Uchaguzi ni wa nini basi?

Kama kuna watu walioomba si wapitishwe tu bila kupingwa. Maana kuna chama fulani walikaa kikao cha ndani cha kuchuja majina ya walioomba kugombea mara paaap..!! Geshi ra prisi likavamia kikao likiwa limetuma na bwana dc, kwa maana hiyo kuna vyama havikupewa fursa ya kuchuja wagombea wao..!! Sasa uchuguzi wa nini? 'Jino moja mswaki wa nini?
 
Kwa Tanzania uchaguzi wa haki bado sana. Kiukweli sioni haja ya kujiandikisha zaidi ya kupata kitambulisho kwa ajili ya shughuli zenye kuhitaji uwepo wa kitambulisho, ila si kwa kupiga kura.
na tena cku hizi ukishakua na kitambulisho cha taifa hilo garasha lao la kupigia kura wala halina kazi tena,maana ofisi nyingi zinahitaji cha taifa kuliko cha mpiga kura,,au kimojawapo kati ya hivyo,mm cha mpiga kura cjui hata nilipokiweka huko hom na cna mpango wa kukitafuta,,,cha taifa tu kinanitosheleza
 
Write your reply...bado sana kwa tanzania demokrasia ni changa maana sioni umuhimu wa vyama pinzani kama kunauwezekano vingefutwa tuu kikaundwa chama kimoja tu
 
Write your reply...bado sana kwa tanzania demokrasia ni changa maana sioni umuhimu wa vyama pinzani kama kunauwezekano vingefutwa tuu kikaundwa chama kimoja tu
Kwahiyo kumbe wananchi hawaendi kujiandikisha kupiga kura kwasababu hawaoni umuhimu wa vyama vya upinzani? Au umekosea uzi?
 
Haya kumekucha. Mtaani kwetu difenda kibao na mapolisi wanakamata kila aliiyefungua duka kabla ya saa tano maana iliamriiwa hakuna kufungua biashara na watu waende kujiandikisha. Sasa imekuwa kupiga kura sio haki tena bali wajibu. Na huku kwetu ndo maa unaoongoza Tanzania nzima kwa kususia kujiandikisha kupiga kura dadadeki
 
Dooooh! kumbe hivi sasa siyo kuhamasisha, ni mwendo wa virungu na kutishana, nikulipe mshahara halafu ukatae kujiandikisha kupiga kura.....anyway tutafika tu.
 
SIKU NI KILUDIA KITENDO CHA KWENDA KUPIGA KURA HAPO NITAAMINI KWELI DAWA [emoji850]
 

Mwenye macho haambiwi tazama. Maswali haya ni redundant; ningekuwa yeye nisingeyajibu.
 
Mpaka sasa wahusika washapata ujumbu wa kutokukubarika, binafisi ni ngumu kupoteza muda eti nikapange foleni ya uchaguzi. Wakurungenzi, watendaji na wasimamizi wakiwemo washika mitutu tayari wanamaelekezo sasa nikafanye nini? I'm at home fulstop!
 
Kwa Tanzania uchaguzi wa haki bado sana. Kiukweli sioni haja ya kujiandikisha zaidi ya kupata kitambulisho kwa ajili ya shughuli zenye kuhitaji uwepo wa kitambulisho, ila si kwa kupiga kura.
Muongo mnapiga kura sema lengo lenu kuwafanya wenzenu wasione umuhimu wa kujiandikisha ili mwisho wa siku mpige kura ninyi wenyewe tu. tumewastukia.
 
Hata miye huku Chato sielewi hawa watu wanataka nini? Maana Rais tunaye tena tunampenda mnoo. Huyu tunaye mpaka huko mbele maana maendeleo tunayaona . Hizi hela za kulipa watu kwenda kujiandikisha na kusimamia hiz shughuli za uchaguzi zingeongezewa kwenye miradi ya maendeleo. Mimi sema sina connection na Katibu Mkuu ningemshauli uchaguzi ufanyika kwenye mashina kupata viongozi wa kijiji, ili kutokupoteza fedha na rasilimali za nchi. Hakuna haja ya uchaguzi kabisa.
Tunafanya uchaguzi kupima na kuona ni kwa kiasi gani upinzani upo na kama unakubalika/haukubaliki.

Pia tunafanya uchaguzi kuchagua wabunge.

Raisi tunaye na tunamjua.
 
Ndio tumeanza na kutokushiriki zoezi la usanii... Ni kweli Chama kikongwe kina wanachama zaidi ya mamilioni na wale mashabiki wao wanafika zaidi ya 20 milioni. Mimi nadhani vikao vya ndani vingetumika kuhamasisha wanachamwao kujiandikisha na kuwaleta wale wanaoshabikia. Hakuna haja ya kupoteza muda kwenda kwenye uchaguzi uliojaa usanii. Kwa nini tujiandikishe ili hali wataoshinda wanasubiri kujiandikisha hivi hizi rasimali haziwezi kuongezea mfuko wa maendeleo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…