Uchafu ni kipaji pia!

Kwani wale wa mazingira hawawezi deal na hawa watu mkuu
Sidhani,ni maisha aliyo ya chagua awezi kuingiliwa,labda kipindi cha makonda ange kuwa Dar inge bidi aoge ili afike posta 🀣🀣
 
Sidhani,ni maisha aliyo ya chagua awezi kuingilia,labda kipindi cha makonda ange kuwa Dar inge bidi aoge ili afike posta 🀣🀣
Na ni hapa hapa dar...
Kuna wadada ni wachafu aiseee yaani sijui majamaa wanao *** that person wanashindwa kumchana
 
Ooh karibu sana Dogo.
Ole wako sasa yatokee kama yule jamaa...
Et mnakubaliana inafika mda anasema mara yupo kimara.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Watu wanaogopa watu sijui daaha
 
Mara nyingi mtu mchafu hapendi kukosolewa na kuambiwa ukweli
Ila kuna kanjia ka unafiki unaweza mfikishia hata kwa utani sema huyu ni mtata an ukianzisha ligi wewe wewe mbona utakoma
 
Ole wako sasa yatokee kama yule jamaa...
Et mnakubaliana inafika mda anasema mara yupo kimara.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Watu wanaogopa watu sijui daaha
Nimecheka hatarii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimecheka hatarii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yupo humu...
Comment zake unasema mtu wa maana ila kumbe mimavi tu ...

Watu wanajiogopa sana sijui majambazi kuku hawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Yupo humu...
Comment zake unasema mtu wa maana ila kumbe mimavi tu ...

Watu wanajiogopa sana sijui majambazi kuku hawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kumbe ulipigwa na kitu kizito? Poleeee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe ulipigwa na kitu kizito? Poleeee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ushamba tuu na kutojiamini..
NDo mana nasema humu wengi ni keyboard warrior na bado matapeli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ushamba tuu na kutojiamini..
NDo mana nasema humu wengi ni keyboard warrior na bado matapeli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii ni JF, sio FB, insta, au Tsup.
Ko kumbe huwa huelewii tyuuh? Poleeer
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ni JF, sio FB, insta, au Tsup.
Ko kumbe huwa huelewii tyuuh? Poleeer
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daaah acha tu sasa kwanini watu wanakua hv na kila siku haya mambo tunayakemea humu ndani
 
secretarybird umesikia mpaka uchafu ni kipaji!
πŸ˜€
Hahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£.

Nimecheka na kufurahi. Nyerere miaka ya nyuma aliwahi kusema "uwongo ni kipaji kama ilivyo Urefu au ufupi". Basi watanzania wakaamini kuwa kweli Urefu na ufupi ni kipaji kisa kasema Nyerere πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜….

#hakuna kipaji hapa duniani.

Cc implicit memory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…