Uchaguzi ni upotevu tu wa muda na pesa usio na msingi

mzushi

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
3,094
4,251
Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi.

Watu wameshapanga matokeo since day one na wanajua kabisa wanachokwenda kufanya why muhangaike kupoteza pesa za walipa kodi na muda wao kwa njia ya kijinga kama hii.

Ushauri wangu kwa vyama mbadala najua hakuna Mbunge wala diwani hata mmoja mtakayempata, sasa wekezeni nguvu zenu kuhangaika kuitafuta katiba mpya hii geresha ya uchaguzi kamwe hamtofanikiwa la sivyo hii ndiyo itakuwa alfa na omega kwenu.
 
Naunga mkono hoja 100%. Sasa amepata wabunge ataowataka. Aende tu akabadili katiba ili atawale milele. Uchaguzi ni kuharibu muda na pesa na watu 10 wamekwishakufa tayari. Kusingekuwa na haya maonyesho ya uchaguzi hao 10 wangekuwa hai leo hii.
 
Makamanda ndio kwanza ngoma inaanza, vipi tena ? Mlishaanza kulialia, kipigo kipo pale.
Nawakumbushia tu
IMG_20201028_145107.jpg
 
Naunga mkono hoja 100%. Sasa amepata wabunge ataowataka. Aende tu akabadili katiba ili atawale milele. Uchaguzi ni kuharibu muda na pesa na watu 10 wamekwishakufa tayari. Kusingekuwa na haya maonyesho ya uchaguzi hao 10 wangekuwa hai leo hii.
Kabisa ndugu yangu kuna watoto ni yatima sasa hivi sababu ya vita tu ya madaraka.
 
Naunga mkono hoja 100%. Sasa amepata wabunge ataowataka. Aende tu akabadili katiba ili atawale milele. Uchaguzi ni kuharibu muda na pesa na watu 10 wamekwishakufa tayari. Kusingekuwa na haya maonyesho ya uchaguzi hao 10 wangekuwa hai leo hii.
Na nafikiri ndo lengo lake, ebu fikiria mbunge km wa karatu hawezi hata kuongea kiswahili bungeni anaenda kufanya nini??
 
Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi.

Watu wameshapanga matokeo since day one na wanajua kabisa wanachokwenda kufanya why muhangaike kupoteza pesa za walipa kodi na muda wao kwa njia ya kijinga kama hii.

Ushauri wangu kwa vyama mbadala najua hakuna Mbunge wala diwani hata mmoja mtakayempata, sasa wekezeni nguvu zenu kuhangaika kuitafuta katiba mpya hii geresha ya uchaguzi kamwe hamtofanikiwa la sivyo hii ndiyo itakuwa alfa na omega kwenu.
Hoja ya msingi sana, shida vyama vyetu vyingi vya upinzani waganga njaa, nilifikiri wangegomea uchaguzi hadi katiba mpya na tume huru ya uchaguzi zipatikane. Tunapotezewa muda na rasilimali.
 
Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi.

Watu wameshapanga matokeo since day one na wanajua kabisa wanachokwenda kufanya why muhangaike kupoteza pesa za walipa kodi na muda wao kwa njia ya kijinga kama hii.

Ushauri wangu kwa vyama mbadala najua hakuna Mbunge wala diwani hata mmoja mtakayempata, sasa wekezeni nguvu zenu kuhangaika kuitafuta katiba mpya hii geresha ya uchaguzi kamwe hamtofanikiwa la sivyo hii ndiyo itakuwa alfa na omega kwenu.
Yaani vyama vya upinzani vikutafutie katiba mpya wakati wewe umetulia home na kulalamika Jamii Forums ?

Kwa asilimia mia moja uzembe wetu wananchi unachangia uchaguzi kutokuwa huru na wa haki.

Leo mawakala wa vyama vya upinzani wanatolewa vituoni badala ya wapiga kura kugoma nyinyi mnaendelea kupiga kura nakuondoka kama hakijatokea kitu chochote kibaya.

Wa Malawi waliamua kulinda kura na kusindikiza masanduku ya kura sisi tunapiga kura tunarudi kulala na michepuko

Are we serious ?
 
Hoja ya msingi sana, shida vyama vyetu vyetu vya upinzani waganga njaa, nilifikiri wangegomea uchaguzi hadi katiba mpya na tume huru ya uchaguzi zipatikane. Tunapotezewa muda na rasilimali.
Unafikiri wangegomea uchaguzi ingebadili chochote?

Wapinzani wanapotangaza jambo inabidi tuwaunge mkono kwa vitendo siyo hii ya kuwaachia wao wapambane.

Tumeruhusu mawakala wetu kutekwa vituoni na wapiga kura mpo mnakuja kulalamika Jamii Forums?

Twendeni barabarani
 
Yaani vyama vya upinzani vikutafutie katiba mpya wakati wewe umetulia home na kulalamika Jamii Forums ?

Kwa asilimia mia moja uzembe wetu wananchi unachangia uchaguzi kutokuwa huru na wa haki.

Leo mawakala wa vyama vya upinzani wanatolewa vituoni badala ya wapiga kura kugoma nyinyi mnaendelea kupiga kura nakuondoka kama hakijatokea kitu chochote kibaya.

Wa Malawi waliamua kulinda kura na kusindikiza masanduku ya kura sisi tunapiga kura tunarudi kulala na michepuko

Are we serious ?
Umeongea ukweli ingawa unatufokea dah, acha tukomae na raisi wetu 10yrs
 
Back
Top Bottom