Ubora wa UDSM ni upi?

Nafurahi kusikia ni za kawaida [emoji3] uko deep in shallow waters. Izo allegations zifoward UDSM
Sasa hizo system zinaugumu gani mkuu?? Au unasoma political science
 
Hahahaha wape hi jamaa wa political science
 
Sasa hizo system zinaugumu gani mkuu?? Au unasoma political science
Unazifahamu? Umejua wamezidevelop vipi na kuzimaintain ni gharama gani (namaanisha resources nyingine tofauti na pesa) .... nieleze haya nitakubaliana na wewe.
 
Hahahaha wape hi jamaa wa political science
Kijiwe kinasemaje kuhusu hawa jamaa! hawaajiriki au? Trust me kazi zipo ila huwezi kuzipata kwa mda unaoutaka wewe! Na political science ni sehemu tamu kama you are a leader like person, kujiajiri nje nje!
 
Sasa wangapi wanaweza kujiajiri wakati wamejazwa theories vchwani hawako practically oriented jaman baadhi ya kozi zinawafaa senior leaders
hapo tayari unamauzoefu yako ndo unaongeza na hyo
 
Sasa wangapi wanaweza kujiajiri wakati wamejazwa theories vchwani hawako practically oriented jaman baadhi ya kozi zinawafaa senior leaders
hapo tayari unamauzoefu yako ndo unaongeza na hyo
hahaha! ni mtazamo wako, ila nadhani unaiona impact ya damu changa kwenye siasa na utendaji wa serikali [emoji3]
 
hahaha! ni mtazamo wako, ila nadhani unaiona impact ya damu changa kwenye siasa na utendaji wa serikali [emoji3]
Nitajie kijana aliyesoma hyo koz anatuwakilisha vzur Watanzania kwenye siasa kama hujaambulia wale wakujipendekeza kwa watawala wapate vyeo
 
Nitajie kijana aliyesoma hyo koz anatuwakilisha vzur Watanzania kwenye siasa kama hujaambulia wale wakujipendekeza kwa watawala wapate vyeo
Kazi kwako prove kama hamna [emoji3]
 
kwa hiyo mkuu izo ndo tafiti zilizofanya UDSM?!!
 
vijana mliokosa kusoma udsm mna vijimaneno vya kujifariji!!!!.....teh teh
 
😀
Kwani yeye wakati anasoma pale alikuwa anajua kuandika barua?
Muulize kama alikuwa anajua ili tusimuonee yule dogo wa law sec year asiyejua kuandika appl Letter
Kumbe inaweza kuwa ndo stail ya graduate wa siku izi wa pale japo J P hajagraduate miaka ya karibuni
 
Mkuu una-generalize sana hebu kuwa specific. Kama unavyosema "study ya effect ya wind kwenye majengo" hebu tuambie ni ipi? Inatumika maeneo gani? Au low cost building ni zipi hizo? Usije ukawa unaongelea project za wanafunzi wanazofanyaga wakiwa mwaka wa mwisho ambazo nyingi ni theoretical.
 
Wame-copy na ku-paste kumbe halafu wanaita ugunduzi!
 
Unataka niwe specific kwenye nn? Nimekupa sample za research walizofanya uktaka details zaid tafuta publication zake.. Otherwise upo kwa ajili ya ushidani na sio kutaka kujifunza..
 
tafiti zenye quality ni moja ya sifa za kukuifanya chuo kiwe bora kuliko vingine. sasa kama wewe unajua kuwa udsm hakuna hicho kitu ni uzembe wako mwenyewe. udsm haijajiweka juu ila wanaojua wameiweka udsm among top 15 universities in africa. research ikiwa ni moja ya category za kurank vyuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…