Kama huu wako unafaa sana.Hospitali ndio solution. Sasa hapa utachukua ushauri wa doctor yupi uache yupi?
Zamaulid you made my day very early!!!!you can also 'sit' to be corrected
Nini inasababisha kuwe na Imbalance kati ya Hao Bacteria na Fungi?Ni Fungal Infection hiyo.. Hutokea Kama Imbalance itatokea kati ya Bacteria Lactobacillus na Fungi aina ya Candida wanapozidi........ Tatizo hili Huwa Linatokea Na Kupotea Baadae.... Kwahiyo Huo weupe Ni Fungusi
Acha ushamba wewe,huyo inaonesha ni mwaminifu sana,na wewe inaonesha ni mvivu sio mchimbuaji sana,hua unagusa juujuuMke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
Hiyo dawa ya yeastrol inapatikana wp mkuuu na inatibu nini na nini????? Maana Maelezo yako hayajajitoshelezaKuna dawa inaitwa yeastrol , kwa treatment, lazima atakuwa na maumivu, pengine huyu mtu anajua ni raha
Google utapata maelezoHiyo dawa ya yeastrol inapatikana wp mkuuu na inatibu nini na nini????? Maana Maelezo yako hayajajitosheleza
I sleep to be correctedyou can also 'sit' to be corrected
Sio kila uchafu unaotoka huko mwanamke yupo horny, kuna muda ni ugonjwa tatizo mtoa mada hajasema kama huo ute mwingi una harufu yoyote kasema tuu mweupe hata wa fungus uanza na weupe ikiwa sugu huwa brown na pia mkewe ana maumivu yoyote akiwa anafanya nae tendo hilo au ? humpendi kwasababu hii tuu au unasababu zako nyingine ndugu ?Sio ugonjwa mkuu...yuko horny sana....ni kawaida sana kwa mwanamke na inaonesha ameridhika emotional....I stand to be corrected
Kama ni mjamzito is another caseNi ugonjwa jombaa, aende hosp haikuhitaji wew kwenda, wangu pia tulivyoanza alikua hivyo nkampeka hosp akapewa dawa ikaisha vizur na akawa poa, na akaniacha mana alijiona amekua beyonce
Same questionMke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
Hauna halufu wala maumivu hasikiiSio kila uchafu unaotoka huko mwanamke yupo horny, kuna muda ni ugonjwa tatizo mtoa mada hajasema kama huo ute mwingi una harufu yoyote kasema tuu mweupe hata wa fungus uanza na weupe ikiwa sugu huwa brown na pia mkewe ana maumivu yoyote akiwa anafanya nae tendo hilo au ? humpendi kwasababu hii tuu au unasababu zako nyingine ndugu ?
Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani,
Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi.
Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua.Hivi huu niugonjwa au
Acha ushamba !hiyo nidalili ya kufikia kilele!shit ulitaka uone asali? Unadhan unapiss ww Tu?ndio raha take ya ndoa! Kukosa jando huku ni balaaa!;Hauna halufu wala maumivu hasikii