The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
Washatangaza? Tusije pandishiana insulin bure
Bado hulali
Washatangaza? Tusije pandishiana insulin bure
kwa kura ngapi?
matokeo rasmi bado
hayajatangazwa uyo jamaa anazingua, tatizo kuna pilika pilika zisizo za
msingi
mshindi alishajulikana hata uchaguzi haujatangazwa soka la bongo mimavi tuu
We utakuwa kambi ya Nyamlani,poleni sana.jaribuni tena elfu 2 na kumi na.....
W. J. Malecela haya chukuwa loser mwenzako Athumani Nyamlani nenda naye kamsaidie kukusanya pesa za rushwa mahakama ya kinondoni.Nimearifiwa kuwa Jamal Malinzi amechaguliwa kuwa Rais wa pili wa TFF. Hii ni baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu wa TFF uliofanyika leo hii. Amemshinda Nyamlani.
Habari zaidi kufuata punde...
Katika uchaguzi huo uliokuwa na upinzani mkali,Malinzi ameibuka kidedea na sasa anatarajiwa kumrithi Leodgar Chilla Tenga kama Rais wa TFF. Hili ni pigo la wazi kwa CCM tuliokuwa tukimuunga mkono Mheshimiwa Hakimu Nyamlani
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Kwishney Jamal Malinzi kura 73,Nyamlani 53.kwisha habari yake huyu hakimu mla rushwa.