Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 7,944
- 20,980
Haha 😀Hahaha
Nimecheka na kufurahi. Nyere miaka ya nyuma aliwahi kusema "uwongo ni kipa kama ilivyo Urefu au ufupi". Basi watanzania wakaamini kuwa kweli Urefu na ufupi ni kipaji kisa kasema Nyerere.
#hakuna kipaji hapa duniani.
Cc implicit memory
ubishi nao ni kipaji, mkuu we una kipaji cha ubishi!