Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Ubunge wa Tundu Lissu usitishwe

Mbunge Lisu baada ya kupona majeruhi yake ametangaza kwa mbwembwe kuanza ziara ya kuichafua nchi yake Tanzania huko barani Ulaya na USA.

Lisu ametangaza wazi lengo la ziara yake ni kwenda kushawishi nchi wahisani ziinyime misaada Tanzania!
Lisu anasahau kuwa Tanzania ikinyimwa misaada hata wananchi wake waliompigia kura kule Singida nao watakufa njaa vibaya sana.
Lisu amepigwa risasi na kikundi kidogo cha watu lakini anahukumu taifa zima wakiwemo wapiga kura wake wa Singida nao waisome namba eti kisa tu yeye alishambuliwa kwa risasi!! Hivi Tanzania aliyepigwa risasi ni Lisu tu??

Hata hivyo pamoja na nia ovu ya Lisu bado Mungu yupo pamoja na watanzania baada ya ziara ya Lisu kupuuzwa na vyombo vya habari vya kimataifa vikiwemo vya hao wazungu aliokimbilia kwenda kujipendekeza kwao.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. MSALITI TUNDU LISSU ALIANZA KUTUSALITI DHIDI YA MAKINIKIA NA DHAHABU ZETU KWA KUWATETEA WAZUNGU WALIOKUWA WANATUIBIA. AKAJA KUTUSALITI TENA DHIDI YA NDEGE ZETU KWA KUFANYA FITINA HUKO CANADA ILI NDEGE ZISIWEZE KUNUNULIWA. SASA HIVI ANAZUNGUKA HUKO ULAYA NA MAREKANI AKIJARIBU KUICHAFUA SERIKALI YETU NA NCHI YETU KWA UJUMLA. YAANI BADO ANAENDELEA KUTUSALITI TU.
HUYU TUNDU LISSU NI MSALITI NAMBA MOJA WA TAIFA LETU. SASA ANAFANYA ZIARA HUKO ULAYA AKIJARIBU KUICHAFUA SERIKALI YETU. YAFAAA ALAANIWE!!

KWA HAYA ANAYOFANYA KUICHAFUA SERIKALI YETU, TUNDU LISSU ANAZIDI KUJIHARIBIA TU KWANI HAKUNA KITU CHA MAANA ATAKACHOPATA KWA HAO WAZUNGU, ZAIDI YA KUZUNGUKA NA KUSHANGAA MAGHOROFA YA ULAYA 😀😀😀. AMINI NAKWAMBIA, ATASHINDWA TU. ATAISHIA KULIA NA KUSAGA MENO!!
WATANZANIA WA KWELI TUMESIMAMA PAMOJA NA SERIKALI YETU CHINI YA MHE. DR. JOHN POMBE MAGUFULI, JEMEDARI IMARA, ASIYEYUMBISHWA WALA KUOGOPA KITU CHOCHOTE. SIKU ZOTE WATANZANIA WAZALENDO WA KWELI TUTAZIDI KUIUNGA MKONO SERIKALI YETU NA RAIS WETU MPENDWA, DR. JOHN POMBE MAGUFULI, ALIYEJITOLEA KWA DHATI KUIJENGA NCHI NA KUIFANYA IWE NA UCHUMI WA KATI. KWA NYAKATI HIZI, DR. JOHN POMBE MAGUFULI NI RAIS BORA KABISA,,,WATANZANIA WOTE TUNAJUA, AFRIKA YOTE INAJUA NA DUNIA PIA INAJUA!!!

Kichaa sio lazima uokote makopo!

Huu ukichaa 100%....

Tulieni dawa iingie!
 
Mwandiko tu waonesha ulivyo na uchache wa taarifa juu ya nchi yako.

kama uzalendo ni kuwa kipaza sauti cha serikali hta ikikosea bs wewe ni mzalendo
 
Hebu fatilia sakata la wale wachimbaji waliyofukiwa mgodini hko Kanda ya ziwa!
Alafu urudi tena
Alafu usipende kupost mambo huku umetumia ugoro

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona mnaleta reference za mwaka 47?Kila mtu akiulizwa uzalendo wa lisu anakuja na story za mwaka 98.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Ubunge ukome kwa sheria ipi?
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Wewe ndiyo ulienda Dodoma kumpiga Risasi ili upate kuchukua jimbo lake, acha ungese wewe vigezo vyako ni vya kishamba sana unakaa na kuvuta Bangi ikikolea unakuja jukwaani na ujinga wako, tambua kuwa watanzania wa sasa wameamka wanajua Sinema zenu zote
 
Mkuu mbona mnaleta reference za mwaka 47?Kila mtu akiulizwa uzalendo wa lisu anakuja na story za mwaka 98.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu

Na wewe mwaka 98 ulikua matakoni mwako mwenyewe!

Yeye kafanya kitu kusaidia wanadamu wenzake walao,wewe sasa?Bure kabisa!

Yeye alikua field anasaidia binadamu where were you?

You were nowhere to be seen!

Fvck CCM!
 
Haya ndio matatizo ya kutumia kichwa kufugia nywele, ona sasa unaandika shithole

Tatizo CCM wamewapa tenda ya kuwatetea mitandaoni akina Le mutuz na Cyprian musiba wamelipwa pesa nyingi lakini wakazitafuna kwenye michepuko zilipokwisha wakaamua kuwaajiri vijana mbumbumbu vilaza kuwatetea CCM na hao ndiyo wanekuwa kero kubwa kwa kuja na mada za kijinga jinga.
 
Na wewe mwaka 98 ulikua matakoni mwako mwenyewe!

Yeye kafanya kitu kusaidia wanadamu wenzake walao,wewe sasa?Bure kabisa!

Yeye alikua field anasaidia binadamu where were you?

You were nowhere to be seen!

Fvck CCM!

Uzalendo kwa CCM ni kula 10% ununuzi wa ndege na sasa wanapiga bilion 13 kizalendo kwa kisingizio cha kupelekwa ndege Canada kwenye kumwaga Oil tu.
 
Kwa maoni yangu Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge wa Bunge letu la JMTZ hivyo ingekuwa jambo la busara kama Ubunge wake ungekoma mara moja, watu wa Singida wanastahili mtu mwema na siyo Msaliti.
Amepoteza sifa vipi? Msaliti ni yupi? wewe ulichokiandika uliandika ukiwa chini na le mutuz yupo juu yako? Maana ujinga huu umekariri toka kwao na wanajulikana kwa kuandaa mada za kijuha na kipumbavu sana.
 
Back
Top Bottom