Kama haogi vyema, vipi kule kwa kipochi manyoya kutakuwaje?, harafu ndiyo anakuomba umulambe pussi lake sasa.Wasalam wakuu..
Katika kipindi hiki cha mvua hapa dasalam na hata mikoa mingine tujitahidi kuwa wasafi.
Magonjwa ya milipuko kama kipindu pindu ndio yanaanziaga hapa.
Kwa wale wenzangu wa nyumba za kupanga uswazi na zenye mchanganyiko wa wa watumbali mbali tujitahidi kuhimizana kuhusu usafi.
Japo usafi na uchafu wa mtu ni kipaji ila tusichoke kukumbushana.
Kwa mwanaume uchafu is not big deal ila kwa mwanamke is too dangerous.
Niende direct sasa. Wakuu hivi unawezaje kumwambia mtu kuwa ni mchafu an unaanzaje. Unakuta ni mdada ila hana ile inaitwa personal hygiene kuanzia mazingira yake anayolala na yanayomzunguka..
Unawezaje kumwelekeza mdada kama huyu ambaye anategemea kuitwa mama watoto mda flani kuwa uchafu wako choma moto sio kuuweka unazagaa zagaa hovyo..
Wakuu unawezaje kumrekebisha mtu kama huyu ambaye kwake kuoga ni kipengele, ni wa kike ujue.
Mtu kama unamshauri vipi na unajua uki mface ni mziki mwingine. Sijaingilia life la mtu ila kuna kitu kinaitwa kero.
Kero kwa majirani na jamii inayomzunguka.....
Wazazi na walezi tujitahidi kuwalewa watoto wetu hasa wa kike katika mazingira ya kujitegemea hii ipo sana au baadhi kwa hawa wenzetu wenye uwezo. Unakuta mtoto anafikia teenage lakini mambo muhimu kuhusu personal hygiene hayajui... (Sijui shuleni wanalambaga kamasi mda wenzao wanasoma biology).
Just imagine mdada tena wa chuo degree tajer kabisa anatoka nje anaitwa pisi kali ila kwenye usafi ni shameless... Hii imekaaje mtu kama huyu una mshauri vipi wakuu....???
Sio wote, huku kwetu Chanika kwa Ngwale hakuna Apartment.Unaharibu mkuu, humu wote tunakaa kwenye ma apartment kwanzia laki 6 kwenda juu alaa mambo ya uswazi tena 🤪
Wewe na Poor Brain mnaharibu aisee, si wote tuna ma Alphard humu na ma Benz?Sio wote, huku kwetu Chanika kwa Ngwale hakuna Apartment.
Wapo sikatai na nishakutana baadhi ila wanaume wanaotumia IDs na avatar za kike ni wengiWapo kibao tuuu...
Wapo wengi mno huwenda tupo nao nut kwa nusu
Hili litakuwa janga kwa taifa!!👿Kama haogi vyema, vipi kule kwa kipochi manyoya kutakuwaje?, harafu ndiyo anakuomba umulambe pussi lake sasa.
Yaaani ni matured kabisa ila sasa ule uchafu too machooHuyo akiwa na mtoto mumewe atahama nyumba kwa muda.
Kuna jamaa alikua anakutafuta kule jukwaa la dini mkuuUnaharibu mkuu, humu wote tunakaa kwenye ma apartment kwanzia laki 6 kwenda juu alaa mambo ya uswazi tena 🤪
🤣 Alikua anasemaje atheist huyo? Dah ndo umeniona mfia dini kiasi hiko mzee?Kuna jamaa alikua anakutafuta kule jukwaa la dini mkuu
Huyo akizaa ukifika tu mlangoni unajulishwa na harufu ya mikojo kuwa kuna mtoto mdogo.Yaaani ni matured kabisa ila sasa ule uchafu too machoo
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌Sema watu wenye mawazo ya ngono utawajua tuuKama haogi vyema, vipi kule kwa kipochi manyoya kutakuwaje?, harafu ndiyo anakuomba umulambe pussi lake sasa.
Mi bado sijakutana nao wengi ..Wapo sikatai na nishakutana baadhi ila wanaume wanaotumia IDs na avatar za kike ni wengi
Ndio kaka kuna mada niliona na weww upo ile inasema sijui vitabu vya dini vina makosa nikaona unachambua kabisa na ulikua unachuana na infroprenuer🤣 Alikua anasemaje atheist huyo? Dah ndo umeniona mfia dini kiasi hiko mzee?
Si kweli. Kama ni kipaji nenda kakiendeleze. Sijui ni chuo gani kinakuza kipaji hiki. Kawaulize nguruwe, chawa, na nune kama uchafu ni kipaji na si tabia na ujuhaa.Wasalam wakuu..
Katika kipindi hiki cha mvua hapa dasalam na hata mikoa mingine tujitahidi kuwa wasafi.
Magonjwa ya milipuko kama kipindu pindu ndio yanaanziaga hapa.
Kwa wale wenzangu wa nyumba za kupanga uswazi na zenye mchanganyiko wa wa watumbali mbali tujitahidi kuhimizana kuhusu usafi.
Japo usafi na uchafu wa mtu ni kipaji ila tusichoke kukumbushana.
Kwa mwanaume uchafu is not big deal ila kwa mwanamke is too dangerous.
Niende direct sasa. Wakuu hivi unawezaje kumwambia mtu kuwa ni mchafu an unaanzaje. Unakuta ni mdada ila hana ile inaitwa personal hygiene kuanzia mazingira yake anayolala na yanayomzunguka..
Unawezaje kumwelekeza mdada kama huyu ambaye anategemea kuitwa mama watoto mda flani kuwa uchafu wako choma moto sio kuuweka unazagaa zagaa hovyo..
Wakuu unawezaje kumrekebisha mtu kama huyu ambaye kwake kuoga ni kipengele, ni wa kike ujue.
Mtu kama unamshauri vipi na unajua uki mface ni mziki mwingine. Sijaingilia life la mtu ila kuna kitu kinaitwa kero.
Kero kwa majirani na jamii inayomzunguka.....
Wazazi na walezi tujitahidi kuwalewa watoto wetu hasa wa kike katika mazingira ya kujitegemea hii ipo sana au baadhi kwa hawa wenzetu wenye uwezo. Unakuta mtoto anafikia teenage lakini mambo muhimu kuhusu personal hygiene hayajui... (Sijui shuleni wanalambaga kamasi mda wenzao wanasoma biology).
Just imagine mdada tena wa chuo degree tajer kabisa anatoka nje anaitwa pisi kali ila kwenye usafi ni shameless... Hii imekaaje mtu kama huyu una mshauri vipi wakuu....???
Mi nashangaa aisee ..Huyo akizaa ukifika tu mlangoni unajulishwa na harufu ya mikojo kuwa kuna mtoto mdogo.
Mkuu tabia mbona inabadilika baada ya kuona external factors..Si kweli. Kama ni kipaji nenda kakiendeleze. Sijui ni chuo gani kinakuza kipaji hiki. Kawaulize nguruwe, chawa, na nune kama uchafu ni kipaji na si tabia na ujuhaa.
😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 Weww sasa unachotafutai sipoWaha na waangaza hiki kipaji wanacho wapewe tuzo yao haraka sana.
Mkuu 'title' yoyote mbaya anayoifanya mtu na kustahili kuitwa nayo, mfano: mchafu, mwizi, malaya, muongo mchawi nk huwa hawapendi kuitwa hivyo ama kuelezwa kwa ushauri wa kujirekebisha ili kuziacha tabia hizo.Wasalam wakuu..