Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
mkuu; badala ya kutusaidia, umeongeza utata. Hebu tupatie ukweli kwa vielelezo kama picha n.k. Vielelezo vina nguvu na hukanusha louder than maneno matupu mkuu.
hiyo hapo mkuu
 

Attachments

  • BYE.jpg
    BYE.jpg
    70.3 KB · Views: 127
GOD bless CHADEMA, naamini wanaIgunga ni waelewa hivyo lazima kitaeleweka tu. Wadau mliotuahidi mtautumia muda wenu vizuri kindi hiki cha field toka vyuo mbalimbali msituangushe. Yale mambo yakuwatishia wazee wetu kuwa bila CCM kutakuwa na vita, muwaelimishe hao wazee kwani ndo njia mojawapo ya kurudisha fadhira zenu kwa jamii iliyowasomesha.
 
Na haya yote ni matunda ya CCM
<br />
<br />
Sidhan kama uliaga MILEMBE!!!!
Mi mwenyewe nimetembea kwenye hiyo lami ambayo ni matokeo ya pesa zetu watanzania, hivyo kwa kuwa Mkapa kaja kwetu atatuambia kama hiyo lami wamiliki halali ni WATANZANIA au MAGAMBA.
 
Chama cha demokrasia ya maandamano mbona mnapepeta mdomo sana kama mabinti wa saloon! Mda wa kazi huu sio maneno tena,kutabiri mambo kwa kutumia makalio ni ujinga!
 
Chama cha demokrasia ya maandamano mbona mnapepeta mdomo sana kama mabinti wa saloon! Mda wa kazi huu sio maneno tena,kutabiri mambo kwa kutumia makalio ni ujinga!

We jamaa,umekosa maneno ya kutumia kama mtu ambae yuko fit mentally.Hivi tukisema wewe unatumia masaburi kufikiri,tunakosea? Ustaarabu kitu muhimu.Afu nyie watu mnaotetea magamba humu JF Mna maslahi fulani huko kwa sababu katika hali ya kawaida haiwezekani ukawa mshabiki wa "the Cursed CCM"
 
We jamaa,umekosa maneno ya kutumia kama mtu ambae yuko fit mentally.Hivi tukisema wewe unatumia masaburi kufikiri,tunakosea? Ustaarabu kitu muhimu.Afu nyie watu mnaotetea magamba humu JF Mna maslahi fulani huko kwa sababu katika hali ya kawaida haiwezekani ukawa mshabiki wa &quot;the Cursed CCM&quot;
<br />
<br />
wewe kichwa box
 
The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.

Miaka yote niliyokaa hapa UK sijamsikia Mwingereza akijihangaisha kupasua mbavu baadhi ya maneno uliyotumia.Anyway,huna tofauti na mafisadi wengine wa CCM wanaoendelea kuudanganya umma kuwa kila kitu kipo shwari
 
Threads zenu ni za Muhimu kwa wana Jf na watanzania pande zote za dunia. Kuna maelfu ya watu tunazipitia na kuzisoma kwa umakini tukitafuta hoja kamili kwa kila neno, manake watu husema lisemwalo lipo.. hivyo basi, ni vema kujenga majibu yenye hoja, hata mtu akisoma anatambua kwamba KICHWANI kwa mtoahoja au mjibuhoja kuna hazina ya fikra... napita tu!!
 
Taso,

Kuna vitu ukishakuwa kiongozi unapaswa kuvifanya wewe kama wewe na huitaji kupewa msaada na mtu mwingine. Kuna vitu ni aibu sana kupewa msaada kama nchi na kama kiongozi wa nchi, Vinakudhalilisha. Kwa mtazamo wako, ikitokea Mwanamume ana mnunulia CHUPI mkeo utafurahi kwasababu ujatumia pesa yako? What a shame?
MkuuMtarajiwa,

Maeneo ninayoishi mimi mbu wanaanza kazi saa kumi mbili jioni. Mara nyingi nakuwa kwenye shughuli zangu mida hiyo, unataka nibebe chandarua kwenda nacho kazini? Mimi silali saa kumi na mbili jioni, chandarua sio suluhisho la Malaria kwangu.

Nilitegemea mwenyekiti atasema CHADEMA wana wazo jipya kutokomeza malaria, lakini na wao wanasema watatugawia vyandarua? Msalie mtume!

Hayo ya mtu kumnunulia mke wangu chupi nimeyapita, nimeona mada yetu haihusiani sana na mipasho pashkuna.
 
The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.

Jamani kwani kumwita mtu mwendawazimu ni mbaya, please hii Lugha nani anaweza kubahatika kuijua, misamiati ya kijinga isiyo na kichwa wala miguu.. i will let you know..
1. An apocryphal.. is a story which is probably not true or did not happen, but which may give a true picture of someone or something.
2. booboisie..????????!!!! (Somea wapi wewe) Veracious...???!!!!ninnyhammers...!!!????? (Shuleni ulikuwa wa ngapi.. tia aibu veve)...astonishing and jubilant populace !!!????.... (maaalim yako ya English ilikuwa nani?.. Mods nangojea nini ondoeni hawa watu jamani, wanaharibu JF..
 
mmmachinga bana mpe hela yoyote mtafanya biashara.

sasa huyu nkapa kweli huko igunga atapiga kampeni gani na uzee wote huo?

au ndo ameanza kuutafuta umaarufu ili agombee urais tena?

ya kale hayo bwana nkapa.

the next president is me
 
Kwa hisani ya MZITO KABWELA
attachment.php
duu, kijukwaa utadhani ki barn cha kukamulia ng'ombe kilivyoungwa ungwa na waya na vijiti! CHADEMA wakichua nchi hawa kweli wataboresha hii nchi au yatakuwa yale yale? Nawafagilia kwa kwenda mbele lakini sometimes mmmh... reality check hits you hard.
 
The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.

CDM noma mpaka unabadilisha avatar ili kukimbia aibu ya kutetea CCM.
Utajuta kuwa mwana magamba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom