Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,561
- 7,219
Nguo nzuri tu zinawasitiri
Nuclear hii Kamanda.😂Kuna mikoa, uchafu ni naturally born
Mara na Kigoma sijawai kutana na mwanamke yyt anayejipenda juu Hadi chini akitokea mikoa hiyo.
Wengi wapo wapo TU ili mradi siku niende
Ushakutana na wale WAmama wa kikurya kule kitunda ukaona Hali zao?Nuclear hii Kamanda.😂
Aaaah 😂.Ushakutana na wale WAmama wa kikurya kule kitunda ukaona Hali zao?
Mda wote wananuka kiharufu Cha jogoo
Mi mdada kama huyo naweza kumpiga fimbo kabisa mkuuKuna wanaotupa pedi zilizotumika chini ya kitanda, like daaah!! Mdada mrembo kabisa anasokomeza pedi chini ya kitanda? Inasikitisha sana.
Nipo chanika kwa mbikiSio wote, huku kwetu Chanika kwa Ngwale hakuna Apartment.
Nipo hapa kwa mbiki... Ghorofa la tatuSio wote, huku kwetu Chanika kwa Ngwale hakuna Apartment.
😂😂😂😂 Weww sasaWewe na Poor Brain mnaharibu aisee, si wote tuna ma Alphard humu na ma Benz?
Duuuh mkuu hapo kwenye kutengeneza uongozi daaah...Mkuu 'title' yoyote mbaya anayoifanya mtu na kustahili kuitwa nayo, mfano: mchafu, mwizi, malaya, muongo mchawi nk huwa hawapendi kuitwa hivyo ama kuelezwa kwa ushauri wa kujirekebisha ili kuziacha tabia hizo.
Cha msingi kama ni pangoni na mpo wapangaji wengi basi pigania kutengeneza uongozi wa aina mbili hapo magettoni, Patron na matron ili kero yoyote ipitishwe kwa viongozi hao kuliko kukabiliana na mchafu kavukavu ili kupunguza mizozo isiyokuwa na ulazima.
Mkuu jaribu kua na lugha za tafsida usilete lugha chochezi jukwaani..Acha kutembea na mahousega
Sasa unamchana au unafanyaje kukabiliana na hiyo kero?😂😂😂😂 Weww sasa
Duuuh mkuu hapo kwenye kutengeneza uongozi daaah...
Assume huyu mtu ndo tumemkuta hapa an maana wapangaji wengi tuliowakuta washaham kabaki yeye na akili yake mbovu mbovu mda wote snap tuu kuoga aaaah
Kuna barua naandika alafu namtupia ndani kwakeSasa unamchana au unafanyaje kukabiliana na hiyo kero?
Kwanini wadada pekee na sio wakaka pia? Hivi uchafu ni kwa jinsia 1 pekee au zote?
Hapana kwa mwanamke inatishia amani mama yeye ndo anatangeneza jamii kwa ujumla..Kwanini wadada pekee na sio wakaka pia? Hivi uchafu ni kwa jinsia 1 pekee au zote?
Hakuna Uhalali wa uchafu kwa mwanaume, acha kujilisha upepo, muhimu ni kuwa watu wote wanatakiwa kuwa wasafi na watanashati.
Hujambo lakini? 😂😂😂😂
Ukorofi huu sasa mkuu 😂😂😂😂
Habari ndio hiyoUkorofi huu sasa mkuu 😂😂😂😂