KERO Ubovu wa barabara na kukosa daraja Mto Mpiji kati ya Kibamba kibwegere na Lumumba kwa mazengo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Baflo

Member
Joined
Feb 22, 2023
Posts
9
Reaction score
5
Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti.
Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua ikinyesha hata dakika 5 tu basi barabara hii haipitiki..Kumekua na ahadi zisizokuwa za kweli kutoka kwa Manispaa ya kibaha kuhusu angalau kuweka kokoto barabara hii bila mafanikio yoyote.
Mvua zikinyesha hakuna shughuli za kiuchumi zinaendelea..

Hata hivyo,
Njia ya kwenda kibamba kutokea lumumba kwa mazengo nayo ni kizungumkuti sababu barabara ya Mpiji road haipitiki na imeharibik vibaya licha ya kuwa haina kokoto wala karavat sehemu zenye kupita maji..Tumepewa ahadi zaidi ya miaka 10 sasa juu ya ujenzi wa daraja madhubuti kati ya kibwegere na Lumumba bila ,utekelezaji wowote..

Tunaomba serikali kupitia TARURA na TANROADS kulitupia macho eneo hili kwa kuwa tayari wanachi wameongezeka na wanahitaji huduma ya barabara ba daraja sana..
 
mliipenda wenyewe pwawpwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wacha muisome nam,ba eeeeee muisome nambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mitano tena kwenu nyambaffffffffff na badooooooo
 
Back
Top Bottom