Uchafu ni kipaji pia!

Uchafu ni kipaji pia!

Wala sina hadufu mbaya hata yeye hana sema kuna kitu alikuwa sikumbuki ni nn ila kilinikera huwa unajisikiaje mtu anapokula mayai ya kumchemsha mfano
Kwangu mayai ya kuchemsha akila mwenzangu nayaona yana harufu mbaya sana sometimes najihis kutapika kabisa ila nikila mm aah naona kawaida tu 😀
Ila kumwambia mtu anaunuka mdomo ni kazi ngumu tena isiyo na mshahara😀.
 
Ila kumwambia mtu anaunuka mdomo ni kazi ngumu tena isiyo na mshahara😀.
Nikijutia mm hata nikisengenya na rafikzangu 😃😃huwa nawaza mwemyew akisikia atajisikaje hat km timeongea ukweli lkin naona ni vibaya nlijisikia vibaya sio siri 😀
 
Nikijutia mm hata nikisengenya na rafikzangu 😃😃huwa nawaza mwemyew akisikia atajisikaje hat km timeongea ukweli lkin naona ni vibaya nlijisikia vibaya sio siri 😀
Unaweza ukajisikia vibaya kama mtu aliyefanya dhambi ya kuua.
 
Back
Top Bottom