bakebaga mussa
Member
- Apr 16, 2011
- 32
- 4
Mwita ni wa kumuonea huruma
<br />Ningekuwa sina akili ningepata GPA ya 4.0?
Jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo sio kurupuka tu kupost utadhani umetoka kwenye Mbegepolisi wanafungua jalada la malalamiko (RB) katika kituo chao wenyewe cha polisi .. duh hii kali
Siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) tayari wamekorofisha kwa kutuhumiana.
Habari za uhakika zilizopatikana kutoka katika chama hicho na kuthibitishwa na baadhi ya viongozi na maafisa wa ngazi ya juu kutoka Makao Makuu jijini Dar es Salaam na Igunga, zinasema ugomvi huo umekuwa ukifukuta polepole na huenda ukalipuka zaidi hapo baadae huku viongozi wa kitaifa wakidaiwa wanafanya mchezo wa "kufunika kombe mwanaharamu apite"
Kukorofishana kwa viongozi wake wa wilaya ya Igunga, na Makao Makuu, kunatokana na kukataliwa kwa sehemu kubwa ya mapendekezo yaliyotolewa na wenyeji huku wageni wakijitawalia mamlaka makubwa ya kuongoza shughuli nzima.
Ugomvi umefika mbali zaidi baada ya CDM Makao Makuu kuendelea kutomuunga mkono mgombea ubunge wa CDM Joseph Kashindye, kwa vile wao walikuwa wakimtaka Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Taifa, Erasto Tumbo, dakika za mwisho alilazimika kuliondoa jina lake.

Jitahidi ritz, umebakiza post chache sana kufikisha posts 2000Siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) tayari wamekorofisha kwa kutuhumiana.
Habari za uhakika zilizopatikana kutoka katika chama hicho na kuthibitishwa na baadhi ya viongozi na maafisa wa ngazi ya juu kutoka Makao Makuu jijini Dar es Salaam na Igunga, zinasema ugomvi huo umekuwa ukifukuta polepole na huenda ukalipuka zaidi hapo baadae huku viongozi wa kitaifa wakidaiwa wanafanya mchezo wa "kufunika kombe mwanaharamu apite"
Kukorofishana kwa viongozi wake wa wilaya ya Igunga, na Makao Makuu, kunatokana na kukataliwa kwa sehemu kubwa ya mapendekezo yaliyotolewa na wenyeji huku wageni wakijitawalia mamlaka makubwa ya kuongoza shughuli nzima.
Ugomvi umefika mbali zaidi baada ya CDM Makao Makuu kuendelea kutomuunga mkono mgombea ubunge wa CDM Joseph Kashindye, kwa vile wao walikuwa wakimtaka Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Taifa, Erasto Tumbo, dakika za mwisho alilazimika kuliondoa jina lake.
Jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo sio kurupuka tu kupost utadhani umetoka kwenye Mbege
Mkapa huwa anatumia neno moja tu linalowakilisha wapinzani, KOKOTO. Huyu mzee namkubali sana.
Kwangu posts sio issue, angalia nimejiunga JF, lini na wastani wa posts zangu.Jitahidi ritz, umebakiza post chache sana kufikisha posts 2000