Ubora wa UDSM ni upi?

mhi
Udsm hiyo chini ya Muhimbili kwa upande wa medicine... Inaazima hadi malecturer
mhimbili ilikuwa udsm na sasa
udsm tangu lini imeshindana na vyuo hivyo udsm iko top 15 africa hizo teku na islamic hata kwenye mia mbili hazipo sasa hapo wanashindana nini sasa. makerere nairobi capetown hapo ndio umenena hao kweli wanashindana na udsm
 
Naomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa.

NB Makerere -wametengeneza gari
SUA-panya wa kutegua mabomu

Nb:Tutumie vyuo vyetu kama vituo vya utafiti ili tusonge mbele
karibu udsm utaoneshwa vitu kibao maana umekariri. hizo tafiti ndio zimechangia udsm kuwa bora la sivyo kisingepewa nafasi hiyo na watu ambao sio wewe wala mimi bali ni watu wengine kabisa nje ya nchi yetu. kwanza nina wasiwasi kama kweli unajua vitu gani vinaangaliwa katika kuamua ubora wa chuo maana ungetoa point nyingine na sio tafiti maana udsm ni moja ya nyumba za tafiti barani afrika
 
kwa taarifa yako mkuu wataalamu wa nchi hii niwa chuo kikuu cha dar es salaam ukibisha toa mfano wa mtaalamu ambae hajakaa kwenye venue za udsm mimi nitachoka kutoa mifano maana ni oooooteee!!
 
wanaorank vyuo wanakubali kuwa ukitaja vyuo 15 africa lazima utaje udsm. kama udsm imebaki jina basi si kwa kulinganisha na vyuo vya tanzania maana sio level yake
 
Naomba mnisaidie ukiondoa kuzalisha maprofesa je UDSM imefanya/inafanya tafiti au mradi gani katika kusaidia Taifa.

NB Makerere -wametengeneza gari
SUA-panya wa kutegua mabomu

Nb:Tutumie vyuo vyetu kama vituo vya utafiti ili tusonge mbele
UDSM wamekupa hawa wafuatao...:
1. Mwinyi
2. Mkapa
3. Kikwete
4. Magufuli
5. Lowassa
 
Unataka niwe specific kwenye nn? Nimekupa sample za research walizofanya uktaka details zaid tafuta publication zake.. Otherwise upo kwa ajili ya ushidani na sio kutaka kujifunza..

Engineering ikibaki kwenye publications tu huwa hata haina maana, I thought hizo low cost buildings zipo na nyingine zinaendelea kujengwa kama matokeo ya tafiti zake. Kumbe story tu.
 
ukituliza ubongo utanielewa ninachokimaanisha, vuta pumzi ya kutosha kujaza mapafu,alafu itoe taratibu ,ukimaliza rudi kusoma post yangu upya.
ukishindwa kuelewa nilichomaanisha nitakufafanulia
 
wanaorank vyuo wanakubali kuwa ukitaja vyuo 15 africa lazima utaje udsm. kama udsm imebaki jina basi si kwa kulinganisha na vyuo vya tanzania maana sio level yake
ndio kitu ninachokisemaga siku zote,udsm haitakiwi kuwa na mda wa kudebate na vyou vya juzi,mda Huo wanaupata wapi?
Udsm wanatakiwa washindane na Makerere,Nairobi,cape town na vyuo vingine vya level hiyo.
Cha kushangaza utakuta proffesor mzima wa udsm badala ya kutoa lecture,mda mwingi akiwa darasani anaongelea ubora wa udsm kwa kuilinganisha na vyuo kama teku,st Joseph,Islamic etc.
Kitu pekee ambacho udsm inaweza kufanya ni kuvisaidia vyuo vichanga kukua japo kufikia level Fulani ya juu.
Vile vile udsm nao wasijisahau au kudhani ya kwamba wamechafika peak ya juu kabisa kwenye academic,safari bado ni.ndefu
 
Wana UDSM bana kwa kujisifia, mbona mmezalisha mafisadi na wapiga dili wa kutosha nchi hii hilo hulisemi
 
Wana UDSM bana kwa kujisifia, mbona mmezalisha mafisadi na wapiga dili wa kutosha nchi hii hilo hulisemi
peter ww umesoma wapi.... kwanza...

na chuo gani tz utakilinganisha na udsm?

usije ukawa unapiga kelele kumbe wa jordan.
 
Ipi?
 
peter ww umesoma wapi.... kwanza...

na chuo gani tz utakilinganisha na udsm?

usije ukawa unapiga kelele kumbe wa jordan.

Mimi sijalinganisha UDSM na chuo kingine hapa Tanzania mkuu unielewe, ila nilichosema kati ya sifa ambazo huwa mnajisifia muweke na hiyo kuwa mmezalisha mafisadi na wapiga dili hapa Tz kuliko vyuo vyote Tanzania kwa ukongwe wenu huo
 
Umesema kweli, ila sema either umesahau au hujapenda kuweka bayana kuwa wapo wengi tu ambao ni viongozi bora na waadilifu waliotoka hapa, ukizingatia hamna course ya ufisadi apa.
Mleta mada hajauliza viongozi. Ameuliza swala zima la kugundua au miradi yenye tija. Mbona hata Prof.majimarefu ni kiongozi mzuri tu. Mi ni graduate wa SUA. Nawapongeza kwa kutupika kisayansi.
 
kwa taarifa yako mkuu wataalamu wa nchi hii niwa chuo kikuu cha dar es salaam ukibisha toa mfano wa mtaalamu ambae hajakaa kwenye venue za udsm mimi nitachoka kutoa mifano maana ni oooooteee!!
 
Mleta mada hajauliza viongozi. Ameuliza swala zima la kugundua au miradi yenye tija. Mbona hata Prof.majimarefu ni kiongozi mzuri tu. Mi ni graduate wa SUA. Nawapongeza kwa kutupika kisayansi.
Sijamjibu mleta mada bali aliyeniuliza hili swali ndani ya mada ya mleta mada[emoji3]
 
Ila pamoja na mbwembwe zenu zote udsm wanaazima walimu wa anatomy kutoka bugando,so sad
Usiseme mambo usiyoyafaham, udsm in Walimu wa kutosha hyo Human anatomy and physiology wapo wakuifundisha hadi surplus. CONAS imeanzishwa miaka mingi tu.. Inafundishwa human anatomy and physiology, hata physical education iliyoanzishwa mwaka 1992 pia ina walimu wenye uwezo wa hali ya juu wa kuifundisha human anatomy. Miaka kadhaa iliyopita Muhimbili kuna baadhi ya course walikuwa wanakuja kuzisomea hapa Udsm [CONAS], kama ilivyo kwa Ardhi na SUA. Na isitoshe walimu walio wengi wa MUHIMBILI wamepitia UDSM,angalia team ya wataalamu wa School of health Science UDSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…