Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,133
- Thread starter
- #61
Ahahaha huyu namkimbiajr na ni jirani tuu ila anakera sasaKimbia hilo jitu.
Otherwise litakudilute kwenye hali yake ya uchafu
Ahahaha huyu namkimbiajr na ni jirani tuu ila anakera sasaKimbia hilo jitu.
Otherwise litakudilute kwenye hali yake ya uchafu
Kwani wale wa mazingira hawawezi deal na hawa watu mkuuHabari ndio hiyo
Sidhani,ni maisha aliyo ya chagua awezi kuingiliwa,labda kipindi cha makonda ange kuwa Dar inge bidi aoge ili afike posta 🤣🤣Kwani wale wa mazingira hawawezi deal na hawa watu mkuu
Na ni hapa hapa dar...Sidhani,ni maisha aliyo ya chagua awezi kuingilia,labda kipindi cha makonda ange kuwa Dar inge bidi aoge ili afike posta 🤣🤣
Uchafu ni kipaji kiongoziNa ni hapa hapa dar...
Kuna wadada ni wachafu aiseee yaani sijui majamaa wanao JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala that person wanashindwa kumchana
Huyu mtu assume akawa mama wa familiaUchafu ni kipaji kiongozi
Ni majanga mwanzo mwishoHuyu mtu assume akawa mama wa familia
Ngoja nisiongee sana ila naomba Mungu huyo wangu asiwe hivo tuuNi majanga mwanzo mwisho
Ooh karibu sana Dogo.Hapana kwa mwanamke inatishia amani mama yeye ndo anatangeneza jamii kwa ujumla..
Nimekumiss sana sis weekend hii nakuja
Ole wako sasa yatokee kama yule jamaa...Ooh karibu sana Dogo.
Ila kuna kanjia ka unafiki unaweza mfikishia hata kwa utani sema huyu ni mtata an ukianzisha ligi wewe wewe mbona utakomaMara nyingi mtu mchafu hapendi kukosolewa na kuambiwa ukweli
Nimecheka hatarii, 😂😂😂😂Ole wako sasa yatokee kama yule jamaa...
Et mnakubaliana inafika mda anasema mara yupo kimara.😂😂😂😂😂
Watu wanaogopa watu sijui daaha
Yupo humu...Nimecheka hatarii, 😂😂😂😂
Kumbe ulipigwa na kitu kizito? PoleeeeYupo humu...
Comment zake unasema mtu wa maana ila kumbe mimavi tu ...
Watu wanajiogopa sana sijui majambazi kuku hawa 😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂Ushamba tuu na kutojiamini..Kumbe ulipigwa na kitu kizito? Poleeee
😂😂😂😂😂
Hii ni JF, sio FB, insta, au Tsup.😂😂😂😂Ushamba tuu na kutojiamini..
NDo mana nasema humu wengi ni keyboard warrior na bado matapeli 😂😂😂😂
Daaah acha tu sasa kwanini watu wanakua hv na kila siku haya mambo tunayakemea humu ndaniHii ni JF, sio FB, insta, au Tsup.
Ko kumbe huwa huelewii tyuuh? Poleeer
😂😂😂😂
Hahaha 😂😂😂🤣😂🤣.