mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,251
Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi.
Watu wameshapanga matokeo since day one na wanajua kabisa wanachokwenda kufanya why muhangaike kupoteza pesa za walipa kodi na muda wao kwa njia ya kijinga kama hii.
Ushauri wangu kwa vyama mbadala najua hakuna Mbunge wala diwani hata mmoja mtakayempata, sasa wekezeni nguvu zenu kuhangaika kuitafuta katiba mpya hii geresha ya uchaguzi kamwe hamtofanikiwa la sivyo hii ndiyo itakuwa alfa na omega kwenu.