This is interesting ...KWELI mtandas wamekamata chama ..hatimaye mwenyekiti wa jumuia ya wazazi ambaye wakati wa muchakatoo wa urais alitangaza hadharani kumuunga mkono FREDERICK SUMYE...amevuliwa madaraka yote chamani..pia mwingine aliyevuliwa ni aliyewahi kuwa mbunge wa bukoba na sasa katibu wa chama bukoba mh kataraia....wote wanadaiwa kuwa wabadhirifu..na zaidi kataraia anadaiwa kusaidia upinzani..
vipi wadau naona ccm imeanza kuadhibu wabadhirifu kwa kuanza na hao ..tusubiri wengine nao..au isijekuwa ndio mtandao wameanza kufanya usafi...
jamani hii ndio sanaa hasa inaanza kazi.JK na EL ni wasanii wetu,sasa hii ndo sijui nini.ebu tazameni:maregesi alimuunga mkono sumaye,mara sumaye karudi toka chuoni na kuchukua fomu ngome yake inaanza kuvunjwa,in maana ubadhirifu wa maregesi umejulikana jana tu?na je yeye ndo mbadhirifu kuliko EL,malecela,JK n.k?
hii ndo sanaa halisi na Boyz II Men ndo wameanza,hadi kufikia 2010 nadhani nchi hii na CCM kwa ujumla watakuwa wamejua maana ya hotuba ya Nyerere ile ya mwaka 1995 wakati alipowakataa hwa B II M.
1. Unamaanisha wajumbe wengine wote (33) ni Bendera hufuata upepo kwa maana ni wajinga kabisa.hawawezi kukataa chochote boyz II men watakachosema kama kweli wanafanya hivyo.
2. Unalazimisha hisia zako watu wazichukue juu juu na haya ndio wanasiasa wengi wamewalazimisha wananchi wetu kuamini mambo yasiyokuwepo.
Hongera kwa majungu!!!!
Kama EL anaweza kuwafanya wabunge zaidi ya mia mbili kufuata upepo na wakaacha kujadili masuala ya maana atashindwa vipi kwa watu 33 pekee?