Ubunifu usio na kifani, Bajaji double decker inauzwa

Ubunifu usio na kifani, Bajaji double decker inauzwa

Nimependa tu hizo rangi!! Kidumu chama cha mapinduzi!!!
 
jf kiboko namna hii mi hata bure siitaki ya aina hii mabomu ya polisi yanalipua ,risasi zinaua na hata bajaji tena mnafanya makusudi napita tu lakini
 
Ungeongeza na matairi ya pembeni ili isitapishe abiria kwenye kona
 
hii bajaj si salama ikipta sehemu ikalalia upande am sure inapinduka na abiria wana rest in peace
 
Nimependa tu hizo rangi!! Kidumu chama cha mapinduzi!!!

vipi usalama wa chombo na abiria...hii ni sawa kabisa na sera za umbijani, muonekano wa nje ni muhimu kuliko usalama wa abiria wake
 
Baada ya kufanya utafiti wa muda mrefu tunapenda kuwaletea kitu kipwa wateja wetu
Bei ni Milioni sita
Kwa maelezo zaidi ni PM

303102_258202877634740_1978907544_n.jpg

Hiyo rangi imeharibu kila kitu.
 
Hatari sana, hasa kwenye barabara zetu hizi
 
Back
Top Bottom