Malegesi, hakuwa mtandao lakini alisaidiwa sana na mtandao kuipata hiyo nafasi, maana the big enemy alikuwa Idd Simba, ambaye ilitakiwa atolewe by any means necessary, kwa sababu alikuwa ni mwiba kwa kambi zote zilizogombea urais uliopita, pamoja na close ties zake na Mkapa!
Kataraiya, between Bukoba na Mwanza, sasa kuna new kids on the block, (Mtandao) Diallo, Karimagi, Kamalla, Masha,(mkubwa na mtoto) ambao sasa wanashika hatamu huko kwa kuwaondoa Shija, Mugema, na Rwakatare, wao sasa ndio the new north block power, with political power ku-make na un-make anyone politically, victim wa kwanza alikuwa Shija, baadaye Mgema, na sasa Kataraiya, next atakuwa Luangisa kwenye umeya, then itakuwa mbunge Suedi! na the likes!
Sasa imefika saa ya mtandao kushika hatamu ndani ya CCM, umoja wa wazazi, kina mama, na vijana, ni vitengo muhimu sana ambavyo lazima viwe mikononi mwa mtandao, na sasa ni oficial kwamba the mighty and undisputed Nchimbi, is leading the charge, next on line ni Magufuli, Mramba, na Mwandosya!
Kula 5 Mzee ES!
Ni kweli kabisa migongano ndani ya CCM ni kwa maslahi yao binafsi na wao kwa wao wanajua namna ya kupoozana na kuadabishana pindi kukitokea misuguano. Hiyo ni janja ya nyani na ndiyo maana kila siku huwa wanasema kwamba CCM itatawala kwa miaka zaidi ya 100 ijayo! Hiyo confidence wanaipata wapi?
BM aliiba ngapi kwenye uchaguzi wa rais uliopita?
Sasa dahabu ya wizi wao ni kutolewa ktk kamati kuu ya CCM na mchezo umekwisha ama kuna mashtaka tayari kortini!. Na kama hakuna ina maana hizo millioni 190 ndio zimekwenda na maji ama kuna hatua gani zaidi zimechukuliwa dhidi ya wahalifu hawa.
Malegesi, hakuwa mtandao lakini alisaidiwa sana na mtandao kuipata hiyo nafasi, maana the big enemy alikuwa Idd Simba, ambaye ilitakiwa atolewe by any means necessary, kwa sababu alikuwa ni mwiba kwa kambi zote zilizogombea urais uliopita, pamoja na close ties zake na Mkapa!
Kataraiya, between Bukoba na Mwanza, sasa kuna new kids on the block, (Mtandao) Diallo, Karimagi, Kamalla, Masha,(mkubwa na mtoto) ambao sasa wanashika hatamu huko kwa kuwaondoa Shija, Mugema, na Rwakatare, wao sasa ndio the new north block power, with political power ku-make na un-make anyone politically, victim wa kwanza alikuwa Shija, baadaye Mgema, na sasa Kataraiya, next atakuwa Luangisa kwenye umeya, then itakuwa mbunge Suedi! na the likes!
Sasa imefika saa ya mtandao kushika hatamu ndani ya CCM, umoja wa wazazi, kina mama, na vijana, ni vitengo muhimu sana ambavyo lazima viwe mikononi mwa mtandao, na sasa ni oficial kwamba the mighty and undisputed Nchimbi, is leading the charge, next on line ni Magufuli, Mramba, na Mwandosya!
Sasa sababu ya wizi wao ni kutolewa ktk kamati kuu ya CCM na mchezo umekwisha ama kuna mashtaka tayari kortini!. Na kama hakuna ina maana hizo millioni 190 ndio zimekwenda na maji ama kuna hatua gani zaidi zimechukuliwa dhidi ya wahalifu hawa.
Malegesi, hakuwa mtandao lakini alisaidiwa sana na mtandao kuipata hiyo nafasi, maana the big enemy alikuwa Idd Simba, ambaye ilitakiwa atolewe by any means necessary, kwa sababu alikuwa ni mwiba kwa kambi zote zilizogombea urais uliopita, pamoja na close ties zake na Mkapa!
Kataraiya, between Bukoba na Mwanza, sasa kuna new kids on the block, (Mtandao) Diallo, Karimagi, Kamalla, Masha,(mkubwa na mtoto) ambao sasa wanashika hatamu huko kwa kuwaondoa Shija, Mugema, na Rwakatare, wao sasa ndio the new north block power, with political power ku-make na un-make anyone politically, victim wa kwanza alikuwa Shija, baadaye Mgema, na sasa Kataraiya, next atakuwa Luangisa kwenye umeya, then itakuwa mbunge Suedi! na the likes!
Sasa imefika saa ya mtandao kushika hatamu ndani ya CCM, umoja wa wazazi, kina mama, na vijana, ni vitengo muhimu sana ambavyo lazima viwe mikononi mwa mtandao, na sasa ni oficial kwamba the mighty and undisputed Nchimbi, is leading the charge, next on line ni Magufuli, Mramba, na Mwandosya!
Kichuguu,
Analysis yako nimeipenda sana, lakini kumbuka kwamba mazingira ya US na Tanzania yako tofauti kidogo. US katiba ni nzuri na inatoa fursa sawa kwa wote (chama kilicho madarakani na chama pinzani).
Tanzania hata CCM ikiwa unpopular kiasi gani, joto hilo litaishia mijini tu na sehemu chache ambazo wananchi wake wameichoka CCM. Na ndiyo maana ikifika wakati wa uchaguzi, CCM huwa inapeleka full squad kwenye majimbo ambayo yana upinzani wa nguvu. Mikoa hiyo ni pamoja na Kilimanjaro, Kagera, Arusha mjini, Kigoma mjini na sehemu nyinginezo. Hali hiyo imewasaidia sana kupora majimbo yaliyokuwa mikononi mwa wapinzani.
CCM bado inajivunia ujinga wa wapiga kura hasa walio na njaa kali ambao wanaweza kuhongwa doti ya khanga, t-shirt au sahani ya pilau na wakampa kura mtu wa CCM. Ukienda vijijini watu hawajui vyama vya upinzani, bali ni CCM. Hii ni changamoto kwa wapinzani kujitandaza wilayani, tarafani, kwenye kata mpaka vijijini ili wajiweke kwenye nyuso za wapiga kura. Lakini hawa ndugu zetu wa upinzani utawaona wanapiga kelele wakati wa kampeni na uchaguzi ukiisha huwasikii tena mpaka uchaguzi mwingine. Mimi ninadhani wangekuwa wanatumia hii miaka kujisogeza jirani na wapiga kura ili ikifika 2010 wawe wanajulikana. Lakini hayo lazima yaende sambamba marekebisho ya katiba ikiwa ni pamoja na kudai tume huru ya uchaguzi, vyombo vya dola kama polisi kutotumika kuwanyima uhuru wapinzani.