ni wazi CHADEMA kwa kashfa za escrow wameshindwa kupata 50% hapana shaka ni chama kinachopata umaarufu kwa matukio na si sera.
jadili hoja na si mtoa hoja OVER!!!
Do you know yhe mining of PROJECT?Kweli wewe mi mulungo DVN 5


SWISSME;
 
Mtaa gani? Weka matokeo kamili! hivi unajua kuna mitaa zaidi ya 2000+ CCM imepita bila kupingwa?

Unashabikia kupita bila kupingwa!!Hao waliopita walichaguliwa na nani?kwa nini hamkuwaweka kwa wananchi wawapigie kura za ndio au hapana?Shame of the century.
 
Kyela mamlaka ya mji mdogo isha maliza kazi yetu tunasubiri tumnyuke "Mbunge wa Tanzania Dr Mwakyembe"

Angalizo la mapema kama mnamtaka Dr Mwakyembe mchukueni sisi Kyela hatumtaki

kujifariji kupo kwa aina nyingi na huku nako ni kwa aina yake
 
kwa hiyo Kwa ujumla Mkoa wa Mara CCM iko taabani maana naambiwa huko Mwibara hali sio shwari kwa CCM. Kuna vijiji ambavyo uchaguzi umesogezwa mbele ili kupunguza kasi ya maumivu!!

Hawapunguzi mkuu ila wanaongeza. Watu wana tabia ya kufuata mkumbo wa wengi. Hapo ndo wamejimaliza.
 
Umefuliaaaaaaaa!
Mbona hujaongelea mapingamizi ya uwongo waliowekewa hao chadema? Bila mapingamizi yenu mngekuwa 50% 50%
 
Yule waziri ayechakachuwa katiba stevin wasira na aliyejifanya nabii wa kutabiri kuwa chama cha chadema kitakufa kabla ya mwaka 2015 yuko wapi?mbona simskii tena?naomba mwenye taarifa alipo tafahdali anijulishe
 
Katika vijiji vyote vya Rwanda,Katoma,Bushagara,Buganguzi,Kamachumu,Itongo,Bulembo pamoja na Kijiji cha Busingo ambacho kada nguli wa CDM bwana Ansbert Ngurumo anazaliwa,Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimefanya kufuru ya kutisha sana.
 
Last edited by a moderator:
Mtaa huu na kata yakizota ndiyo iliyopokea upinzani miaka mingi kwa hapa dodoma mjini na hatimae jana kuchukua serikali yamtaa kwa mala yakwanza,japo nasikia ccm kama hawa amini bado,kiukweli wananchi walikua wanataka mabadiko muda mrefu ila niubabe navitisho vya diwani wao ndivyo sababu iliyofanya jana wananchi kufanya maamuz wayatakayo,chadema ilikua wachukue mtaa tokea 2004 na 2009 lakn ilikua ngumu baada ya wagombea kununuliwa,ila mwaka huu walimuweka mtu anaejua anataka kutetea watu wa mtaa,hongereni wakazi wa huko relini kizota mpeni ushilikiano kamanda wenu.
 
Back
Top Bottom