Uchafu ni kipaji pia!

Kuna mikoa, uchafu ni naturally born

Mara na Kigoma sijawai kutana na mwanamke yyt anayejipenda juu Hadi chini akitokea mikoa hiyo.

Wengi wapo wapo TU ili mradi siku niende
 
Kuna wanaotupa pedi zilizotumika chini ya kitanda, like daaah!! Mdada mrembo kabisa anasokomeza pedi chini ya kitanda? Inasikitisha sana.
Mi mdada kama huyo naweza kumpiga fimbo kabisa mkuu
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Wewe na Poor Brain mnaharibu aisee, si wote tuna ma Alphard humu na ma Benz?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Weww sasa
Duuuh mkuu hapo kwenye kutengeneza uongozi daaah...

Assume huyu mtu ndo tumemkuta hapa an maana wapangaji wengi tuliowakuta washaham kabaki yeye na akili yake mbovu mbovu mda wote snap tuu kuoga aaaah
 
Sasa unamchana au unafanyaje kukabiliana na hiyo kero?
 
Hapana kwa mwanamke inatishia amani mama yeye ndo anatangeneza jamii kwa ujumla..

Nimekumiss sana sis weekend hii nakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…