Uchaguzi mkuu ujao upinzani Tanzania uunganishe nguvu au wagombee hivi hivi kiholela kama kawaida?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
9,824
13,194
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyingine zozote zilizopita...

Kinaungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa. Na kwahivyo ushindi wa kishindo na wa wazi sana kwa CCM unaonekana hata kabla ya uchaguzi.....

Sasa katika hali hiyo kuna haja upinzani nchini waunganishe nguvu au wagombee kiholela kama ilivyozoeleka ili tu kukamilisha ratiba ya kushiriki uchaguzi wa kidemokarasia kama ilivyokuwa kwenye chaguzi zilizopita?
 
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita...

kina kina ungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa.
Na kwahivyo ushindi wa kishindo na wa wazi sana kwa CCM unaonekana hata kabla ya uchaguzi.....

sasa katika hali hiyo,
kuna haja upinzani nchini, waunganishe nguvu au wagombee kiholela kama ilivyo zoeleka, ili tu kukamilisha ratiba ya kushiriki uchaguzi wa kidemokarasia kama ilivyokua kwenye chaguzi zilizipita?
Loooh huo mchezo waoishajaribu zilepesa wakashindwa kugaiana huyu anasema wana wabunge wengi apate hela zaidi loh
 
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita

Kaka chama chako kipo imara Sasa huwa unawashwawashwa na Nini kuhusu upinzani?
Hii inaonesha ndani ya ccm mambo hayapo sawa.
 
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita...

kina kina ungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa.
Na kwahivyo ushindi wa kishindo na wa wazi sana kwa CCM unaonekana hata kabla ya uchaguzi.....

sasa katika hali hiyo,
kuna haja upinzani nchini, waunganishe nguvu au wagombee kiholela kama ilivyo zoeleka, ili tu kukamilisha ratiba ya kushiriki uchaguzi wa kidemokarasia kama ilivyokua kwenye chaguzi zilizipita?
Hakuna uchaguzi Tanzania bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Mtu mjinga tu, au anayefaidika binafsi ndio atajitokeza kushiriki hizo chaguzi za kishenzi kwa mazingira yanayopigiwa kelele kwa zaidi ya miaka 30 Sasa.

Uchaguzi wa 2020 chini ya dhalimu Magufuli ulikuja kuweka mpaka wa kutoendelea kushiriki hizi chaguzi za kishenzi. Bila mabadiliko ya kweli ni upuuzi kama upuuzi mwingine kuendelea kushiriki hizo chaguzi za kihayawani.
 
Chadema hawawez kukubali sababu wanaamini wataitoa ccm wenyewe, yaani chadema ni malofa kupitiliza
 
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita

Kaka chama chako kipo imara Sasa huwa unawashwawashwa na Nini kuhusu upinzani?
Hii inaonesha ndani ya ccm mambo hayapo sawa.
Tindo atakuja kukuunga mkono sasa hivi,mwenzio kapewa banda la uwani kwenye nyumba ya mbowe machame wewe unapigwa doro hapa
 
Kama kusingekuwa na Wizi wa kura unaofanywa na NEC kwa usimamizi wa vyombo vya ulinzi na Usalama,ikiwa kila chama kikasimamisha mgombea wake Chama pendwa hakiwezi kushinda uchaguzi.
 
Pilipili ya WAPINZANI usoila, yakuwashia nn wewe mwana CCM?
kibaraka anataka kumshtaki Rais eti kwasababu amepiga picha nzuri sana na Mbowe na viongozi wa baraza la wanawake yeye akiwa hayupo 🤣

hii unaizungumziaje kamanda 🐒
 
Back
Top Bottom