William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
"Sisi na wao magazeti tuko boti moja, ni data tu, mpaka kesho CCM watakapotangaza na tutaendelea kuzichokonyoa!
Na the latest zinasema wenyeviti wengi wa CCM wa mikoa wamepigwa chini!"
Mpaka tulisema magzeti yako wrong on Mbatia je ulikuwa udaku? Tena mpaka tukasema majina yatatangazwa kesho yaani leo, si haya yametangazwa leo sasa kama sio gele ni nini? wacheni kushusha heshima ya forum na upayukaji tu bila ukweli!
Forum oyeee! JF juuu zaidi! Where we dare to talk, na data mbele wee!
Kumradhi Mlaki, Mbatia
2007-08-03 09:20:38
Na Richard Makore
Katika gazeti la jana tulichapisha kimakosa kwamba Mhe. Rita Mlaki, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Mhe. Salome Mbatia, Naibu wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto wameenguliwa kugombea nafasi za uwakilishi katika Halmashauri Kuu ya CCM.
Tumegundua kwamba taarifa hiyo haikuwa sahihi kwani hawajaenguliwa.
Tunachukua fursa hii kuwaomba radhi, waheshimiwa hao kutokana na usumbufu walioupata kutokana na habari yetu hiyo - Mhariri
SOURCE: Nipashe
Ieleweke kuwa, Yaandikwayo hapa ni mawazo ya wateja wetu na si msimamo wa JamboForums.com ama vinginevyo. Lugha za matusi hazitavumiliwa!
Tutashukuru pale ukiona jambo baya ukatufahamisha tulifanyie marekebisho haraka kabla hujakashifu au kutoa lawama. Sisi ni binadamu na tuna mapungufu yetu.
Tutashukuru pale ukiona jambo baya ukatufahamisha tulifanyie marekebisho haraka kabla hujakashifu au kutoa lawama. Sisi ni binadamu na tuna mapungufu yetu.
Wanafiki tu, Majina mengi hawajapublish ambayo yamepitishwa,
Kama mtu alisema hapo....Mangula, Mwandosya, yule mtoto wa Apson....etc
classic CCM
KadaMpinzani,
Inasikitisha kwamba unashabikia UDAKU na unaamini hatuwezi ishi au habarishana bila kusema ukweli.
Kubuni uongo just kwa sababu ya mazingira yanaruhusu hivyo, ni sawa sawa na mganga wa kienyeji ambaye siku zote anatumia mazingira ya mgonjwa wake,,, kubuni kwamba amelogwa na mwanamke mweusi jirani yake (of which lazima uwe na jirani mweusi na mwanamke kwa mazingira ya nchini kwetu) hii husabisha wagonjwa kuamini hivyo... Hivi hivi ndivyo mlivyomzuishia ZITTO kwamba ameonja tunda la mwanamke aliyeolewa just b'se walikuwa kwenye mazingira ya kuwa pamoja.